Ushauri: Zitto aanzishe Chama chake kingine...

Ushauri: Zitto aanzishe Chama chake kingine...

Status
Not open for further replies.
Zitto siku zote amekua anamwona dr slaa ni tishio kwake,na amekua anatafuta kila namna ya kumdhoofisha kisiasa ili aonekana hafai na yeye kupata nafasi ya kugombea urais wa nchi hii,sasa sisi tunamuuliza kama yeye alikua anajiona anafaa ilikua au alikua na haja gani ya kuwatuma watu waje kuwakashifu viongozi wajuu wa chama??yeye zitto anaposema ya kwamba chama hiki kina jasho lake,chama hiki kina muda wake,chama hiki kina damu yake,,sisi tunamhoji sasa kwa yote hayo yanahalalisha yeye kuja kukigawa chama??

Zitto anadhani kwa kuondoka yeye basi chadema inweza yumba,hakuna kitu kama hiko,,

yeye ni mafiki,na aondoke zake tuh

dawa ya mtu jeuri kama huyu ni kiburi tuh,hakuna kumeza meza maneno hapo,zitto ni mnafiki na mzandiki sana
 

Attachments

  • ZITO 3.jpg
    ZITO 3.jpg
    8.7 KB · Views: 40
zitto kuwa na ngozi ngumu hao wote wanaokusakama tushajua malengo,ukiona watu zaidi mmoja wanawaza jambo kwa kufanana jua hapo hakuna maendeleo.pia huwezi tatua tatizo kwa kulikimbia tatizo
 
Wametumia nguvu kubwa kumdhoofisha Zitto kisiasa wameshindwa na kamwe hawatofanikiwa.Hapo ni zanga zanga usitoke Zitto umma wa watanzania bado wanapenda upaze sauti yako ya utetezi ndani ya CHADEMA.Aluta continua mpaka mabeberu ya kaskazini yajisalimishe :yield:
 
Zitto siku zote amekua anamwona dr slaa ni tishio kwake,na amekua anatafuta kila namna ya kumdhoofisha kisiasa ili aonekana hafai na yeye kupata nafasi ya kugombea urais wa nchi hii,sasa sisi tunamuuliza kama yeye alikua anajiona anafaa ilikua au alikua na haja gani ya kuwatuma watu waje kuwakashifu viongozi wajuu wa chama??yeye zitto anaposema ya kwamba chama hiki kina jasho lake,chama hiki kina muda wake,chama hiki kina damu yake,,sisi tunamhoji sasa kwa yote hayo yanahalalisha yeye kuja kukigawa chama??

Zitto anadhani kwa kuondoka yeye basi chadema inweza yumba,hakuna kitu kama hiko,,

yeye ni mafiki,na aondoke zake tuh

dawa ya mtu jeuri kama huyu ni kiburi tuh,hakuna kumeza meza maneno hapo,zitto ni mnafiki na mzandiki sana

Slaa anakadi 2,hawazi kwenda ikulu na kadi 2,mwambieni rudishe kadi moja kwanza
 
ben 14:00 ni nouma.kaletabriefing nzuri sana ya ku update watu,halafu vitu muhimu akaviweka kwa ajili ya mkutano vikao vya ndani vya chama.Hao masalia wameropoka hadi wakamaliza vyote na vyote vinawahukumu wao.This is a golden chance ya CDM kuwamaliza mamluki wote hadi wale waliopo ktk vijiwe kama NCCR na CUF, na kwingine.sasa hadi mzee rungwe mpuuzi kihivyo?anataka ushujaa upi wakati kachoka, na bado anataka shafu a mafisadi?
upo nyumbani moshi x-mac hii au unakomaa mjini bado
 
upuuzi kumchafua zitto ukitegemea chadema kubaki salama

zitto kuwa na ngozi ngumu hao wote wanaokusakama tushajua malengo,ukiona watu zaidi mmoja wanawaza jambo kwa kufanana jua hapo hakuna maendeleo.pia huwezi tatua tatizo kwa kulikimbia tatizo

user-online.png
chepe kubwa

Today 13:59
#52
Member Array


Join Date : 19th December 2012
Posts : 49
Rep Power : 310
Likes Received3
Likes Given1

user-online.png
mbasansebhu

Today 13:59
#53
Junior Member Array


Join Date : 17th December 2012
Posts : 8
Rep Power : 302
Likes Received0
Likes Given0
 
Aende na chauma yake! Hata wakijaribu kumsafisha kwa dodoki la chuma kamwe asafishiki kamwe!

Nendeni na masalia huko Chauma
 
Kigoma ikiendelea toa watu wa hovyo hivi basi itakuwa na miak amingi sana kupata maendeleo.hata yakijengwa majengo mengi sana miradi mingi, generation moja tuu wanarudi ktk tope.Tazama Kafulila, tazama Zitto, walikuwa ktk best position ya kuwa nyota na tumaini la vijana ktk miaka michache ijayo.Sasa wamekuwa viumbe wa hovyo kihivyo.Wamekuwa laana ya mikoa yao.Kafulile akiwa kijana mdogo, kaharibu CDM , kaenda haribu NCCR, kilio alichotoa pale akiwa na waandishi wa habari kilionyesha wazi jinisi alipaswa jua kuwa Zitto si mtu mwema na kumfanya kuwa boss i makos amakubwa sana.

Kama kawaida ikulu ikasaidia mchakato, bado anarudi tena CDM kupika majungu na ujinga mwingine.Hii ni laana kwa Kigoma.Inabidi muache uchawi na ujinga mwingine.Mnapotea kirahisi sana kwa tamaa ya vitu ktik maisha.Najua kuna vibarua wengi sana kigoma huwa wakitoka hawapendi kurudi tena nyumbani kwao kw ajinsi wanavyoridhika na hivyo vibarua ktk majumba ya watu,ila sikutegemea haya kwa vijana kama kina Zitto, na kafulila.Nini hawajaona hadi wawe kama maiskini waliotafunwa sana na umasikini kiasi ch akufanya washindwe jua wapi wajishike.
 
dr w, slaaa

zitto na kitila mkumbo ni wanafiki na mamluki,tunataka sisi kama wanachadema kuskia sauti yako,na suit ya chama,najua wewe unajitambua na tunakuheshim sana,huwez zungumza hapa

kwenye vikao vya chama hukon ndani tunataka hili msiliache juu juu,mlizungumze mtupe na mrejesho,,tuna hasira sana na watu wanafik kama hao

tunatumia tuh hizi fake ids lakini kazi tunayoifanya kukijenga chama hiki na nyinyi bega kwa gega sio ya kuwaachia wapuuzi kama zitto na wenzao kuja kukiangamiza chama hiki tena kwa wakati kama huu

we are so much pissd off..!!
 
Bila kujali kwamba tuhuma za Ben Saanane na wengine ni kweli au sio kweli naona ni busara kwa Zitto now ajitoe CHADEMA na aunde hama chake ambacho yeye atakuwa mwenyekiti na ataweza kukusanya washabiki wake wote waliopo CCM na CHADEMA na kwingineko.

Sioni ni vipi Zitto anaweza kugombea urais kwa kupitia CHADEMA sio tu 2015 lakini mwaka wowote ule.....CHADEMA will never be the party for him to vie for the presidency..hii now iko waazi mno.

Na Zitto lengo lake kuu ni kugombea urais...basi ni bora ajipange now.

Mimi naona this way it is better kwa kila mtuZitto na CHADEMA pia.
Mkuu the Boss, angalau kuna viongozi wengine wa Chadema walishawahi kuwa wanachama wa vyama vingine na ndio maana wengine hata kadi wanatunza kwa kumbukumbu!, lakini ZZK ni "born 'n' breed" in Chadema!. Kwake Chadema is the only party he knows!.

Kwa vile he was born Chadema, he will die Chadema!. Kwetu sisi wengine, ZZK ni Chadema na Chadema ni pamoja na ZZK, bila ZZK hakuna Chadema na bila Chadema hukuna ZZK!.

Nyie mnaemuona ZZK hawafai katika chama chenu, ili kuhalalisha kuwa Chadema kina wenyewe, na ndio maana wale mnao waona kama sio wenyewe ndio mnawataka watoke wakaanzishe vyama vyao ili mbaki wenyewe?!.

Maadam ZZK hajui chama kingine chochote, kwa baadhi yetu ZZK ni miongoni mwa wenye Chadema na mwakani tunamchagiza agombee Uenyekiti ili kuifutilia mbali ile dhana ya nepotisim kwenye top brass!.

Sasa nyinyi mnaemuona hafai, ndio tungewashauri mfungashe virago vyenu au mrejee kwenye vyama vyenu au mkaanzishe vyama vyenu mumsusie ZZK muone jinsi Chadema kitakavyo geuka ni chama cha kitaifa over night!. Mpaka Zanzibar kitafika!.

Naombeni sana tusimsakame ZZK based on taarifa za Saa8, na jee ikitokea ZZK akamkomalia huyo Saa8 aliyemtuma na kumpa ile sumu ya panya, mtasema nini?.

Dalili zote zinaonyesha "kikulacho", Chadema, "kii nguoni mwako!". Ila pia kuna uwezekano mkubwa mkakuta "Umdhaniye ndiye... siye!".
Pasco
 
Hapo kwenye kuaga aka ushirikina ni kauli yake Zitto mwenyewe sio ya Ben na ndio alipo chemka veery big, zitto he's fake




Eti kuna watu wanakuja hapa kumtetea zitto,hata aibu hawana

washirikina sisi tuna haja nao gani??hata mkisema cdm ni chama cha kikabila,au taasisi si dawa ya kuponya uasi wa zitto aliouonesha wazi wazi

aondoke zake tuh,hatufugi wanga chadema
 
There are currently 71 users browsing this thread. (27 members and 44 guests)


hivi unamfananisha kitila na sisimizi BEN Saa 8,ambaye ni ugonjwa na sio kiongozi hata uwenyekiti wa kata chadema hajawai kuupata.
 
Kweli hatumtaki hatuwezi endelea kaa na mnafiki,kigagula,msaliti na mtengeneza majungu na makundi kwa nyie mnaofurahia mtu mwenye sifa hizo mchukueni,. Akija anza huo ujinga wake ndio mtaona,.kumbukeni Kunguru hafugiki

ni kweli kabisa ila ZZK hana kadi mbili
 
Zitto you did the right thing in a wrong!! All the wise will realize this!
Zitto just accept what am telling you and move for the next level!

WHICH is

Learn where you went wrong ... apologize STRONGLY

THEN

SIMPLY DO THE RIGHT THING, FOR THE RIGHT REASON, IN A RIGHT WAY!!!

Siku zote kawa akipigania kuwa yeye ndiye yupo sahihi tuu, superman.
 
Zitto you did the right thing in a wrong!! All the wise will realize this!
Zitto just accept what am telling you and move for the next level!

WHICH is

Learn where you went wrong ... apologize STRONGLY

THEN

SIMPLY DO THE RIGHT THING, FOR THE RIGHT REASON, IN A RIGHT WAY!!!
kweli mkuu
 
Zitto ni kiongozi mzuri na anajua kupanga na kupangua hoja...pia ni mchambuzi mzuri na anajua kutoa hoja zenye mashiko na analysis ya hali ya juu....Zitto kabwe ana mapungufu yake ambayo dharau...ana dharau kazi za wengine na hata mawazo ya wengine....zaidi ana umimi zaidi....ndio maana siasa zake zote zina jitihada kubwa ya mimi kuwa mimi ... na mimi ndio mimi Zitto Zuberi Kabwe!
 
Mkuu huyu bila shaka atakuwa ndiye Mchange a.k.a MDUDE au Mtela mwampamba a.k.a KONY

Mkuu,

Kwa kadiri IDs mpya zilivyoibuka kuanzia usiku wa manane 19/12/2012 hadi leo, tena zote zikiwa na lengo moja tu la kupambana kumtetea mtu mmoja, hauhitaji kuwa First Class Economist Kujua kuwa hizi ni aidha DOGO/PREZOO, MDUDE, KONY au bibi BENAZIR

Cc[MENTION] Chepe Kubwa[/MENTION], Taswira, A[MENTION]LWATAN KIZIGO[/MENTION], [MENTION]Ben Saanane

[/MENTION]
 
Last edited by a moderator:
mwanga mwenzako ritz yuko wapi??

mshachukua posho kutoka kwa mabosi wenu zito na mkumbo mje kuwasafisha humu,waambie waendelee tuh kuwanga,chama kinasonga mbele na kiko imara

vihiyo kama hao sisi hawatushughulishi wala kutunyima usingizi,,hadi wakaage??wapi na wapi sasa

wanga sifa yao kubwa ni woga,thats why wanapenda kufanyia mambo yao gizani,,

chadema kiboko yaoo
Kama mnaamini katika nguvu ya umma basi umma huo huo njdi uliompa Zitto mioyo yao.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom