CHABURUMA
Senior Member
- Jun 26, 2012
- 187
- 69
Hizi habari zinatisha sana!
Zinakutishia nini???!!!!!
Hizi habari zinatisha sana!
Bila kujali kwamba tuhuma za Ben Saanane na wengine ni kweli au sio kweli naona ni busara kwa Zitto now ajitoe CHADEMA na aunde hama chake ambacho yeye atakuwa mwenyekiti na ataweza kukusanya washabiki wake wote waliopo CCM na CHADEMA na kwingineko.
Sioni ni vipi Zitto anaweza kugombea urais kwa kupitia CHADEMA sio tu 2015 lakini mwaka wowote ule.....CHADEMA will never be the party for him to vie for the presidency..hii now iko waazi mno.
Na Zitto lengo lake kuu ni kugombea urais...basi ni bora ajipange now.
Mimi naona this way it is better kwa kila mtuZitto na CHADEMA pia.
bila kujali kwamba tuhuma za ben saanane na wengine ni kweli au sio kweli naona ni busara kwa zitto now ajitoe chadema na aunde hama chake ambacho yeye atakuwa mwenyekiti na ataweza kukusanya washabiki wake wote waliopo ccm na chadema na kwingineko.
Sioni ni vipi zitto anaweza kugombea urais kwa kupitia chadema sio tu 2015 lakini mwaka wowote ule.....chadema will never be the party for him to vie for the presidency..hii now iko waazi mno.
Na zitto lengo lake kuu ni kugombea urais...basi ni bora ajipange now.
Mimi naona this way it is better kwa kila mtuzitto na chadema pia.
ZITTO ZUBEIR KABWE hakika wewe ni ZITTO kweli. Tunajua ulivyojitolea kwenye CDM muda akili na mali zako sasa kama kuna watu ndani ya CDM wanakuchukia wewe usilipize chuki kwa chuki .Unakubalika sana huku mitaani na nyota yako imepangiwa kung'aa itang'aa tu .Wewe ni mtu wa misimamo na wala hutetereki kufikia maamuzi. CDM ni chama au taasisi kam vile TLP UDP na ADC. Kwanza nakusifu ulivo mvumilivu usibabaishwe na hiv kina sa nane watoto wa dogo hawa na historia itawahukumu wote wanaokupangia mabaya yakufike. Ni wakat wako wa kujiondoa chamani hata kama familia yako haitaridhia waachie wenye chama wafanye wanavyotaka ..nakumbuka sana mzee mtei alipoacha kuvuna kahawa kule moshi ns kuja haraka dar kuja kukuomba umuachie mkwe wake kiti cha uongozi wa mwenyekiti. HAMA CHADEMA HAWAKUTAKI WAACHIE CHAMA CHAO.
Kweli hatumtaki hatuwezi endelea kaa na mnafiki,kigagula,msaliti na mtengeneza majungu na makundi kwa nyie mnaofurahia mtu mwenye sifa hizo mchukueni,. Akija anza huo ujinga wake ndio mtaona,.kumbukeni Kunguru hafugiki
Member Array humtaki wewe na nani? Zitto hamna kutoka baki hapo mpaka tuone hao wasipenda demokrasia watafanya nini.