Chepeo+ushirikina=masalia
umeshaamka,wenzako wameshagawana posho,watafute ukachukue
Chepeo+ushirikina=masalia
yey ndio Jk?Sahihi si zilibuma.Ni kwamba ulikuwa ukiota au?Mamabo yaliyopelekea yalikuw amengi, kuanzia issue ya Nundu, wizara ya afya na suala la ulimboka,masha na umeme, na mengine mengi tuu sasa sijui lipi unadhani ni deal.
Wewe si umeachika atakuja kukuoa ww akupe viti maalumu,,Zitto ana iq kubwa kuliko huyo.
Bado unamini fikra mfu za zitto.naye si angeoa mkewe apewe vitu maalum kigoma.kashindwa shawishi mwanamke wa kuoa atwawezaje shawishi watu kuwa anafaa kuwa rasi.lazima we frustrated.
Namkumbuka mzee mmoja aliwahi niambia mwanamume akishindwa mshawishi mwanamke aingie ndani mwenyewe na kutaka paishi hata kama hakuna kitanda , mwanamume asiyweza mfanya mwanamke amwone kuwa anastahili kuwa baba watoto wake hawezi ongea kitu ya maana.
Wanawake na hata wanyama wa kike huwa hawapendi zaa na wanaume wanaowaona hawafai.Hiyo ndiyo test mojawapo.Atalazimisha sana kila kitu.
Nasikia umechukua nafasi ya ben hapa JF,komaa Le Big show kusafirisha mke na watoto x mass Moshi sio mchezo.
unaniita mimi ndugu yako??mimi sio ndugu yako kbs,usinizoee zoee,sina undugu na ccm mimi
pia sihitaji hata kuoa mtoto wa kike kama wewe mwenye mapenz na ufisadi umeskia??tusijuane juane,tumekutana kimjini mjin humu,,,,
na hakuna bwana wa bure hapa,,kama unatafuta bwana jukwaa zingne zimo humu ndani,waambie au waulize mods wakusaidie,,zipo sehemu humu humu jamii forum unaruhusiwa kupost na kuomba kutafuta mabwana,na utawapata wengi tuh,jamii forum itakusaidia kwa hilo pia
ila kwangu mimi full stop,,sihitaji dem,nishaoa,,ok??
nashukuru kwa kunielewa
Hana nafasi kwanza ni ndumila kuwili
Teh teh, pengine hunijui vyema.mimi situmii pweza wala sihitaji tumia ila mziki wake wanajua dada zenu.IQ ipi sasa anakuwa **** kihivyo, wakati Lisu anweza handle vitu hata akiwa under immense pressure.
Bila kujali kwamba tuhuma za Ben Saanane na wengine ni kweli au sio kweli naona ni busara kwa Zitto now ajitoe CHADEMA na aunde hama chake ambacho yeye atakuwa mwenyekiti na ataweza kukusanya washabiki wake wote waliopo CCM na CHADEMA na kwingineko.
Sioni ni vipi Zitto anaweza kugombea urais kwa kupitia CHADEMA sio tu 2015 lakini mwaka wowote ule.....CHADEMA will never be the party for him to vie for the presidency..hii now iko waazi mno.
Na Zitto lengo lake kuu ni kugombea urais...basi ni bora ajipange now.
Mimi naona this way it is better kwa kila mtuZitto na CHADEMA pia.
Bora kigagula zitto kimejulikana mapema kabla ya 2014Nijisikia raha kuona vijana wa Chadema wanapambana wenyenyewe wanatengeneza mazingira ya kuizika Chadema.