Ushauri: Zitto aanzishe Chama chake kingine...

Ushauri: Zitto aanzishe Chama chake kingine...

Status
Not open for further replies.
Mimi naona Watanzani tuwe na akili kama itakuwa kila mtu akipata umaarufu kidogo anakuwa tofauti na wenzake halafu ushauri anaopewa na watu amba tunaona ni wasomi hawana tofauti na waganga wa kienyeji eti ANZISHA CHAMA tutakuwa na vyama vingi vya siasa kuliko nchi yoyote ile kutokana najeuri za kipumbavu,tamaa za madaraka hata kwa ambao hawana sifa za uongozi
Suluhisho ni kukaa kujadili hayo matatizo na kuyapatia ufumbuzi ndio uanasiasa lakini sio ushauri mufilisi wa kuanzisha chama cha siasa ok ukishaanzisha huko tena ukuhitilafiana na wenzako unaanzisha chama kingine?
Aliyetoa wazo hili anafaa kuwa mganga wa kienyeji nafikiri ni taaluma nzuri kwake
 
Kiongozi imara ni yule anayeweza kukabiliana na hali ngumu si kukimbia
 
Sio zitto pekee,walioonesha undumilakuwili ni wengi tuh

mbona kitila mkumbo nae anaachwa??watu kama zitto na kitila mkumbo ni wanafiki sana

na wanachukiza sana,cowards...!!
 
Hakuna maslahi kwa Zitto kujitoa CHADEMA.

Kama ni mtu mwenye maslahi binafsi mbele basi atasubiri kuona hatua ya chama kwanza

1. Chama kikimfukuza ataondoka na wafuasi wengi zaidi kwa kusema udini na ukanda na kuwa Saanane na Mamuya walitumwa na chama ndio maana chama hakikuchukua hatua licha mgogoro kuendelea hadharani kwa siku nyingi.

Hii ni ideal situation kwa Zitto lakini CHADEMA inajua hilo ndio maana hawachukui hatua yoyote inamuacha asulubiwe na wananchi wenye hasira

2. Chama kisipomfukuza anaweza bado kuitumia kwa kusema anahujumiwa na chama na hawakuwa na ushahidi wowote ndio maana hawakumfukuza wala Saanane na wenziwe kuchukuliwa hatua.

Kunamanufaa zaidi kwa Zitto kubaki chamani kusubiri itakachifanya chama.
Really? Hivi bado tunao wanachama wanaomfuata mtu! Kizazi hiki? Sipendi kuamini kuwa una ubongo kama wa Juliana.
 
Zitto si Chadema,na hata akiondoka harakati za ukombozi hazitakufa kamwe.Ingawa sishauri aondoke bali ajirekebishe inapobidi,akishindwa kufanya hivyo basi atupishe kuliko kufanya propaganda&uzandiki usio na tija.PIA IKUMBUKWE,kamwe Zitto hawezi kuwagawa watz,kwani watz wa leo wengi ni waelewa kuliko alivyo yeye.VIVA Cdm,aluta continua!
 
zitto usitoke Chadema komaa nao wachaga mpake wakaee, labda wakupe sumu
 
ZITTO ZUBEIR KABWE hakika wewe ni ZITTO kweli. Tunajua ulivyojitolea kwenye CDM muda akili na mali zako sasa kama kuna watu ndani ya CDM wanakuchukia wewe usilipize chuki kwa chuki .Unakubalika sana huku mitaani na nyota yako imepangiwa kung'aa itang'aa tu .Wewe ni mtu wa misimamo na wala hutetereki kufikia maamuzi. CDM ni chama au taasisi kam vile TLP UDP na ADC. Kwanza nakusifu ulivo mvumilivu usibabaishwe na hiv kina sa nane watoto wa dogo hawa na historia itawahukumu wote wanaokupangia mabaya yakufike. Ni wakat wako wa kujiondoa chamani hata kama familia yako haitaridhia waachie wenye chama wafanye wanavyotaka ..nakumbuka sana mzee mtei alipoacha kuvuna kahawa kule moshi ns kuja haraka dar kuja kukuomba umuachie mkwe wake kiti cha uongozi wa mwenyekiti. HAMA CHADEMA HAWAKUTAKI WAACHIE CHAMA CHAO.

Mtei hakai Moshi wewe kimeo.N ahakuja mwomba kw avile alimuona makini ila kwa sababu ndio best way kuepusha hasara ya psychopatic.Kwa mtu anayetaka kila kitu .Ahadi za makubwa zaidi lazima zingekuwa njia pekee ya kumuondoa ktk scene asijejivua nguo hovyo.

Alipize nini sasa, Zitto ni mzito kufikiri na mwepesi kuanguka.Keshaanguka tayari anachofanya hapa ni kuminimize impact tuu.

Wether unaita taasisi au chohcote bado chama cha kisiasa kama vyama vingine ni taasis na inao wenyewe kweli ambao ni wanachama wake.

Zitto mwenyewe unadhani ahistoria itamwacha?
 
Masalia PM7 yanatapatapa.

user-online.png
ALWATAN KIZIGO

Today 12:14
#1
Member Array

Join Date : 21st December 2012
Posts : 10
Rep Power : 303
Likes Received1
Likes Given0

kamanda @Ben Sanane hebu njoo umulike kigalula huyu.
 
Binafsi siwezi
mshauri zitto kuondoka cdm.watanzania wa leo ni very strong katika
kuwabaini wanasiasa wanaohama hama vyama. Watanzania wengi hawapendi
kuwaona wanasiasa wakibadilikabadilika. Cha kufanya zitto aendelee baki
cdm,ila kwa vile yeye ni binadamu kama kuna sehemu alikosea anawezd tubu
na kusonga mbele. Watanzania wana kiu ya mabadiliko.

hii nimeipenda kaka
 
Mi nashindwa kitaeleweka nyie watu! Kwa nini Zitto amekuwa tishio kubwa kwa CDMA ili hali chama kina taratibu zake za kuwapata viongozi wake? Kwa maoni yangu, nyie ndio mnakuza mgogoro kwa kumkweza sana Zitto

mwanafyale hata mie nashangaa timachukua muda mwingi kujadili watu badala ya kutumia muda kama huo kujadili tufanye nini il tuendelee tumekalia majungu tu yasiyokuwa na maana Watanzania tubadilike kama ni huyo ZITO ameshasikia na tayari amejua he is not a presidential material hivyo aachane na ndoto hiyo kwa sasa tujadilini tufanye nini tundelee
 
Last edited by a moderator:
KABWE,usitoke chadema komaa na hawa wachaga mpaka wakaa,wewe unaakili nyingi sana japo chadema hawataki watu wenye akili si munaona wanavyoanza kumsakama na Kitila Mkumbo? musiondoke chadema
 
Kwa haya anayofanya akiondoka atakuwa kapunguza mzingo chamani, hatumtaki mtu wa kutengeza makundi ya usaliti, fitina na majungu kweny chama.
 
Zitto nakuamini na nina imani na wewe. Nafsi za wa kuchafuao zina wasuta, na wale wasio elewa ukweli na kukaa kutafari wataishia kupelekwa kama tiara liyumbishwapo na upepo
 
One down two to Go!!!Kweli CCM KIBOKO,Yaani nyie wooooote na Masaburi yenu mmeshindwa kusense what's goin on!!,Plz Zitto usubandue Mguu wako hapo,mpaka Kieleweke,kuna mchango wako mkubwa tu kwenye CDM,hapa ilipo!What i believe in time and it' gonna Tell Bro.
 
Kwa haya anayofanya akiondoka atakuwa kapunguza mzingo chamani, hatumtaki mtu wa kutengeza makundi ya usaliti, fitina na majungu kweny chama.

wachaga kwa majungu,Zitto ndio Taswira ya chadema kitaifa,wengine hakuna kitu ni ukanda tu unawasumbua chadema
 
ZITTO ZUBEIR KABWE hakika wewe ni ZITTO kweli. Tunajua ulivyojitolea kwenye CDM muda akili na mali zako sasa kama kuna watu ndani ya CDM wanakuchukia wewe usilipize chuki kwa chuki .Unakubalika sana huku mitaani na nyota yako imepangiwa kung'aa itang'aa tu .Wewe ni mtu wa misimamo na wala hutetereki kufikia maamuzi. CDM ni chama au taasisi kam vile TLP UDP na ADC. Kwanza nakusifu ulivo mvumilivu usibabaishwe na hiv kina sa nane watoto wa dogo hawa na historia itawahukumu wote wanaokupangia mabaya yakufike. Ni wakat wako wa kujiondoa chamani hata kama familia yako haitaridhia waachie wenye chama wafanye wanavyotaka ..nakumbuka sana mzee mtei alipoacha kuvuna kahawa kule moshi ns kuja haraka dar kuja kukuomba umuachie mkwe wake kiti cha uongozi wa mwenyekiti. HAMA CHADEMA HAWAKUTAKI WAACHIE CHAMA CHAO.

Wrong place at wrong time....CCM kina wenyewe...na Chadema Kina wenyewe.....katika hivyo Zitto sio miongoni mwao....nenda CUF proffesa anahitaji nguvu....na huko wewe ndio kunako kufaaa...kwani CUF ni ya wote sio 'wenyewe'
 
KABWE,usitoke chadema komaa na hawa wachaga mpaka wakaa,wewe unaakili nyingi sana japo chadema hawataki watu wenye akili si munaona wanavyoanza kumsakama na Kitila Mkumbo? musiondoke chadema

kwani naye anapenda toka,imebidi tuu. Sidhani kama Lissu ni mchaga.Ndiye atakayemuuliza maswali yasiye na kona kona....ZItto anamjua na atamkwepa kama chui aonapo simba.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom