Ushauri: Zitto aanzishe Chama chake kingine...

Status
Not open for further replies.
kwa sasa ukiangalia zitto hawamuitaji chadema...wewe ukiwa mtanzania unamshauli zitto unafikili ni chama gani ya hivi ungependa kuona anajiunga.....na pili akienda huko..anaweza kuwa mwenyekiti,katibu mkuu,naibu katibu mkuu...au ni wapi panapomfaaa

1.cuf....

2.ccm....

3.nccr mageuzi...

4.adc......

5.tlp....

6.udp...

Chama Cha Kijamii
 
NI hatari sana kuongozwa na watu waroho wa madaraka kama zitto, si kwa chama tu bali hata kwa nchi pia. Chadema wanapaswa wamfukuze kabisa ili wawe salama.
 
Nimetazama post za watu wengi ndani ya mitandao ya kijamii wanaona kama wabunge wanaotoka kigoma wakivunja katiba wakiadhibiwa wanaona kama wanaonewa huo ni ujinga kutokujua kanuni na taratibu za chama wabunge wanaotoka kigoma wana historia chafu wakipata umaarufu wanajisahau walitoka mf kafulila mpaka sasa yule ni mbunge wa mahakama alitaka kupindua mbatia wakamfukuza akakimbilia mahakamani zitto naye amerudi yale yale ya kafulila na amekimbilia mahakama kama wanaona wanaonewa waanzishe chama chao tuone watafika wapi?????
 
banyamulenge ndo zao...kuna dr.kabouru,nzanzogwako nk tabu tu wabishin kama nyama ya goti

We una miny..ooo kichwani! 1kb kichwan! Unaendeleza ukabila na ukanda? mbona kigoma kuna wafuasi wa Mbowe pia. We hamnazo kweli.!
 
TAKE IT OR LEAVE IT!!!!!!!!
ZITTO KABWE ANATUDHALILISHA VIJANA WA TANZANIA!
Unaweza ukakubaliana na mimi kuwa katika nchi yetu bado tuko katika kipindi ambacho sisi kama vijana tumekua katika harakati za kuuaminisha umma wa watanzania kwamba tunaweza kuongoza kwa ufanisi,na kupindua dhana kuwa wenye uwezo wa kushika nafasi mbalimbali ni watu wa makamo peke yao. Ni kipindi ambacho vijana wamekuwa katika hali ya kutaka kuonyesha ufanisi na uzalendo katika taifa lao na taasisi wanazofanyia kazi ili kukataa kwa vitendo ile dhana mbovu kuwa VIJANA WASIKABIDHIWE NCHI WATAIUZA!!!
Tumejionea jinsi mbalimbali wanavyojitokeza katika fursa mbalimbali za utumishi na uongozi katika taasisi binafsi na serikalini kwa ujumla...na kujizolea umaarufu mkubwa kutokana na ufanisi wao!,nisiwachoshe kwa kuwatajia orodha ndefu ya vijana hao ambao wamekuwa mfano kwa sisi vijana pamoja na taifa kwa ujumla nijikite kumzungumzia aliyenifanya niandike makala hii fupi sio mwingine ni ZITTO ZUBERY KABWE.
ZITTO KABWE haepukiki kutajwa pale unapozungumzia masuala yanayohusu siasa za Tanzania, anahesabika kama ni kijana aliyeanza siasa katika umri mdogo na kugeuka mwiba kwa serikali hasa katika udhibiti wa mali za umma, umakini wake uligeuka chachu kwa kuuaminisha umma kwamba vijana wanaweza uongozi...vijana nchi nzima zitto akageuka role model..akawavutia vijana wengine wengi kuingia katika uongozi hasa katika bunge(mnawajua sio lazima kuwataja).Hii imekuwa ikiongeza changamoto hasa kwa watawala kwani tumefanikiwa kuwa na bunge lenye vijana na matokeo yake tumeyaona kwamba kwa kiasi kikubwa wameweza kusimamia utendaji wa serikali.
HOJA YA MSINGI:
Ninachotaka kusema hapa ni kwamba mambo anayotuhumiwa zitto kwa sasa yawe ya kweli au ya uongo...yanachochea wananchi kutokuwa na imani na vijana wa taifa hili tena!!.Zitto Z Kabwe kijana aliyeonekana mzalendo ndani ya nchi na taasisi yake hadi akachaguliwa kuwa naibu katibu mkuu leo anaitwa MSALITI.Wanaomtuhumu wanasema wanaudhibitisho kwamba ni kweli amekuwa akikisaliti chama tokea 2010 kwenye uchaguzi mkuu hadi leo na anahongwa pesa ili avujishe siri za CHADEMA (HATA KAMA SIO KWELI ZIMENIKWAZA). Hii ina maana hata vijana wanasiasa chipukizi kama sisi tulikuwa tunafuata nyayo zako mh.zitto kwa sasa hatuna matumaini tena kwani tuliyekua tukimtegemea alikuwa anajua anachokifanya nyuma ya pazia.....zitto ameonyesha kwa vitendo kupitia mitandao ya kijamii kuwa ni mtovu wa nidhamu...na amelewa sifaa..kwa kweli UMETUANGUSHA....Wenye ushahidi wanasema amenunuliwa ili mafisadi waendelee kupeta!!!!!
kwa maana hiyo INASEMEKANA KIJANA MWENZETU ZITTO KABWE AMESALITI HARAKATI ZA UKOMBOZI WA TANZANIA kwa kupewa pesa na mafisadi(imenukuliwa)
HAYA YAMESHATOKEA si maanishi kuwa hatuwezi tena kuwa na vijana wazalendo, bali hii ni changamoto kwetu chipukizi tuwe makini kuepuka haya yaliyomkuta aliyekuwa role model wangu Nakiri tena bila chembe ya unafiki"SINA TENA CHA KUIGA KWAKO KAKA ZITTO KUTOKANA NA HAYA UNAYOTUHUMIWA KUYAFANYA"
0789836060
 
Nilikuwa na imani kubwa sana na ZZK kabla ya hili sakata, lakini sasa nina mashaka makubwa na umakini na ubora wake hasa baada mimi binafsi kutoridhishwa na namna anavyoshughulikia tuhuma zinazomkabili, hakutakiwa kuwa anajibizana na kutumia nguvu nyingi kupambana na tuhuma zake hasa kupitia vyombo vya habari, hata kama angekuwa anaonewa angeiga tu mfano wa nywele nyeupe alivyokaa kimya alipokutana na maswahibu kama haya least nw kuna watu wanamwona ana busara na hekima kidogo pamoja na nguvu aliyonayo aliweza kukaa kimya
 
Last edited by a moderator:
zito kabwe ni baba lao.mwambie mbowe aanzishe chama chake chadema hatumtaki
 
Zitto hawezi kuaminiwa tena na wanamapinduzi Tanzania labda ahamie Burundi wasikomfahamu.
Akianzisha chama hapa nyumbani, kitakuwa ni chama cha wasaliti wa vyama (CWV).
.
 
Bila kujali kwamba tuhuma za Ben Saanane na wengine ni kweli au sio kweli naona ni busara kwa Zitto now ajitoe CHADEMA na aunde chama chake ambacho yeye atakuwa mwenyekiti na ataweza kukusanya washabiki wake wote waliopo CCM na CHADEMA na kwingineko.

Sioni ni vipi Zitto anaweza kugombea urais kwa kupitia CHADEMA sio tu 2015 lakini mwaka wowote ule... CHADEMA will never be the party for him to vie for the presidency..hii now iko waazi mno.

Na Zitto lengo lake kuu ni kugombea urais...basi ni bora ajipange now.

Mimi naona this way it is better kwa kila mtu Zitto na CHADEMA pia.
Khaa!! Wewe vipi? ZZK yuko CDM. Na atabaki hapo milele. Acha ujinga
 
Yeye ni NDUMILA KUWILI hana WASHABIKI CCM wa kumfanya KUWA RAIS; SHABIKI wake MKUBWA CCM in RAIS wa NCHI na NIA yake ni Kwa KUIVURUGA CHADEMA...

ANGALIA AKIANZISHA CHAMA CHAKE UONE - WAPI atapata PESA na WASHABIKI... atakuwa AMEJIUA KISIASA...
SIASA za BONGO sio kama ZA KENYA... KURUKA RUKA na VYAMA kama CHURA

Hizi habari zinatisha sana!

So hutaki atoke na kuanzisha chama chake?
at the same time unaona anasaliti chadema?

Zitto siyo presidential material hata chembe.

Iwe tuhuma dhidi yake ni za kweli au la, a presidential material has to be above suspicion in many respects.

Sasa huyu kwenye ufisadi, tuhuma anazo. Kwenye undumilakuwili, tuhuma anazo. Kwenye usaliti, tuhuma anazo.

Na sasa hadi kwenye ushirikina, tuhuma anazo.

Where there is smoke there is fire. Zitto hafai kuwa rais.

He is too polarizing.

Mwisho, nasikia sikia sana habari za kuchinjana. Kuuana nk. Nasikia habari hizi kwa watu wale wale wa kikundi kile kile. Moja, natoka Kigoma. Nimeaga kwetu. Nitakufa kwa amri ya Mungu. Siogopi kufa. Iwapo kifo changu kitatokana na mkono wa mtu, sidhani kama kwa mtu huyo kama hata panya atabaki nyumbani kwao. Underline this.,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,Haya si maneno yangu,ni ya mh Zitto,anayetaka kuwa rais...Mungu tusaidie.

Siko hapa kumuunga mkono
na utaona sijasema 'anafaa'
lakini kugombea urais ni haki yake ya kikatiba
sasa bora atoke huko Chadema afanye siasa where he will be more free
na Chadema watajipanga vizuri

Oh yeah...kama anatimiza vigezo vilivyowekwa na katiba ni haki yake kama ilivyo haki kwa Watanzania wengine.

Ila kwangu mimi nilishagasema hafai na bado nasema hafai.

Kwenye politics kufaa au sio kufaa sometimes
hakutazamwi

watu hutazama wafuasi wangapi unao
so kama yeye anaamini anaweza kugombea urais na kushinda
basi hawezi kushindwa kuanzisha chama na kikawa cha kitaifa
atajisaidia yeye na kuisaidia chadema pia

Nimekuwa na mashaka muda mrefu na ADC, ninahisi ana mpango wa kuhamia kule.
Ni muda sasa Kgm vuguvugu ya CDM imepungua, mwandiga kwenye kata yake ni bendera za ADC tu. Hivyo nafikiri Mazingira au ukipenda plan B amekuwa akiiandaa muda mrefu.

Kwa maneno mengine ni kwamba, mimi kamwe siwezi kumpigia kura ya urais hata kama wengine watampigia.

Sasa watu wengine siyo mimi. Kama wao wanaona anafaa basi na wampigie kura kwani ndiyo demokrasia hiyo.

Ila kwangu kamwe hafai.

pole kwa lipi kamkana hamjui ben kumbe alikuwa anamshirikisha mpaka mkumbo ben aje akanushe huku akiwa alishamshirikisha hata viapo vyake vya kwa mganga wasivujishe siri za kundi lake la wasaliti huku akija jamii forums kutuongopea ben kamwanika na mamuye jinsi mchana chadema usiku ccm soma majibu ya ben uelewe hutampongeza utamshauri ache siasa za undumila kuwili

Afanye sasa
maana ameshaanza kulalamika 'mipango ya kumuua'
which is dangerous iwe kweli ai si kweli

Zitto ni mnafiki sana, ukweli kama kuhama chama kungekuwa hakuna madhara makubwa angeruhusiwa ahame au afukuzwe.

Lakini kutokana na ujinga wa Watanzania wengi ni afadhali abaki huko huko mpaka 2015 tuone kama atakuwa amejifunza.

Kijana mchinvi sana na mchonganishi.

Zitto kazoea vya kunyonga, vya kuchinja hawezi. Aanze mwanzo na mtu mwenyewe anataka kutawala vile vilivyo tayari, hana ubavu huo! Zitto ni kichwa ngumu,mbishi,jeuri, na alielewa sifa. Nakubali kuwa anauwezo mzuri wa kufikiri. Lakini uwezo bila nidhamu ni ushenzi tu Zitto.

Huyu anasikiliza ushauri wa waganga wake. Wakimwambia aanzishe, ataanzisha! La sivyo, wakimwambia abaki chadema, ndio hivyo pia!

Unashangaa Ushirikina na mtu katoka kigoma?
huoni kasema 'ameaga' kwao?
huwahui watu wa kighoma kumbee?

Zitto hawezi kuaminiwa tena na wanamapinduzi Tanzania labda ahamie Burundi wasikomfahamu.
Akianzisha chama hapa nyumbani, kitakuwa ni chama cha wasaliti wa vyama (CWV).
.

Khaa!! Wewe vipi? ZZK yuko CDM. Na atabaki hapo milele. Acha ujinga

NI hatari sana kuongozwa na watu waroho wa madaraka kama zitto, si kwa chama tu bali hata kwa nchi pia. Chadema wanapaswa wamfukuze kabisa ili wawe salama.

Nimetazama post za watu wengi ndani ya mitandao ya kijamii wanaona kama wabunge wanaotoka kigoma wakivunja katiba wakiadhibiwa wanaona kama wanaonewa huo ni ujinga kutokujua kanuni na taratibu za chama wabunge wanaotoka kigoma wana historia chafu wakipata umaarufu wanajisahau walitoka mf kafulila mpaka sasa yule ni mbunge wa mahakama alitaka kupindua mbatia wakamfukuza akakimbilia mahakamani zitto naye amerudi yale yale ya kafulila na amekimbilia mahakama kama wanaona wanaonewa waanzishe chama chao tuone watafika wapi?????

banyamulenge ndo zao...kuna dr.kabouru,nzanzogwako nk tabu tu wabishin kama nyama ya goti

TAKE IT OR LEAVE IT!!!!!!!!
ZITTO KABWE ANATUDHALILISHA VIJANA WA TANZANIA!
Unaweza ukakubaliana na mimi kuwa katika nchi yetu bado tuko katika kipindi ambacho sisi kama vijana tumekua katika harakati za kuuaminisha umma wa watanzania kwamba tunaweza kuongoza kwa ufanisi,na kupindua dhana kuwa wenye uwezo wa kushika nafasi mbalimbali ni watu wa makamo peke yao. Ni kipindi ambacho vijana wamekuwa katika hali ya kutaka kuonyesha ufanisi na uzalendo katika taifa lao na taasisi wanazofanyia kazi ili kukataa kwa vitendo ile dhana mbovu kuwa VIJANA WASIKABIDHIWE NCHI WATAIUZA!!!
Tumejionea jinsi mbalimbali wanavyojitokeza katika fursa mbalimbali za utumishi na uongozi katika taasisi binafsi na serikalini kwa ujumla...na kujizolea umaarufu mkubwa kutokana na ufanisi wao!,nisiwachoshe kwa kuwatajia orodha ndefu ya vijana hao ambao wamekuwa mfano kwa sisi vijana pamoja na taifa kwa ujumla nijikite kumzungumzia aliyenifanya niandike makala hii fupi sio mwingine ni ZITTO ZUBERY KABWE.
ZITTO KABWE haepukiki kutajwa pale unapozungumzia masuala yanayohusu siasa za Tanzania, anahesabika kama ni kijana aliyeanza siasa katika umri mdogo na kugeuka mwiba kwa serikali hasa katika udhibiti wa mali za umma, umakini wake uligeuka chachu kwa kuuaminisha umma kwamba vijana wanaweza uongozi...vijana nchi nzima zitto akageuka role model..akawavutia vijana wengine wengi kuingia katika uongozi hasa katika bunge(mnawajua sio lazima kuwataja).Hii imekuwa ikiongeza changamoto hasa kwa watawala kwani tumefanikiwa kuwa na bunge lenye vijana na matokeo yake tumeyaona kwamba kwa kiasi kikubwa wameweza kusimamia utendaji wa serikali.
HOJA YA MSINGI:
Ninachotaka kusema hapa ni kwamba mambo anayotuhumiwa zitto kwa sasa yawe ya kweli au ya uongo...yanachochea wananchi kutokuwa na imani na vijana wa taifa hili tena!!.Zitto Z Kabwe kijana aliyeonekana mzalendo ndani ya nchi na taasisi yake hadi akachaguliwa kuwa naibu katibu mkuu leo anaitwa MSALITI.Wanaomtuhumu wanasema wanaudhibitisho kwamba ni kweli amekuwa akikisaliti chama tokea 2010 kwenye uchaguzi mkuu hadi leo na anahongwa pesa ili avujishe siri za CHADEMA (HATA KAMA SIO KWELI ZIMENIKWAZA). Hii ina maana hata vijana wanasiasa chipukizi kama sisi tulikuwa tunafuata nyayo zako mh.zitto kwa sasa hatuna matumaini tena kwani tuliyekua tukimtegemea alikuwa anajua anachokifanya nyuma ya pazia.....zitto ameonyesha kwa vitendo kupitia mitandao ya kijamii kuwa ni mtovu wa nidhamu...na amelewa sifaa..kwa kweli UMETUANGUSHA....Wenye ushahidi wanasema amenunuliwa ili mafisadi waendelee kupeta!!!!!
kwa maana hiyo INASEMEKANA KIJANA MWENZETU ZITTO KABWE AMESALITI HARAKATI ZA UKOMBOZI WA TANZANIA kwa kupewa pesa na mafisadi(imenukuliwa)
HAYA YAMESHATOKEA si maanishi kuwa hatuwezi tena kuwa na vijana wazalendo, bali hii ni changamoto kwetu chipukizi tuwe makini kuepuka haya yaliyomkuta aliyekuwa role model wangu Nakiri tena bila chembe ya unafiki"SINA TENA CHA KUIGA KWAKO KAKA ZITTO KUTOKANA NA HAYA UNAYOTUHUMIWA KUYAFANYA"
0789836060

Anawadhalilisha nyie mnaompa kichwa na kumlamba miguu, na kuanzisha sredi zake.

Mkuu Pasco
mimi mwenyewe nimejishangaa hapa jinsi nilivyoona future ...

Nilikuwa na imani kubwa sana na ZZK kabla ya hili sakata, lakini sasa nina mashaka makubwa na umakini na ubora wake hasa baada mimi binafsi kutoridhishwa na namna anavyoshughulikia tuhuma zinazomkabili, hakutakiwa kuwa anajibizana na kutumia nguvu nyingi kupambana na tuhuma zake hasa kupitia vyombo vya habari, hata kama angekuwa anaonewa angeiga tu mfano wa nywele nyeupe alivyokaa kimya alipokutana na maswahibu kama haya least nw kuna watu wanamwona ana busara na hekima kidogo pamoja na nguvu aliyonayo aliweza kukaa kimya

Zitto ni jembe. Pigeni kelele sana kwa kadri mwezavyo. Semeni yote mtakayo. Tukana sana kwa namna mtakavyo lakini Zitto yupo tu na ataendelea kuwepo CHADEMA.

CHADEMA kina jasho lake. Hatang'oka kamwe.
Viva la Zitto.

Zitto baba tuko nawe siku zote endelea kupambana na mafisadi pamoja na wahafidhina wote ushindi lazima utapatikana.
Baba mpaka wanyoshe mikono juu!!!!!
 
Haya ni JEMBE lililoelemea kwenye UDINI ndio Maana Wengi wa CCM wanaSema ameonewa sababu ya DINI yake...
Anaandamana na kusababisha kutoelewana na baadhi ya WanaChadema kwa kutumia STYLE za CCM - UDINI na UKANDA

Sasa Acha aanzishe chama chake sijui kitakuwa cha MWELEKEO GANI... na Tunasubiri AMERICA watamuandalia HOJA GANI sababu yeye pia sio MPENDA AMANI...

Utaliona hilo JEMBE...
 
ki msingi zitto mm namtazama kama yusuph kwenye biblia, alisingiziwa kuwa ametembea na mke wa mfalme tena kwa ushahidi wa kimazingra, lakin hayo yote yakabainika c kweli, hata kama hoja zake n za kwel y zijulikane sasa wakati anadai haki yake? zitto asianzishe chama asubri maamzi ya chama kisha kama watamvua uanachama afanye kazi zingine kunasiku watanzania watajua kuwa zito n mhim watamhitaji na atarudi, mm namwamin zitto kuliko cdm huo ndo ukwel wangu!
 
Nakuhakikishia hata aanzishe chama hakuna mtanzania mwenye akili timamu atajiunga. Wanaccm wataenda pale kwa ajili yauabachama fake ili kionekane eti ni chama. Hafai hata kuwa mjumbe wa nyumba kumi kstika chama chochote cha upinzani. Ni kwa nini hataki kwenda ccm au cuf waluompa support mahakani.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom