Robson Mulabwa
Senior Member
- May 9, 2011
- 119
- 30
ben nani tena??unabishana na ben.
ben nani tena??unabishana na ben.
nachotaka kusema ni kwamba mzee wasira wewe una sura mbaya sana
Excellent Mkuu! Kosa la mtu mmoja au kikundi fulani cha jamii haimaanishi kwamba jamii nzima ndiyo iko hivyo, au anataka mataifa mengine nayo yaseme watanzania wote ni wachawi kwa kuwa huyo mtuhumiwa ametoka TZ?Mwe mnafikiri vizuri kabla ya kuhukumu watu kimikoa na kimakabila, kama mtu amekosea ahukumiwe yeye
Bila kujali kwamba tuhuma za Ben Saanane na wengine ni kweli au sio kweli naona ni busara kwa Zitto now ajitoe CHADEMA na aunde hama chake ambacho yeye atakuwa mwenyekiti na ataweza kukusanya washabiki wake wote waliopo CCM na CHADEMA na kwingineko.
Sioni ni vipi Zitto anaweza kugombea urais kwa kupitia CHADEMA sio tu 2015 lakini mwaka wowote ule.....CHADEMA will never be the party for him to vie for the presidency..hii now iko waazi mno.
Na Zitto lengo lake kuu ni kugombea urais...basi ni bora ajipange now.
Mimi naona this way it is better kwa kila mtuZitto na CHADEMA pia.
Mkuu the Boss, angalau kuna viongozi wengine wa Chadema walishawahi kuwa wanachama wa vyama vingine na ndio maana wengine hata kadi wanatunza kwa kumbukumbu!, lakini ZZK ni "born 'n' breed" in Chadema!. Kwake Chadema is the only party he knows!.
Kwa vile he was born Chadema, he will die Chadema!. Kwetu sisi wengine, ZZK ni Chadema na Chadema ni pamoja na ZZK, bila ZZK hakuna Chadema na bila Chadema hukuna ZZK!.
Nyie mnaemuona ZZK hawafai katika chama chenu, ili kuhalalisha kuwa Chadema kina wenyewe, na ndio maana wale mnao waona kama sio wenyewe ndio mnawataka watoke wakaanzishe vyama vyao ili mbaki wenyewe?!.
Maadam ZZK hajui chama kingine chochote, kwa baadhi yetu ZZK ni miongoni mwa wenye Chadema na mwakani tunamchagiza agombee Uenyekiti ili kuifutilia mbali ile dhana ya nepotisim kwenye top brass!.
Sasa nyinyi mnaemuona hafai, ndio tungewashauri mfungashe virago vyenu au mrejee kwenye vyama vyenu au mkaanzishe vyama vyenu mumsusie ZZK muone jinsi Chadema kitakavyo geuka ni chama cha kitaifa over night!. Mpaka Zanzibar kitafika!.
Naombeni sana tusimsakame ZZK based on taarifa za Saa8, na jee ikitokea ZZK akamkomalia huyo Saa8 aliyemtuma na kumpa ile sumu ya panya, mtasema nini?.
Dalili zote zinaonyesha "kikulacho", Chadema, "kii nguoni mwako!". Ila pia kuna uwezekano mkubwa mkakuta "Umdhaniye ndiye... siye!".
Pasco.........
Mkuu The Boss, Wapiganaji shupavu, huwa hawakimbii vita, wanapigana mpaka risasi ya mwisho na tone la mwisho la damu linamwagika!, hata kama at the end of the day, jeshi lao halitashinda vita, ila watakumbukwa daima kama mashujaa waliofia nchi yao!.Mkuu Pasco...
ukisoma vizuri hakuna sehemu niliyosema Zitto hafai
au ni msaliti au naamini maneno ya Saanane..
Mimi nimeamua kushauri hivi baada ya kusoma majibu ya Zitto kwa Saanane
na lilinishtua zaidi ni aliposema anasikia 'maneno yale yale kutoka kwa watu wale wale'
kama wakati wa marehemu Wangwe......ni kama ana suggest wanataka 'kumuua now'
maadui zake....sasa tuulizane does it worth it??
je akipata ajali ya kweli bila faulo na akafa,damage yake kwa Chadema itakuwaje?
na upinzani kwa ujumla
ndo maana nikasema ni busara atoke...awe free...na mipango yake..
Endelea kumtia moyo Kijana shupavu ZITTO KABWE lakini huku unamwangamiza taratibu.Mkuu The Boss, Wapiganaji shupavu, huwa hawakimbii vita, wanapigana mpaka risasi ya mwisho na tone la mwisho la damu linamwagika!, hata kama at the end of the day, jeshi lao halitashinda vita, ila watakumbukwa daima kama mashujaa waliofia nchi yao!.
ZZK ni mpiganaji shupavu na atapambana mpka mwisho!. Mimi naamini ya Wangwe ni ajali tuu kama ilivyo ya Mama Mbatia na mi mi pia nilipata ajali eneo hilo hilo ni notorious kwa ajali, tunaoelewa tunaelewa, ikitokea ni ajali, then ni ajali, ila kama ni mkono wa mtu, "hata panya hatapona"!.
Pasco.
Chadema wakimpitisha mfalme wa mabaal kuwa mgombea urais 2015 ndo utakuwa mwisho wangu kujihusisha na mambo ya siasa
So hutaki atoke na kuanzisha chama chake?
at the same time unaona anasaliti chadema?
hahahaaaaaaaaaaa akil yako imekuwa kama hard disk inajaza hadi *****,unanjaa au ukabila ndo akil yako..kama hujui uandike nn kalale...Bado sijajua Zitto na wafuasi wake wanang'ang'ania nini huko CHADEMA wakati wanaamini Chadema ni chama cha kidini, kikabila na kikanda na pia wakijua kabisa kabisa Chadema haitampitisha Zitto kuja kugombea Urais
Chadema wakimpitisha mfalme wa mabaal kuwa mgombea urais 2015 ndo utakuwa mwisho wangu kujihusisha na mambo ya siasa
Bado sijajua Zitto na wafuasi wake wanang'ang'ania nini huko CHADEMA wakati wanaamini Chadema ni chama cha kidini, kikabila na kikanda na pia wakijua kabisa kabisa Chadema haitampitisha Zitto kuja kugombea Urais
Mkuu Pasco...ukisoma vizuri hakuna sehemu niliyosema Zitto hafai au ni msaliti au naamini maneno ya Saanane.. Mimi nimeamua kushauri hivi baada ya kusoma majibu ya Zitto kwa Saanane na lilinishtua zaidi ni aliposema anasikia 'maneno yale yale kutoka kwa watu wale wale' kama wakati wa marehemu Wangwe......ni kama ana suggest wanataka 'kumuua now' maadui zake....sasa tuulizane does it worth it??
je akipata ajali ya kweli bila faulo na akafa,damage yake kwa Chadema itakuwaje? na upinzani kwa ujumla ndo maana nikasema ni busara atoke...awe free...na mipango yake..