Ushauri: Zitto aanzishe Chama chake kingine...

Ushauri: Zitto aanzishe Chama chake kingine...

Status
Not open for further replies.
Huyu ni masalia kajiunga 18 Dec. walewale wakile kikundi masalia hadi kieleweke hakuna kulala tunahitaji ukombozi na sio usaliti. Kwani uongo aende kwa magamba. Hatumwitaji!!!
Hatukatai zitto kuwa shujaa ila asije akakigawa chama kwa suala moja tu la kutaka kugombea u rais..nice day.
 
Go back and edit your massage shame on you!
Duh wahitimu wa janja janja primary school nao wameanza kupapasa keyboard na kutoa maoni yao....hakuna uhusiano wa moja kwa moja na kitu kilichoandikwa ndani...pia ameandika nukuu ya mambo mengine ambayo hajui maana yake e.g PANYA UNDERLINES.....
Mwisho nakushauri mtoa mada kuwa kukaa kimya ni sehemu ya busara...usiwe mwepesi wa kusema bali wa kutenda!
 
aachane ni biashara hii

images
 
Napita nitarudi baadae hapa JF
Zitto siku zote amekua anamwona dr slaa ni tishio kwake,na amekua anatafuta kila namna ya kumdhoofisha kisiasa ili aonekana hafai na yeye kupata nafasi ya kugombea urais wa nchi hii,sasa sisi tunamuuliza kama yeye alikua anajiona anafaa ilikua au alikua na haja gani ya kuwatuma watu waje kuwakashifu viongozi wajuu wa chama??yeye zitto anaposema ya kwamba chama hiki kina jasho lake,chama hiki kina muda wake,chama hiki kina damu yake,,sisi tunamhoji sasa kwa yote hayo yanahalalisha yeye kuja kukigawa chama??

Zitto anadhani kwa kuondoka yeye basi chadema inweza yumba,hakuna kitu kama hiko,,

yeye ni mafiki,na aondoke zake tuh

dawa ya mtu jeuri kama huyu ni kiburi tuh,hakuna kumeza meza maneno hapo,zitto ni mnafiki na mzandiki sana
 
Unashangaa Ushirikina na mtu katoka kigoma?
huoni kasema 'ameaga' kwao?
huwahui watu wa kighoma kumbee?

Hapo ndipo mnapoambiwa kuwa mnaenekeza ukabila na ukanda, wataka kusema ZZK kutoka Kigoma inamaana wanaortoka kigopma wote wachawi?
Hili jamvi la watu wenye fikra pevu, haya maneno mengine ya kijiweni si ya humu, kwahiyo wanavyosema wachagga wezi inamaana kumbe hakuna mchaga anayefaa kuwa kiongozi kwakuwa wachaga ni wezi? Mwe mnafikiri vizuri kabla ya kuhukumu watu kimikoa na kimakabila, kama mtu amekosea ahukumiwe yeye
 
haoi ili mradi kaoa.ana malengo yake kama binadamu yeyote anayeishi maisha yake kwa kujiamini na sio kwa kushikiwa.nyie ni mapupeti na kuna mtu kasema hapa tunaweza kuwa tunapambana na ccm ambao wanajaribu kuleta mgawanyiko ndani ya cdm bila kujua naanza kumwamini.tunataka cdm yenye sura ya kitaifa na sio upande mmoja wa nchi.
huyo mtu ndiye unayemsema kakushikia akili?malengo yapi zaidi ya kuwa selfish.Hamuachi shwishi watu watukana, by the way a mbona msiulize CCM kwanini kuna idara zina wahaya tupu, zina anyakyusa tupu na wachaga wakiwa kila kona
 
kumbe mbege nayo kama konyagi yaani ushaanza kulewa mapema hivi,acha umoshi hapa.
mnachosha,sidhangai kama ujinga ndio urith wenu mkuu."kama baba yako anakuoiia story na kukuambia watu fualani wakitutawla si wazuri ila fulani ni wazuri sana" hutakaa uwe huru kwa lolote.sasa mimi ulevi wangu unakuhsu nini?kw akaili yako undhani watu ni wanywaji au walevi.Ni udogo w aubongo au ni ubongo kushindwa kazi?sasa hii inahusiana vipi na nilichoandika?
 
aachane ni biashara hii
images
mudhihiri anamkumbuka,ingawa ni dua za watanzania kipiadi haka kajamaa kakiwa ndicho pekee kijana bungeni kwa hiyo kikaw kinamegewa issue na baadaye kikapata sana huru maya watanzania.Mudhihiri kuingia kichwa kichwa ule mkono wenye mbwembwe, ukachokoka. pengine haya ndiyo mambo yanayompa nguvu asizo nazo
 
Naona mumekimbia,haya waamsheni wenzenu waje kuwasaidia nyambavu kabisa nyie chadema kaskazini.
una kichaa weye, kama nape keshakupa hela imekula kwako,watu wanafanya mambo mengine si kudhinda hapa kuongea na headless,
 
Nijisikia raha kuona vijana wa Chadema wanapambana wenyenyewe wanatengeneza mazingira ya kuizika Chadema.
wewe tumekuzoea ,huwa unajipa raha sana na irrationalities .
 
mtaimba hata zisizoimbika mwaka huuuuuu maana naona mmekazana kutunga umbea kuhusu Zitto......Zitto komaa nao huko huko hadi kielewekeeeee.
Yeye anakuhitaji wewe ukamsaidie kipindi hiki hata kutembea hawezi, halafu wewe unamtuma aende usipo papenda hata wewe mwenyewe.Majunugu yote ya ZItto kwa JJ,Kwa Lissu,kwa Lema na Dr. hapo alipo anajua watu wanajua yote.Ataingiaje na amuangalie nani? huku akijifanya kuwa ni masikini ndio maana CDm wanamnyima njia akamtukana sana Mbowe, na baadaye mzee mtei ktk JF, kahamia kwa Dr. na mkewe, kaongea matusi yote kamaliza.Kaenda hadi karatu na mke wa zamani wa dr. yeya akiwa akichaa naturally, na mwenzie akiwa mjane mtalikiwa, wote wlikuwa na couples ya watu wa kushindnaa nao. hwmbu muulize bani wapi ni umbea na wapi ni ukichaa wa Zitto na si mtu anamu da kuongea umbea kwa ajili yake,.
 
Endelea kujifariji. Ushahidi katika kesi hii pekee unaonyesha kuwa wapo watu wanaofuata mtu kwenye chama, ndio maana ukasikia yanasemwa "kundi la Zitto", au hao kina Juliana wa kizazi cha kale?

Kama mnaona hana impact yoyote kwa chama, mfukuzeni

hivi ushahidi ben aliweka uleule wa msg?vipi kuhusu audio maana kama ni zile msg sidhani kama zinatosha kuwa ushahidi vipi kama naye alinunua mtambo wa kufake msg kama ule aliousingiziwa rizmoja kaununua israel?
 
Bila kujali kwamba tuhuma za Ben Saanane na wengine ni kweli au sio kweli naona ni busara kwa Zitto now ajitoe CHADEMA na aunde hama chake ambacho yeye atakuwa mwenyekiti na ataweza kukusanya washabiki wake wote waliopo CCM na CHADEMA na kwingineko.

Sioni ni vipi Zitto anaweza kugombea urais kwa kupitia CHADEMA sio tu 2015 lakini mwaka wowote ule.....CHADEMA will never be the party for him to vie for the presidency..hii now iko waazi mno.

Na Zitto lengo lake kuu ni kugombea urais...basi ni bora ajipange now.

Mimi naona this way it is better kwa kila mtuZitto na CHADEMA pia.

ZItto hana haja ya kuanzisha chama kingine. Msipomsimamisha kugombea Urais 2015, rais atakuwa Lowasa period, Mzee wa Ndege ya uchumi zidisha mapambano.
 
Endelea kujifariji. Ushahidi katika kesi hii pekee unaonyesha kuwa wapo watu wanaofuata mtu kwenye chama, ndio maana ukasikia yanasemwa "kundi la Zitto", au hao kina Juliana wa kizazi cha kale?

Kama mnaona hana impact yoyote kwa chama, mfukuzeni

Asante sana kwa post hii na huu ndo ukweli.

Strategists tumeshaona rais 2015 kama si ZItto ni Lowasa.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom