Ushauri: Zitto aanzishe Chama chake kingine...

Ushauri: Zitto aanzishe Chama chake kingine...

Status
Not open for further replies.
Hii ni nchi ya kidemokrasia,Pamoja na kazi nyingine,Ofisi ya msajili wa vyama vya siasa huhusika na kusajili vyama vipya.Namshauri Zitto badala ya kuhangaika mahakamani na chadema,aanzishe chama chake au ajiunge na chama kingine cha siasa.Naamini katika ufuasi alio nao,ataungwa mkono na watu wengi na wananchi wa kigoma kaskazini,watamrudishia ubunge wake.

Thubuuutu !
 
Mkuu Zitto nje ya Chadema hana nguvu kama unavyofikiri.

Kujenga chama si kazi ya kitoto,
Nakubaliana na mawazo yako na inaelekea zzk analijua hili vizuri ndiyo maana ameenda kulia mahakamani na anang'ang'ania kubaki chadema..Lakini kama anajua nguvu zake zinatokana na chadema,kwanini asikiombe chama msamaha hadharani? Ajutie makosa yake na aahidi kutoyarudia tena.Naamini Chadema watakuwa waungwana vya kutosha kumsamehe.Ninachojua mimi,ZZK hawezi kushindana na chama na kuibuka mshindi.Never.
 
Je, ule usemi wa samaki anakuwa na nguvu akiwa ndani ya maji unathibitshwa na ZZK kung'ang'ania Chadema?
Je,ZZK anajua akitoka Chadema nguvu zake za kisiasa zitakuwa zimeisha?
Je,wafuasi wa Zitto wanajua kwamba bosi wao akiondolewa chadema anakuwa kwishnei?
Laiti mimi ningekuwa ZZK,ningekipigia magoti chama changu kinisamahe.
 
...ukitaka kujua nia yake angalia kauli zake na posts zake,anataka kuhakikisha alichotumwa na wasira kinatimia kabla hawajamchinja...
 
Akomae tu hapo hapo kwani kwenye changamoto nyingi ndipo kwenye mafanikio kwani hapo kunakuwa na uzoefu wa ku-handle problem mbalimbali kwani hata akianzisha chama kingine ikitokea nako kuna mgogoro nako itakuaje maana itakuwa ni mtu wa kuhamahama

pale chadema hatakiwi tena,jamaa amekua tatizo sana,amelewa sifa na sasa zinamtokea puani,anaonja machungu ya usaliti,yaani anachopata sasa ndicho alichokua amepanganaa kiwapate wenzie. kwishney,akaanzishe chama yeye na Kafulila tuone kama watawez
 
Mkopo wa gari kutoka kwa Nimrod Mkono....

Nimrod Mkono huyu huyu wa list of shame!

SMH.
 
Yeye ni NDUMILA KUWILI hana WASHABIKI CCM wa kumfanya KUWA RAIS; SHABIKI wake MKUBWA CCM in RAIS wa NCHI na NIA yake ni Kwa KUIVURUGA CHADEMA...

ANGALIA AKIANZISHA CHAMA CHAKE UONE - WAPI atapata PESA na WASHABIKI... atakuwa AMEJIUA KISIASA...
SIASA za BONGO sio kama ZA KENYA... KURUKA RUKA na VYAMA kama CHURA

mbowe kasema hakuna tatizo kuwa rafiki na kuchukua hela kutoka kwa kikwete au ccm
 
Mkopo wa gari kutoka kwa Nimrod Mkono....

Nimrod Mkono huyu huyu wa list of shame!

SMH.

Ninakufuatilia na ninaona ulivyo na freemind

chadema top management has to go, I feel sorry for x padre
 
Zitto siyo presidential material hata chembe.

Iwe tuhuma dhidi yake ni za kweli au la, a presidential material has to be above suspicion in many respects.

Sasa huyu kwenye ufisadi, tuhuma anazo. Kwenye undumilakuwili, tuhuma anazo. Kwenye usaliti, tuhuma anazo.

Na sasa hadi kwenye ushirikina, tuhuma anazo.

Where there is smoke there is fire. Zitto hafai kuwa rais.

He is too polarizing.

Nyani Ngabu...haya uliyaandika mwaka 2012..wenye akili tulikuelewa!
 
Last edited by a moderator:
Ninakufuatilia na ninaona ulivyo na freemind

chadema top management has to go, I feel sorry for x padre

Bora hata angesema amekopa gari kutoka kwa tapeli kama Ndama "Mutoto ya Ng'ombe" ningeona labda watoto wa Kigoma wameelewana na Ndama hizi shughuli zake...

But Nimrod Mkono na mkopo wa gari???
 
Zitto siyo presidential material hata chembe.

Iwe tuhuma dhidi yake ni za kweli au la, a presidential material has to be above suspicion in many respects.

Sasa huyu kwenye ufisadi, tuhuma anazo. Kwenye undumilakuwili, tuhuma anazo. Kwenye usaliti, tuhuma anazo.

Na sasa hadi kwenye ushirikina, tuhuma anazo.

Where there is smoke there is fire. Zitto hafai kuwa rais.

He is too polarizing.

Duh..!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom