Ushauri: Zitto aanzishe Chama chake kingine...

Ushauri: Zitto aanzishe Chama chake kingine...

Status
Not open for further replies.
kigoma ikiendelea toa watu wa hovyo hivi basi itakuwa na miak amingi sana kupata maendeleo.hata yakijengwa majengo mengi sana miradi mingi, generation moja tuu wanarudi ktk tope.tazama kafulila, tazama zitto, walikuwa ktk best position ya kuwa nyota na tumaini la vijana ktk miaka michache ijayo.sasa wamekuwa viumbe wa hovyo kihivyo.wamekuwa laana ya mikoa yao.kafulile akiwa kijana mdogo, kaharibu cdm , kaenda haribu nccr, kilio alichotoa pale akiwa na waandishi wa habari kilionyesha wazi jinisi alipaswa jua kuwa zitto si mtu mwema na kumfanya kuwa boss i makos amakubwa sana.

Kama kawaida ikulu ikasaidia mchakato, bado anarudi tena cdm kupika majungu na ujinga mwingine.hii ni laana kwa kigoma.inabidi muache uchawi na ujinga mwingine.mnapotea kirahisi sana kwa tamaa ya vitu ktik maisha.najua kuna vibarua wengi sana kigoma huwa wakitoka hawapendi kurudi tena nyumbani kwao kw ajinsi wanavyoridhika na hivyo vibarua ktk majumba ya watu,ila sikutegemea haya kwa vijana kama kina zitto, na kafulila.nini hawajaona hadi wawe kama maiskini waliotafunwa sana na umasikini kiasi ch akufanya washindwe jua wapi wajishike.

zile meseji alizotuwekea ben saa nane hapa jamvini za mawasiliano baina ya zito na kafulila ni ushahid tosha kabisa ni kwa jins gani hao jamaa walikosa haya,walivokosa utu,walivokosa adabu na uzalendo,wanapanga kuhujumu chama wazi wazi hali ya kua wao wanashibisha matumbo yao kupitia vyama hivi hivi wanavovihujum,,lengo lao hasa lilikua ni lipi??chadema ingeanguka wao wangejivunia kipi??na kip kinachowapa ujasiri wa kuwepo hapo walipo sasa??

Wamekosa uti kabisa na uzalendo,leo zito anashupalia kabisa kuchafuliwa kwa chadema na viongozi wake akiulizwa anakuja kwa kauli za kebehi na matusi,,mimi mwenyewe humu humu nilimuulzia nia yko ni nin??kanijia juu na kunitusi kwa kuniita coward,,posts zake zipo humu ndani za majibu yake juu yangu,amekua kiburi na asieshaurika kabisa

aondoke,tunamshukuru kwa yote mazuri aliyoyafanya,,sasa kwa gia hii ya kukiua chama sisi hatutaikubali na tunamwomba tuh kwa wema aondoke atuachie chama chetu cha kichaga,cha ukanda n,k,,kama anavosema yeye,ila aondoke enough is enough,,go zitto,goo...
 
ZITTO ZUBEIR KABWE hakika wewe ni ZITTO kweli. Tunajua ulivyojitolea kwenye CDM muda akili na mali zako sasa kama kuna watu ndani ya CDM wanakuchukia wewe usilipize chuki kwa chuki .Unakubalika sana huku mitaani na nyota yako imepangiwa kung'aa itang'aa tu .Wewe ni mtu wa misimamo na wala hutetereki kufikia maamuzi. CDM ni chama au taasisi kam vile TLP UDP na ADC. Kwanza nakusifu ulivo mvumilivu usibabaishwe na hiv kina sa nane watoto wa dogo hawa na historia itawahukumu wote wanaokupangia mabaya yakufike. Ni wakat wako wa kujiondoa chamani hata kama familia yako haitaridhia waachie wenye chama wafanye wanavyotaka ..nakumbuka sana mzee mtei alipoacha kuvuna kahawa kule moshi ns kuja haraka dar kuja kukuomba umuachie mkwe wake kiti cha uongozi wa mwenyekiti. HAMA CHADEMA HAWAKUTAKI WAACHIE CHAMA CHAO.

