Ushauri: Zitto aanzishe Chama chake kingine...

Ushauri: Zitto aanzishe Chama chake kingine...

Status
Not open for further replies.
Binafsi siwezi mshauri zitto kuondoka cdm.watanzania wa leo ni very strong katika kuwabaini wanasiasa wanaohama hama vyama. Watanzania wengi hawapendi kuwaona wanasiasa wakibadilikabadilika. Cha kufanya zitto aendelee baki cdm,ila kwa vile yeye ni binadamu kama kuna sehemu alikosea anawezd tubu na kusonga mbele. Watanzania wana kiu ya mabadiliko.

Zitto mimi ni ndugu yangu , ni mdogo wangu na mwana harakati mwenzangu siku nyingi .Zitto ananijua vyema ninacho kiamini .Siamini katika visasi .Siku nyingi yamesemwa mengi lakini nilibaki nikiwa kimya kabisa without any comments .Mimi nauungana na ushauri huu hapo juu .Zitto rudi kwenye Chama .Kuna walio kulea kule kaa nao vyema .Naujua uelewa wako chukua ushauri hapo juu .Hakuna mkamilifu.Lakini nawashauri Chadema kuwavukuza vijana wote walio husika na ujinga huu .
 
Subiri kidogo nimalizie supu yangu ya pweza nishushie maji ya sharbat ili usirudie kuzoea wanaume.

mbona unaongea ngono tuu huku ,wakati mwenyewe msaada tuta,pweza ya nini sasa?Un uhanithi.Unajisigu ujinga wakati huna kitu.Au ndio kuvuruga watu humu ndani?
 
Zitto si chadema tena wala hachafuliwi ndugu yangu, mwenyewe ndio yupo busy kwenye matope.sasa kesha bonyeza button ya eject ktk fighter jet.Sijui atarudi vipi tena ktk hiyo ndege.bahatai mbaya parachuki inashuka ktk wild fire.

da munajipa moyo wa ndugu
 
jamani aka kauzi kamepoteza uelekeo,sioni jipya hapa,ngoja nijiandae nitoke na mchuchu,kaka Nicholas najua utakuwa unakunywa mbege mida hii,duh nimeimis ile mbaya kama vp nitumie kwenye ndugu yangu.
 
kama zitto anataka kujimaliza kisiasa àondoke cdm kwa kaz aliyoifanya katu asikubali kufuata kelele za mapakashume waangalie rostam, lowassa na chenge walivyoganda ccm kitendo cha zitto kuondoka huko kutawafanya wamrushie mashambulizi yatakayomhoofisha kisiasa sasa yeye akomae mpaka mwisho



usifananishe chadema na ccm waua tembo

usijaribu kufananisha mkoloni na mkombozi hata siku moja

umeskia mzee wasira??mzee wasira una sura mbaya sana

 
Chadema kaskazini na chadema masalia twende kazi
 
chadema tuliangalie tena upya suala hili
i think kazi itayomfaa zitto na kitila mkumbo ni kurudi kule kule kwao kighoma kufundisha katika hicho chuo kigoma international university wanachokifikiria kukianzisha

si nyote mnakumbuka katika ule mjadala wa kumohoji zito kabwe uliokawa unaendesha na ashadii??

Majibu yake yalikua

1.kama chama kisipo nipitisha nitamuunga mkono na kumfanyia kampeni mteule wa urais kupitia chama chetu,,
swali kwake,,,mbona alikua anakihujumu yeye na kafulila ili kukipa nguvu chama kipya cha chauma??

2.nikikosa urais ndoto yangu kubwa ni kwenda kusoma na kuja kufundisha chuo kikuu cha kigoma kinachotarajiwa kuanzishwa soon,,swali kwake,,ana ndoto ngapi??kuwa rais,mwenyekiti wa chadema??mganga wa kienyeji au mwalimu wa chuo kikuu cha kigoma??

Kipi sasa kinachomfanya aage kigoma??

Zitto acha ulimbukeni,,ushirikina hauna msaada wowote kwako

huyu jamaa kule kwao ni genius ila kwa wengine ni mtu asiyechoka kuleta vioja na ujinga mwingine.Kuna siku Zitto alisimama Bungeni kama mtoto mdogo, ktk ove iliyokuwa wazi kabisa,ya kutaka kuzipa gap aliyodhani mbunge aliyetoka ongea za CDM alikuwa kamfunika.Mama alimwambia ake kinoma noma.

hapo ndipo nilipoona jinis alivyokuwa king`ang`anizi ktk issue za kijinga.
 
zile meseji za kutengeneza,,haa,haa,haa hata mdogo wangu wa darasa la pili anaweza kutengeneza,eti hili ni jukwaa la critical thinker..tunashusha hadhi ya Jf
Naona unajitahidi sana kumsafisha Zitto humu JF.
Lakini kwa jinsi alivyovuliwa nguo humu ndani ni bora ukakaa kimya, sidhani kama utafanikiwa.
 
mbona unaongea ngono tuu huku ,wakati mwenyewe msaada tuta,pweza ya nini sasa?Un uhanithi.Unajisigu ujinga wakati huna kitu.Au ndio kuvuruga watu humu ndani?

Hahahaahaa!! tutoke huko bhana usinitafutie ban wakati Santa Mchange na Santa Mwampamba wanataka kutoa zawadi ya X mass.
 
aisee nimekudharau sana mingoi

kumbe una akili finyu kiasi hiko

rudi facebook basi,hapa upo na baba zako eti,shika adabu zako wewe mtoto

big show,umekula ndugu,Zitto na Slaa wapo kula sasa nawe kale kwanza.Hatutaki kuchangishana humu jf.
 
hiyo mbege napata au sipati ndugu.

Mbege inatengenezwa na wachaga hadi US na wageni wao wa race zote huwa wana enjoy.Mbege ipo juu sana ya Kibuku ingawa inatengezwa bila machine.Sijui chimpumu, dengelua na mnazi kama hata mnasthubutu pita karibu yake,ukiwa baadhi ya viwanja.Tembelea ms this X-Mass utapata iliyo bora na mwenyewe utaona tofauti.
 
kwani naye anapenda toka,imebidi tuu. Sidhani kama Lissu ni mchaga.Ndiye atakayemuuliza maswali yasiye na kona kona....ZItto anamjua na atamkwepa kama chui aonapo simba.

hivi tundu lisu nani yake vile kapewa ubunge?lazima atetee kitumbua!!!mkuu wabunge mamluki wa cdm wakati wanashabikia tuhuma za rushwa bungeni walikuwa wanamlenga zitto but kama kawa jembe lilipangua hizo tuhuma feki na utetezi wao kwa kamati ndo ulinifanya niwadharau sana.sasa naona mmeibuka na ulozi aahhaaaa aahhhaaa haondoki mtu hapa na naona c.h.u.p.i zimewabana mtajuuuuta kumfahamu.
 
Naona unajitahidi sana kumsafisha Zitto humu JF.
Lakini kwa jinsi alivyovuliwa nguo humu ndani ni bora ukakaa kimya, sidhani kama utafanikiwa.

Hakuna mwanasiasa aliyevuliwa nguo Tanzania hii kama SLAA,tulimsafisha kwa jik,Zuma kule A.Kusini NA KASHIFA YA KUBAKA tulimsafisha kwa sabuni ya foma gold,Zitto hata kwa maji ya uhai yasio na sabuni anakuwa safi..Bado sana kajipangeni kipindi hiki cha x-mac kule kwenu kaskazini kisha murudi tena.Hatuhitaji chadema kaskazini.Tunahitaji chadema yenye sura ya kitaifa.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom