Ushauri: Zitto aanzishe Chama chake kingine...

Ushauri: Zitto aanzishe Chama chake kingine...

Status
Not open for further replies.
Pasco makosa mengine ni sababu ya kutokuhakiki ulichoandika au ni nini? unawezaje ukasema Bila Zitto hakuna Chadema? Kwamba Akiondoka chama kinafutwa?
Mkuu Sangarara, sijasema akiondoka chama kitafutwa bali kitakufa!. Nawaomba tusibishabe sana kuhusu hili kwa sababu sasa Zitto ndio ameondoshwa, tusiandikie mate ilihali wino upo!, akishaondoka, subiria mapigo ya "karma" yatakavyoishukia Chadema!. Kufa kwenyewe sio lazima kule kufa na kuzikwa kaburini, but Chadema will never be the same again!. Chadema with Zitto was the better party than Chadema without Zitto!. Wako wengi wanaamini Chadema ni Taasisi na sio watu!, mimi nawahakikishia Chadema ni watu na sio Taasisi!. Bila watu, hakuna Chadema!. Na sio Chadema tuu, hata CUF nayo ni watu tuu!. Chama pekee ambacho ni taasisi so far ni CCM pekee!.
Japo kimeoza na kinanuka rushwa na ufisadi, thai is the only one we have as of now, hivyo 2015 ni CCM tena and that will be the begining of an end of Chadema!, huko sii kufa?!.
Pasco.
 
tayari alishaanzisha chauuma na akina mchange ila kwa kuwa dhambi ya usaliti na unafiki inawala wenzie wameenda ccm
 
Mkuu Sangarara, sijasema akiondoka chama kitafutwa bali kitakufa!. Nawaomba tusibishabe sana kuhusu hili kwa sababu sasa Zitto ndio ameondoshwa, tusiandikie mate ilihali wino upo!, akishaondoka, subiria mapigo ya "karma" yatakavyoishukia Chadema!. Kufa kwenyewe sio lazima kule kufa na kuzikwa kaburini, but Chadema will never be the same again!. Chadema with Zitto was the better party than Chadema without Zitto!. Wako wengi wanaamini Chadema ni Taasisi na sio watu!, mimi nawahakikishia Chadema ni watu na sio Taasisi!. Bila watu, hakuna Chadema!. Na sio Chadema tuu, hata CUF nayo ni watu tuu!. Chama pekee ambacho ni taasisi so far ni CCM pekee!.
Japo kimeoza na kinanuka rushwa na ufisadi, thai is the only one we have as of now, hivyo 2015 ni CCM tena and that will be the begining of an end of Chadema!, huko sii kufa?!.
Pasco.

Toka uchaguzi Mkuu wa mwaka 2010 uishe Zitto alijiondoa CHADEMA rasmi? nadhani unaelewa kwamba CHADEMA imekua zaidi katika kipindi hicho hicho.

tusubiri maamuzi ya jaji msumwa leo alafu tuanze ukurasa mpya.
 
Kwa upande wa mahakama Zitto ndio atashinda na kuendelea na ubunge wake wa mahakama hadi 2015 atakapoamua kuondoka mwenyewe!.
Pasco.
 
Akianzisha Chama Chake Nitakuwa Mmoja Kati Ya Wanachama Wa Mwanzo Sana Wa Chama Chake!
 
Jaman yote tuseme ukweli kwa ilipofikia CDM si kweli kwamba ati akifika zzk kirakufa hapana kubwa labda kutetereka na kisha kusonga mbele kwani alikuwa na lipi Kikubwa katika ustawi wa chama zaidi ya kuhangaikia ustawi wake binafsi chama daima huwa si mtu
 
kwa sasa ukiangalia zitto hawamuitaji chadema...wewe ukiwa mtanzania unamshauli zitto unafikili ni chama gani ya hivi ungependa kuona anajiunga.....na pili akienda huko..anaweza kuwa mwenyekiti,katibu mkuu,naibu katibu mkuu...au ni wapi panapomfaaa

1.cuf....

2.ccm....

3.nccr mageuzi...

4.adc......

5.tlp....

6.udp...
 
liwike lisiwike ktakucha tu,zitto ni sikio la kufa amekuwa mwanasiasa wa kufuata upepo,anshtua kisha anatazama upepo unavyoenda kisha anawakana wenzake sasa tumeshamjua hakika akianzisha chama itakuwa ni ccm C.
 
Najikumbushia, kila dalili za kuelekea kwenye risasi ya mwisho na tone la mwisho la damu, zinaonekana!, naendelea kusisitiza, kama hii ndio ilikuwa mipango ya Mungu, aliyompangia Zitto, na iwe kama Mungu alivyopanga!, yaani its his destiny!, lakini kama kuna mkono wa mtu!, mtashuhudia rebutal ya "karma!" itaitafuna Chadema na hakuna mtakaomini kitakachotokea!.

Pasco.

Pasco,
Mkono wa mtu upi hasa kwa Zitto. Zitto huyu alieendedsha siasa ya kipeke peke karibu Moungo Mzima katika chama, na hii leo baada ya majibu ya heshiwa Mkono, bado kunakudhani kuna mkono wa mtu?? Napiga picha Zitto anazisha Chama anakuwa anti CDM mjukwaani....lipi atatamka; je atatamka yeye ni mwanamapinduzi na mwanaharakati ila CDM ni mafisadi sawa na wegine ?? kifupi does he have such moral athourity in place still?? Nionavyo he has winded off his political carrier in his own style. Ni mkono wake tu sio wa mtu mwingine
 
) Wajerumani walipokuwa wakiingia Tanganyika kabla ya Waingereza, walitengeneza urafiki mkubwa sana kati yao na Watanganyika kiasi kwamba Watanganyika wakawaamini na wakawakaribisha. Watanganyika wakaamini kuwa pengine walikuwa tayari wamepata watu ambao wangeweza kusaidiana nao kuyatatua matatizo yao, lakini ikawa kinyume pale Wajerumani walipodhihirisha unafki wa urafiki waliouanzisha na hao Watanganyika. Ninaweza kumfananisha Zitto na hao Wajerumani. Zitto alitumia moyo wake wote na nguvu zake zote kutuaminisha Watanzania kuwa alikuwa na uchungu na Nchi yetu hasa pale alipoamua kupigana na ufisadi na uadui mwingine kati 2005 na 2010. Kumbe hiyo yoye ilikuwa ni mbinu ya yeye mwenyewe kuwa kama Wajerumani. b) Nikumungalia kutokea upande wa viongozi wa jadi wa Tanganyika wa miaka ile, namfananisha Zitto na Mangungo wa Msovero Usagara Kilosa aliyeishi na kuongoza watu wake miaka iliyopita na hatimaye kuwauza kwa wakoloni. Zitto alikuwa na dhamira ya kuiuza CHADEMA na Wanachadema kwa Wadharimu na Wazandiki wa Taifa letu, CCM akisahau kuwa kati ya 2005 na 2010 baada ya yeye kusimamishwa kuingia bungeni alizunguka Nchi nzima na kusema mengi sana dhidi ya CCM. Nakumbuka moja ya hotuba zake aliyozotoa katika ziara hiyo pale Tukuyu, Wilayani Rungwe, Zitto alisema,"CCM wanataka kutuuza kama Mangungo wa Msovero Usagara alivyo tuuza kwa Wajerumani, wanahistoria watakuwa wanaungana nani katika hili". Akaongezea kwa kusema, "Tuungane pamoja kuwapinga CCM". Sasa sijui alituhamasisha tuungane naye kivipi kama yeye mwenyewe kwa akili zake mwenyewe (to the best of his knowledge) kaamua kuuza Mustabali wa Taifa zima kwa wadharimu na Wazandiki, CCM?:A S angry::A S angry::A S angry:
kweli nimemsikitikia sana ndugu yangu zitto,ni miongoni mwa vijana niliokua nawakubali sana hasa kwa misimamo yake,najiuliza sana,je alipagawa na nini huyu jamaa?binafsi nilijua angekwenda kwa viongozi wake kukiri na kutubu kwa umakini kabisa,na bila shaka haya mambo yasingefika hapa yallipofika sasa,itampa gharama sana kuweza kuirudisha ile heshima aliyokua nayo mbele ya jamii na vijana wote wapenda mabadiliko.pole sana kaka zitto!!wamemtumia na mwishowe watambwaga chini hao waliomtuma....
 
Zitto siyo presidential material hata chembe.

Iwe tuhuma dhidi yake ni za kweli au la, a presidential material has to be above suspicion in many respects.

Sasa huyu kwenye ufisadi, tuhuma anazo. Kwenye undumilakuwili, tuhuma anazo. Kwenye usaliti, tuhuma anazo.

Na sasa hadi kwenye ushirikina, tuhuma anazo.

Where there is smoke there is fire. Zitto hafai kuwa rais.

He is too polarizing.

Kweli hafai ila Mhe. Mbowe anafaa saaaaaaaaaana kwani anatabia za Rais Clinton na Lewnsiki, anatoza Riba kwa hela anazofadhili chama (Huyu akiwa Rais gesi yetu jamaniii???), anahongwa na mafisadi ili asiwazungumzie bungeni, ana siasa za ukanda. Wana cdm Mbowe is a material president shame to you
 
Kwa upande wa mahakama Zitto ndio atashinda na kuendelea na ubunge wake wa mahakama hadi 2015 atakapoamua kuondoka mwenyewe!.
Pasco.

Zitto hayupo mahakamani kudai ubunge wa mahakama.Yupo kuzuia kamati kuu kujadili uanachama wake mpaka baraza kuu lipitie rufaa yake.

Kwa ajili ya ubunge atakwenda mahakamani tena either baada ya uamuzi wa kamati kuu(kama itapewa go ahead na mahakama) au uamuzi wa baraza kuu ambao likely utakuwa ni uleule wa kamati kuu ila uliocheleweshwa na formalities!

Hapo ndipo Zitto ataenda mahakamani kupinga kufukuzwa uanachama ili aendelee na ubunge kama ambavyo walifanya akina Kafulila na Hamad Rashid.
 
Kweli hafai ila Mhe. Mbowe anafaa saaaaaaaaaana kwani anatabia za Rais Clinton na Lewnsiki, anatoza Riba kwa hela anazofadhili chama (Huyu akiwa Rais gesi yetu jamaniii???), anahongwa na mafisadi ili asiwazungumzie bungeni, ana siasa za ukanda. Wana cdm Mbowe is a material president shame to you

Hiviii eeeh, nilikuwa sijui aisee.
Assume Zitto anaanzisha chama kisha anapanda jukwaani, wewe unavyoona atakuwa anaisema CCM au CDM??
Akiisema CCM ataisema kwa lipi wakati ndiyo wawezeshaji wenyewe.
Akiisema CDM, yeye na chama chake atakuwa ni mpinzani wanaopinga upinzani au?? Zitto ameshakufa kisiasa. Arudi kigoma akaacheze bao coz CCM hawana kazi nae tena, Urais atakuwa anautaja mdomoni tu.
 
Last edited by a moderator:
Bila kujali kwamba tuhuma za Ben Saanane na wengine ni kweli au sio kweli naona ni busara kwa Zitto now ajitoe CHADEMA na aunde chama chake ambacho yeye atakuwa mwenyekiti na ataweza kukusanya washabiki wake wote waliopo CCM na CHADEMA na kwingineko.

Sioni ni vipi Zitto anaweza kugombea urais kwa kupitia CHADEMA sio tu 2015 lakini mwaka wowote ule... CHADEMA will never be the party for him to vie for the presidency..hii now iko waazi mno.

Na Zitto lengo lake kuu ni kugombea urais...basi ni bora ajipange now.

Mimi naona this way it is better kwa kila mtu Zitto na CHADEMA pia.

Kuanzisha chama kingine atakua anatofautiana na mwajiri wake CCM lengo lilikua ni kuivuruga chadema tu na CCM hawatakua tayari kumwona zito anaanzisha chama kingile chenye lengo la kuongeza upinzani katika siasa za TZ nachokiona kwa zito ni kuamia CCM na hii ndo salama yake namwisho wake kisiasa chengine hana namna dogo ndo bhaaasi tena!
 
Bila kujali kwamba tuhuma za Ben Saanane na wengine ni kweli au sio kweli naona ni busara kwa Zitto now ajitoe CHADEMA na aunde chama chake ambacho yeye atakuwa mwenyekiti na ataweza kukusanya washabiki wake wote waliopo CCM na CHADEMA na kwingineko.

Sioni ni vipi Zitto anaweza kugombea urais kwa kupitia CHADEMA sio tu 2015 lakini mwaka wowote ule... CHADEMA will never be the party for him to vie for the presidency..hii now iko waazi mno.

Na Zitto lengo lake kuu ni kugombea urais...basi ni bora ajipange now.

Mimi naona this way it is better kwa kila mtu Zitto na CHADEMA pia.

Anakoelekea atakuwa kama Mzee wa Kilalacha aisee!!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom