Ushauri: Zitto aanzishe Chama chake kingine...

Ushauri: Zitto aanzishe Chama chake kingine...

Status
Not open for further replies.
big show,umekula ndugu,zitto na slaa wapo kula sasa nawe kale kwanza.hatutaki kuchangishana humu jf.

wewe ndugu yako nani??acha kujipendekeza pendekeza kwa wanaume wa watu,,mimi nimeo na nina watoto wa kiume wawili,,nina mke..sio mrukaji rukaji kama boss wako alieaga kwao

umnejiunga jf ili kuja kujipendekeza kwa waume za watu mtoto wa kike??

Nenda kavae gauni za kijani na viemba vya njano,,

sisi tupo kwenye ukombozi wa nchi hii,hebu chukua time zako
 
chepe kubwa si ndio jiina lako??
Sasa usipende kucheka cheka pindi watu wazima wenye akili zao wanapozungumza mambo ya msingi umeskia??au unafuraha kwa kufaulu kwako mtihani wa darasa lasaba hivi majuzi??naskia matokeo yenu si yameshatoka??

Ficha ujinga wako na uoneshe werevu wako,,unaejishushia hadhi ni wewe mwenyewe,,,jf iko imara

chepe kama hii sisi tunaitumia kuzolea vinyesi vya nguruwe,,umeskia??

kwani hiyo chepe haina kadi mbili kama Babu yetu....!
 
Inaelekea wewe ni Zitto mwenyewe ama mmoja wa MASALIA. Maana umejiunga na JF mara baada ya kubainishwa ID zenu wote humu na Saa Nane. Hapa ndiyo tunapoanza kumuamini Saanane. Nakumbuka sakata hili la MASALIA wa CDM lilianzishwa tar 18 December 2012, nawewe mmojawapo umebadili ID yako tar 21 December 2012. Kwanini msipambane ndani ya chama kama kweli kundi lenu lina mambo mema kwa chama na Taifa kwa ujumla?

Ni mwenyewe anajitengenezea exit door.Sasa anataka bipu aone kama kutakuwepo na kumbembeleza kiaina angalau ajikute hayupo mazingira ya kutakiwa aombe msahamha mbele za watu.Bahati yake sipo CDM angeomba msamaha wa kijingi namwambia rudia mbele ya media.Mpaka aombe msamaha kwa nidhamu.Au akasome naye apate PHD, ili awe karibu na dr. Zadi..Uzuri wa Dr. anafanya kazi ya kuiondoa CCM tuu, baadaye anamwachia rais yoyote mwenye weledi ktk CDM.Ima worried Zitto hatokuwepo,pengine atakuwa critic wawakati akiwalisha ujinga wanafunzi wa kigoma ili waje kuwa waasi wazuri kama yeye.
 
Nini kula hata kulala hajalala anasaka bonus

HIVI UNAKIELEWA HATA UNACHOKIANDIKA??

NAONA UMEMPGIA SIMU KANJANJA MWENZAKO RITZ TAYRI SIO,,
UNA FURAHA SANA KUFAULU DARASA LA SABA MUENDE SHULE ZA KATA ZA CCM SIO??

:laugh:
 
Kitila Mkumbo!hapana,huyu ameingizwa chaka tu,mark my word!nasubiri kwa hamu aje aseme yeye mwenyewe!
 
hivi tundu lisu nani yake vile kapewa ubunge?lazima atetee kitumbua!!!mkuu wabunge mamluki wa cdm wakati wanashabikia tuhuma za rushwa bungeni walikuwa wanamlenga zitto but kama kawa jembe lilipangua hizo tuhuma feki na utetezi wao kwa kamati ndo ulinifanya niwadharau sana.sasa naona mmeibuka na ulozi aahhaaaa aahhhaaa haondoki mtu hapa na naona c.h.u.p.i zimewabana mtajuuuuta kumfahamu.

Bado unamini fikra mfu za zitto.naye si angeoa mkewe apewe vitu maalum kigoma.kashindwa shawishi mwanamke wa kuoa atwawezaje shawishi watu kuwa anafaa kuwa rasi.lazima we frustrated.

Namkumbuka mzee mmoja aliwahi niambia mwanamume akishindwa mshawishi mwanamke aingie ndani mwenyewe na kutaka paishi hata kama hakuna kitanda , mwanamume asiyweza mfanya mwanamke amwone kuwa anastahili kuwa baba watoto wake hawezi ongea kitu ya maana.

Wanawake na hata wanyama wa kike huwa hawapendi zaa na wanaume wanaowaona hawafai.Hiyo ndiyo test mojawapo.Atalazimisha sana kila kitu.
 
Really? Hivi bado tunao wanachama wanaomfuata mtu! Kizazi hiki? Sipendi kuamini kuwa una ubongo kama wa Juliana.

Endelea kujifariji. Ushahidi katika kesi hii pekee unaonyesha kuwa wapo watu wanaofuata mtu kwenye chama, ndio maana ukasikia yanasemwa "kundi la Zitto", au hao kina Juliana wa kizazi cha kale?

Kama mnaona hana impact yoyote kwa chama, mfukuzeni
 
wewe ndugu yako nani??acha kujipendekeza pendekeza kwa wanaume wa watu,,mimi nimeo na nina watoto wa kiume wawili,,nina mke..sio mrukaji rukaji kama boss wako alieaga kwao

umnejiunga jf ili kuja kujipendekeza kwa waume za watu mtoto wa kike??

Nenda kavae gauni za kijani na viemba vya njano,,

sisi tupo kwenye ukombozi wa nchi hii,hebu chukua time zako

wewe upo kwenye majungu,mbaya zaidi hakuna un achojua ndio maana nakucheka wewe bibi kizee wa miaka73.
 
kwa miaka hii miwili Zitto hajawa mwanasiasa wa kuvutia, pengine angetoa hiyo issue ya swiss kidogo angeosha nyota yake.Ila waliomshikia chini hawawezi mpa hiyo option.pengine wameshamuonjesha kidogo kw akumfungilia account ili apate za kurubuni vijana kila mahali at his own detriments .

we kweli zoba...tumeona mabadiliko ya baraza la mawaziri nani alianzisha hiyo movement?yaani hata najisikia kichefuchefu kujibishana na wewe!!!kama kutaja majina mbona slaa alitaja wangapi kati yao wapo gerezani hadi sasa au we ulitaka magazeti yauze tu hayo majina then stori iishie hapo!!!
 
wewe ndugu yako nani??acha kujipendekeza pendekeza kwa wanaume wa watu,,mimi nimeo na nina watoto wa kiume wawili,,nina mke..sio mrukaji rukaji kama boss wako alieaga kwao

umnejiunga jf ili kuja kujipendekeza kwa waume za watu mtoto wa kike??

Nenda kavae gauni za kijani na viemba vya njano,,

sisi tupo kwenye ukombozi wa nchi hii,hebu chukua time zako
Nasikia umechukua nafasi ya ben hapa JF,komaa Le Big show kusafirisha mke na watoto x mass Moshi sio mchezo.
 
ZITTO ZUBEIR KABWE hakika wewe ni ZITTO kweli. Tunajua ulivyojitolea kwenye CDM muda akili na mali zako sasa kama kuna watu ndani ya CDM wanakuchukia wewe usilipize chuki kwa chuki .Unakubalika sana huku mitaani na nyota yako imepangiwa kung'aa itang'aa tu .Wewe ni mtu wa misimamo na wala hutetereki kufikia maamuzi. CDM ni chama au taasisi kam vile TLP UDP na ADC. Kwanza nakusifu ulivo mvumilivu usibabaishwe na hiv kina sa nane watoto wa dogo hawa na historia itawahukumu wote wanaokupangia mabaya yakufike. Ni wakat wako wa kujiondoa chamani hata kama familia yako haitaridhia waachie wenye chama wafanye wanavyotaka ..nakumbuka sana mzee mtei alipoacha kuvuna kahawa kule moshi ns kuja haraka dar kuja kukuomba umuachie mkwe wake kiti cha uongozi wa mwenyekiti. HAMA CHADEMA HAWAKUTAKI WAACHIE CHAMA CHAO.

Aliyekushauri na wewe nendeni anayekudanganya tunakupenda anakudanganya. cc vijana watupendi kabisa mnafiki na power monger kama wewe nenda huko huko ccm.. usitusumbue kabisa nenda tena hata sasa hivi ..tunahangaika hapa kutafuta mdudu anayetafuna chama kumbe ni wewe. natamani kukutukana kabisa lakini naheshimu tu masharti ya blog hii
 
Subiri kidogo nimalizie supu yangu ya pweza nishushie maji ya sharbat ili usirudie kuzoea wanaume.

Mkuu Mingoi,
Naona unapiga mkuyati wa maana, lazima mambo yawe mujarabu.
 
Last edited by a moderator:
Bado unamini fikra mfu za zitto.naye si angeoa mkewe apewe vitu maalum kigoma.kashindwa shawishi mwanamke wa kuoa atwawezaje shawishi watu kuwa anafaa kuwa rasi.lazima we frustrated.

Wewe si umeachika atakuja kukuoa ww akupe viti maalumu,,Zitto ana iq kubwa kuliko huyo.
 
Nasikia umechukua nafasi ya ben hapa JF,komaa Le Big show kusafirisha mke na watoto x mass Moshi sio mchezo.

Nipo hapa kijiweni nakunywa kahawa huku nakusoma...
 
Aliyekushauri na wewe nendeni anayekudanganya tunakupenda anakudanganya. cc vijana watupendi kabisa mnafiki na power monger kama wewe nenda huko huko ccm.. usitusumbue kabisa nenda tena hata sasa hivi ..tunahangaika hapa kutafuta mdudu anayetafuna chama kumbe ni wewe. natamani kukutukana kabisa lakini naheshimu tu masharti ya blog hii

labda vijana wa Arusha ila wa karatu walimpokea kama shujaa na akapiga bonge la mkutano,Zitto anashinda nyumbani na ugenini kama messi tu.
 
wewe upo kwenye majungu,mbaya zaidi hakuna un achojua ndio maana nakucheka wewe bibi kizee wa miaka73.

unaniita mimi ndugu yako??mimi sio ndugu yako kbs,usinizoee zoee,sina undugu na ccm mimi

pia sihitaji hata kuoa mtoto wa kike kama wewe mwenye mapenz na ufisadi umeskia??tusijuane juane,tumekutana kimjini mjin humu,,,,
na hakuna bwana wa bure hapa,,kama unatafuta bwana jukwaa zingne zimo humu ndani,waambie au waulize mods wakusaidie,,zipo sehemu humu humu jamii forum unaruhusiwa kupost na kuomba kutafuta mabwana,na utawapata wengi tuh,jamii forum itakusaidia kwa hilo pia
ila kwangu mimi full stop,,sihitaji dem,nishaoa,,ok??

nashukuru kwa kunielewa
 
we kweli zoba...tumeona mabadiliko ya baraza la mawaziri nani alianzisha hiyo movement?yaani hata najisikia kichefuchefu kujibishana na wewe!!!kama kutaja majina mbona slaa alitaja wangapi kati yao wapo gerezani hadi sasa au we ulitaka magazeti yauze tu hayo majina then stori iishie hapo!!!

yey ndio Jk?Sahihi si zilibuma.Ni kwamba ulikuwa ukiota au?Mamabo yaliyopelekea yalikuw amengi, kuanzia issue ya Nundu, wizara ya afya na suala la ulimboka,masha na umeme, na mengine mengi tuu sasa sijui lipi unadhani ni deal.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom