Nilifanya linalowezekana kumkwepa Baada ya kuanzia kunihonga vitu, kuna siku alikuja home na frigid jipya, nikamuuliza la Nani? Akajibu la kwake nimeona huna friji nikamwambia silihitaji akasema ukitaka kulikuwa we Uza tu haina shida, usiku akawa na feni, pia akasema Kama hapendi vitu navyokupa we Uza haina shida, na akija hivyo ujue anataka kubanduliwa, sasa siku moja akasema anataka Azam na Mimi ila atakuwa akinichunga nisimchanganye na mwanamke mwingine.. Nikamwambia Mimi nina wanawake watano, akasema yeye anawafahamu wawili na hao Hana shida nao, Iola niwaache niwe naye, tuwe ukifanya sana ibada nitakuwa na pesa nikaona huyu sasa anavuka mipaka, mwisho ataamia kwangu....nikatafuta fundi anisomee, nikasomewa, nikaambiwa niache kutumia pombe na sigara, nikaacha, ndio kuna siku akaja akasema sasa anataka kunielewa kwao nimekuta msafi...hiyo siku nienda kuvuta bangi, na nyingine nikajifukiza, nikanywa pombe na nyingine nikajimwagia, nilichukua mifupa ya hanziri nikaichoma chumbani, yaani nilifanya kila aina ya vitu asivyopenda ili alisepa lakini dhakari ilikuwa na dosar mzigo ulikuwa doro nikikutana na msichana wa kawaida ilipita miezi Kama mitatu, ndio nikarudishiwa power yangu kimauzauza hivyohivyo