kwa miaka hii miwili Zitto hajawa mwanasiasa wa kuvutia, pengine angetoa hiyo issue ya swiss kidogo angeosha nyota yake.Ila waliomshikia chini hawawezi mpa hiyo option.pengine wameshamuonjesha kidogo kw akumfungilia account ili apate za kurubuni vijana kila mahali at his own detriments .
Nicholas wewe haufuatilii siasa wala hauangalii bunge,vip umeenda moshi na kile kicomputar chako,ushakitengeneza?