Zeus1
JF-Expert Member
- Aug 24, 2017
- 7,328
- 9,538
Ur satan himself unataka ujione mwenyewe mkuuIvi huwa wanapatkanaga wapi,maana nataman ata tu kukutananaga nao.

Nafasi yako haukoseiAisee...majini tena??
Duh si mchezo....endelea kufunguka aliyokwambia mkuuDuh... umenikumbusha mwaka 2015 nikitokea Gongo la Mboto kuja Riverside na dogo angu mmoja hivi. ile tunazama ndani ya daladala tukao a watoto2 wakali hataree... mzee zikujivunga nikasonga mpaka kwa mmoja kati ya wale wawili... nikaanza kurusha vimaneno vya utani vicheko tele mpaka kondakta wa daladala akaropoka maneno ya kuonesha kuwa naenda kula mzigo kituo kinachofuata abiria wengine wakacheka sana.
njiani nilisha mkonvisi mtoto na mwenzie wakakubali kusukia riverside ila akagoma kuja gheto akiahidi kuja the other day.
next day ilikuwa Jpili akaja kama kawaida nkampa juicy niliyokuwa nimetengeneza mwenyewe... Mwenzie hakuja sababu dogo hakuwa interested saana.
Sasa wakati kinakunywa juicy huku mie naendelea kutupia maneno ya kichokozi. akicheka najifanya na mie kucheka afu natupia mkono kwenye kinena chake wala hakatai.
nkaona napoteza muda nkamshika mkono na kuingia naye chumbani. nikamtosa sana maeneo nyeti akiwa kavaa ngua mpaka akalegea. Ile kutaka kumtoa nguo akakataa akasema nifunge mapazia yote kuwe giza huku nikihakikisha hakuna mwanga utakaotoka nje wa asili kuingia ndani..! tukabishana sana maana mie nataka nipige kitu huku naiona i see...
baadaye nikaona isiwe taabu nikafanya atakavyo kisha nikawasha taaa ya ndani... So mzee mzima ila nataka kupanda hivi akaniambia nisiwe na haraka nigeuke kwanza na kufumba macho... Si nikajua haya yatakuwa mapenzi ya kihindi na mtoto ndo anapenda hivo. nikafanya kama alivosema... ile kufumba kwa sekunde kama 30 nikasikia upepo wa baridi mithili ya mvuke wa maji ukizunguka gheto. nikafumbua macho kwa hofu kubwa nikambilia dirishani nikafungua mapazia kutaka kujua kama mvua imekuja ghafla na maji yanaingia ndani. nikafungua mapazia naona nje hali ya hewa ni shwari kabisa... kugeuka kumuangalia yule demu nakuta kaganda macho yapo wazi lakini hajitambui. ukimuita haitiki wala astuki... nkataka kumuita dogo aje kunisaidia tatizo ile kusogelea mlango.. mlango unasoge mbele nikisogea na wenyewe unasogea... mfck...
Nilichofanya nikafunika mapazia tena... mwanga ulipopotea tu yule mdada akapiga chafya ya haja sana.. kwa hasira akasema kwann unataka kuniua!? nkamuuliza kivipi!? akanambia, nimekwambia nn na wewe umefanya nn... kwann umedufumbua macho.!? na maswali mengine mengi hayana kichwa wa miguu!
kutokana na mswali yake nikajiongeza na kujua sipo na binadamu wa kawaida, so what I did nikaanza kumbembeleza na kumpa pole ila nikisisita anambie yeye nani na kwann imetokea vile.
mara ya kwanza akanambia.. nikikwambia utaniogopa lakini baada ya kumbembeleza sana ndio akanambia ye ni uzao wa Jini na Binadamu... pia anazohisia za mapenzi na binadamu ingawa amewahi fanya mapenzi na wanaume binadamu 2 tu na wote hawajawahi fanikiwa kuifikia papuchi yake maana wapenzi wake hali ambao ni majini umbadilisha kila anapotaka kufanya mapenzi... yaani wanachofanya ni kumuondoa yeye kisha wanaweka kiumbe chochote kile na wahusika hawakuwahi kugundua hilo...
So akaendelea kunambia kilichokuwa kinaenda kutokea ni kuwa wapenzi wake majini ambayo ni mengi yalikuwa yanajipanga kunichukua na kunipeleka popote pale lakini ni ufukweni mwa bahari ya hindi bila kunidhuru ila adhabu ya viboko nk itakuwa juu yake yeye!
kwa kuwa mara ya mwisho yalimwambia akirudia yatamfundisha adabu.
akakiri kupelekwa chini ya bahari mara kadhaa kwa makosa ya kawaida yasiyo na adhabu kubwa.
kijisho kilinitoka ila kanajua kubembeleza kweli sababu kaliniambia Babayake atakasaidia maana muda mwingi akifanya makosa mengine huwa anatetewa na Babayake ambaye ni jini.
Nikamuuliza unaweza kumtambua jini katika hali ya kawaida... akaniambia si rahisi kwa viumbe wengine... akitolea mfano wapenzi wake majini alisema... ukikutana nao ni binadamu kwa mwonekano kama binadamu wengine... ila ndio wanauwezo mkubwa wa kufanya mambo tofauti tofauti ikiwa ni pamoja na makazi yao kuwa chini ya bahari.
mambo mengine aliyofunguka ni pamona na kusema kuwa haruhusiwi kukaa fukwe za starehe... kufanya mapenzi na binadamu yoyote hususani ambaye ana tofauti kubwa asili ya majini.
Anadai akifanya mapenzi na hayo majini hufanya kwa siku 2_3 na majini tofauti na wala hachoki...
Baadaye tukazungumza habari za kawaida na kunisihi si kila mtu nimwonae ni binadamu na niwe makini... Baada ya kumuona akili zake zimetulia nikamuomba turejee sebuleni akakubali japo kwa shingo upande saana uku akilalama nimeijua siri yake na adhabu yake atakayopewa hapo baadaye.
tulivofika sebuleni nikazama jikoni kuchukua more juicy... kurejea sikumkuta na hajawahi kuntokea tena... Siku hiyo nilihama chumba kabisaa mpaka after 3 nlipomuadithia dogo kwann silali chumbani kwangu...
alinisimulia mambk mengi sana haya ni kwa uchache sana
ahahaha kawaida mkuuNafasi yako haukosei
Haa haaaa[emoji3] [emoji3] [emoji3] jamaaa ulongo weweUkikutana na jini hutatamani kumwachaa ila uwe shujaa wakati fulani.
Nilikutana na chini anakwenda shule evening class, akanambia anasoma ili kurudia mtihani wake wa kidato cha nne...
Nilimshawioshi asiende shule badala yake tukaenda geto... yaani anaomba kitu kama huna basi kufumba na kufumbua kinapatikana mfano...anaomba maji ya chupa ukisema duka lipo mbali unashangaa anafunua shuka na kutoa maji.kiboko ni pale alipotaka dinner nikajibu huwa sipiki labda twende tukale kwa mama mtilie, akajibu kwani wewe unapenda kula nini? nikajibu kitimoto...akanichapa kibao mzee nilishangaa nini tena nikajifanya nimemaind nikatoka nje kuzuga...niliporudi nikakuta mashuka tu...
Aaah mkuuu endeleKabla sijakutana na KAISKA nilikutana na NALKHAT, ilikuwa Morogoro, miaka kumi iliyopita, kipindi hicho nilikuwa Nina Newell nyingi kichwani( nazifunga kwa nyuma) siku moja wakati nimeona kituo I kupanda daladala kuna dada mmoja dizain alikuwa Kama ananifuatilia hivi, siku tulia maanani sana, nikamchukulia kama ni abiria tu Kama Mimi, bahati mbaya nikapata Siri ambayo tulikaa pamoja, nikamsalimia akaitikia vizuri tuu, nikimuangalia vizuri ni pini sio kitoto pia alikuwa na lafudhi ya kizanzibar, tukatokea kuzoeana sana, mwisho, akasema amezipenda nywele zangu, pia yeye ni msusi mzuri kama sitojali angependa anirekebisha siku nikiwa na muda, nikamwambia kesho nina muda ambayo ilikuwa ni jumapili Kama Leo, mi nilishuka nae aka shuka kituo hicho hicho, lakini Mimi baada ya kushuka nilitangulia sababu sikutaka kufahamiana nae kivile,
Baada ya masaa kama mawili hiv simu ikaita naangalia jina la Yule mwanamke wa katika daladala, sikumpatia namba yangu, wala sikuchukua yake,
Nikapokea akasema kama sitojali anaona aje home apajue ili kesho yake aje mapema, nikamwambia sawa, nikamuelekeza, ajabu Ankara simu mlango unagongwa nachungulia dirishani napokelewa na harufu ya marashi na tabasamu moja matata sana..
Nikastuka kidogo kwa tulio lile ila nikajisemea huyu kuna analolitaka, mbona anajileta hivi? Poa mi nilifungua akazama ndani...aisee Yule mwanamke alikuwa ni mzuri mno na vile alijistiri, kaacha sura tuu.....
Naendelea hapo chini kuna ufumbuzi napata ktk hiki kidude ninachitumia kuandika hii kitu.

Kidogo tuKAISHKA mtata..ukimzingua anakutoa damu popote, unaweza ona pua, sina jua damu, tundu ya m.. I natoka damu, aah huyu najifikiria Mara mbili mbili kuandika habar zake
Ulikua na hatari mkuu, ningekua mm angeona manyoya2Ukikutana na jini hutatamani kumwachaa ila uwe shujaa wakati fulani.
Nilikutana na chini anakwenda shule evening class, akanambia anasoma ili kurudia mtihani wake wa kidato cha nne...
Nilimshawioshi asiende shule badala yake tukaenda geto... yaani anaomba kitu kama huna basi kufumba na kufumbua kinapatikana mfano...anaomba maji ya chupa ukisema duka lipo mbali unashangaa anafunua shuka na kutoa maji.kiboko ni pale alipotaka dinner nikajibu huwa sipiki labda twende tukale kwa mama mtilie, akajibu kwani wewe unapenda kula nini? nikajibu kitimoto...akanichapa kibao mzee nilishangaa nini tena nikajifanya nimemaind nikatoka nje kuzuga...niliporudi nikakuta mashuka tu...
Nilikutana na jini Mwaka 98. Natoka zangu chuo IFM nilikuwa na paper la Quadratic Mathematics...
Lafudhi yake ilikuaje???hakuwa mwarabu mkuu... ila maji ya kunde lakini ngozi lainiiiii na vijimacho vyeupe vya kusinzia akiongea na kucheki lazima utongoze tu
Na JF kuna majini? MUNGU tunusuru.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji1] [emoji1]Tupe story yako kamili ya kubanduana na jini kwanza halafu mimi nitakupa ya kwangu ya kukwapua jini hapa JF![emoji28][emoji28][emoji28]
Uncle Magu kakaza, hali ngumu mpaka watu wanaamua kutoka na majini! Magu legeza utunusuru wapiga kura wako.Watu mna roho ngumu hivi unawezaje kutoka na jini
We jamaa muongo bhanaKabla sijakutana na KAISKA nilikutana na NALKHAT, ilikuwa Morogoro, miaka kumi iliyopita, kipindi hicho nilikuwa Nina Newell nyingi kichwani( nazifunga kwa nyuma) siku moja wakati nimeona kituo I kupanda daladala kuna dada mmoja dizain alikuwa Kama ananifuatilia hivi, siku tulia maanani sana, nikamchukulia kama ni abiria tu Kama Mimi, bahati mbaya nikapata Siri ambayo tulikaa pamoja, nikamsalimia akaitikia vizuri tuu, nikimuangalia vizuri ni pini sio kitoto pia alikuwa na lafudhi ya kizanzibar, tukatokea kuzoeana sana, mwisho, akasema amezipenda nywele zangu, pia yeye ni msusi mzuri kama sitojali angependa anirekebisha siku nikiwa na muda, nikamwambia kesho nina muda ambayo ilikuwa ni jumapili Kama Leo, mi nilishuka nae aka shuka kituo hicho hicho, lakini Mimi baada ya kushuka nilitangulia sababu sikutaka kufahamiana nae kivile,
Baada ya masaa kama mawili hiv simu ikaita naangalia jina la Yule mwanamke wa katika daladala, sikumpatia namba yangu, wala sikuchukua yake,
Nikapokea akasema kama sitojali anaona aje home apajue ili kesho yake aje mapema, nikamwambia sawa, nikamuelekeza, ajabu Ankara simu mlango unagongwa nachungulia dirishani napokelewa na harufu ya marashi na tabasamu moja matata sana..
Nikastuka kidogo kwa tulio lile ila nikajisemea huyu kuna analolitaka, mbona anajileta hivi? Poa mi nilifungua akazama ndani...aisee Yule mwanamke alikuwa ni mzuri mno na vile alijistiri, kaacha sura tuu.....
Naendelea hapo chini kuna ufumbuzi napata ktk hiki kidude ninachitumia kuandika hii kitu.
Kaka wewe mgumu![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mtaniwia radhi kunakuwa na meneno inaonekana Kama nimekosea kuandika lakini sivyo dhamira iPad imeamua kunizingua Leo
Nilimuuliza Kama anatumia kinywaji chochote akasema hapana, akasema sa hizi ni saa kumi, naomba Kama hapa nikurekebishe kichwani nikaona poa, mine huyo katikati ya miguu ya bible, yeye alikaa juu ya sofa Mimi nimekaa chini, aliposhika tu kichwa changu nilihisi vitu vinasisimka mwili mzima Kama shoti flani na hata yeye alistuka, nikamsikia akisema nisamehe..wewe uko vizur sana, je unalijua Hilo, mi nikamwambia sijui kwani vipi? Wakati huo nilikuwa naskia nywele zinakaza nikajua ananisuka lakini haikuwa hiyo, Yule mwanamke kuna jambo lilimsibu aliponishika, nikamsikia tena akisema nisamehe tena.. Naomba nikumalizie niondoke na wakati namalizia kumwambia poa, yeye akasema tayari...we kijana mzuri....niliposikia kijana mzuri, nikapaniki kidogo aje mtoto wa kike aniite mzuri, alafu aje tu, anilekebishe kichwa ndani ya dakika? Nikiwa vilevile nimekaa, nikamshika mikono yake kuivuta kwa mbele, aisee nilihisi Kama nimeshika miguu ya mbele ya mbuzi..akawa Kama anajizuia nisione, nikamwambia nimeshakujua acha nione ila ki ukwel mkojo ulishaanza kuuma na mwili kuishi wan guvu nilijikaza tu, kweli ile mikono ilikuwa kama ya mbuzi na ni ya kijani, kijani kabisa
Hii inaonekana ya ukweliDuh... umenikumbusha mwaka 2015 nikitokea Gongo la Mboto kuja Riverside na dogo angu mmoja hivi. ile tunazama ndani ya daladala tukao a watoto2 wakali hataree... mzee zikujivunga nikasonga mpaka kwa mmoja kati ya wale wawili... nikaanza kurusha vimaneno vya utani vicheko tele mpaka kondakta wa daladala akaropoka maneno ya kuonesha kuwa naenda kula mzigo kituo kinachofuata abiria wengine wakacheka sana.