Ulikuwa unatumia ID zipi kabla hujajiunga kwa kutumia hii ya leo??
 
user-online.png
chepe kubwa

Today 13:59
#52
Member Array

Join Date : 19th December 2012
Posts : 49
Rep Power : 310
Likes Received3
Likes Given1

user-online.png
mbasansebhu

Today 13:59
#53
Junior Member Array

Join Date : 17th December 2012
Posts : 8
Rep Power : 302
Likes Received0
Likes Given0

nini hoja yako,ukweli utasemwa hata kwa ID iliyofunguliwa sasa hivi,endelea kufanya kazi kiongozi wangu,baadaye nitakupigia kwenye yako namba,punguza majungu
 
ZITTO ZUBEIR KABWE hakika wewe ni ZITTO kweli. Tunajua ulivyojitolea kwenye CDM muda akili na mali zako sasa kama kuna watu ndani ya CDM wanakuchukia wewe usilipize chuki kwa chuki .Unakubalika sana huku mitaani na nyota yako imepangiwa kung'aa itang'aa tu .Wewe ni mtu wa misimamo na wala hutetereki kufikia maamuzi. CDM ni chama au taasisi kam vile TLP UDP na ADC. Kwanza nakusifu ulivo mvumilivu usibabaishwe na hiv kina sa nane watoto wa dogo hawa na historia itawahukumu wote wanaokupangia mabaya yakufike. Ni wakat wako wa kujiondoa chamani hata kama familia yako haitaridhia waachie wenye chama wafanye wanavyotaka ..nakumbuka sana mzee mtei alipoacha kuvuna kahawa kule moshi ns kuja haraka dar kuja kukuomba umuachie mkwe wake kiti cha uongozi wa mwenyekiti. HAMA CHADEMA HAWAKUTAKI WAACHIE CHAMA CHAO.

KWELI WE NI KIZIGO WA KWELI, HUBEBEKI HATA KWA MBELEKO YA CHUMA;

UNAJIFANYA MSHAURI WA MAMBO YA NDANI KWA ZITO; KWANI WEWE NI MKE WAKE? AU ALIPOTAKA KUJIUNGA NA CDM ALIKUULIZA WEWE? KAMA UNAMPENDA JARIBU KUULIZIA KWAKE - NENDA AKUKUTE HUKO - USITULETEE UPUUZI WAKO HAPA.

Mwanasiasa makini lazima ajue kujisimamia; binafsi utendaji wa Zitto naukubali, lakini inapotokea akatofautiana na wenzake kwa vyovyote kunakuwa na jambo. Ni muda muafaka kwa Zitto kukaa vikao halali na wenzake na kujaribu kujieleza kwa yale wanayomtuhumu!
 
zitto kuwa na ngozi ngumu hao wote wanaokusakama tushajua malengo,ukiona watu zaidi mmoja wanawaza jambo kwa kufanana jua hapo hakuna maendeleo.pia huwezi tatua tatizo kwa kulikimbia tatizo

Si funny nasema kweli CDM wangeweza mstaarabisha kirahisi sana Zitto kwa kumpeleka brazil au India akafanye sugery ya kurekebisha uso na ngozi yake.HUyu kinaja angebadilika sana kuwa kijana mzuri.Hakuna dawa nyingine ya kumrekembisha tamaa yake anayotaka ikate kiu yake na kumpa utu.Zitto akipat ahayo marekebisho hatojilinganisha na watu tena kwa magari, kwa wanawake, kwa madaraka etc.

Hamini nakuambia hata familia duni zinazosumbuliwa sana na minyoo, huwa dawa za minyoo hupunguza sana uhalifu kwa hawa watu, kw akusaidi miili yao isishambuliwe vibata a minyoo hadi kuharibu akili zao.

Comsetic Surgery ina improve sana personality ya huku kijana.
 
zile meseji alizotuwekea ben saa nane hapa jamvini za mawasiliano baina ya zito na kafulila ni ushahid tosha kabisa ni kwa jins gani hao jamaa walikosa haya,walivokosa utu,walivokosa adabu na uzalendo,wanapanga kuhujumu chama wazi wazi hali ya kua wao wanashibisha matumbo yao kupitia vyama hivi hivi wanavovihujum,,lengo lao hasa lilikua ni lipi??chadema ingeanguka wao wangejivunia kipi??na kip kinachowapa ujasiri wa kuwepo hapo walipo sasa??

Wamekosa uti kabisa na uzalendo,leo zito anashupalia kabisa kuchafuliwa kwa chadema na viongozi wake akiulizwa anakuja kwa kauli za kebehi na matusi,,mimi mwenyewe humu humu nilimuulzia nia yko ni nin??kanijia juu na kunitusi kwa kuniita coward,,posts zake zipo humu ndani za majibu yake juu yangu,amekua kiburi na asieshaurika kabisa

aondoke,tunamshukuru kwa yote mazuri aliyoyafanya,,sasa kwa gia hii ya kukiua chama sisi hatutaikubali na tunamwomba tuh kwa wema aondoke atuachie chama chetu cha kichaga,cha ukanda n,k,,kama anavosema yeye,ila aondoke enough is enough,,go zitto,goo...

zile meseji za kutengeneza,,haa,haa,haa hata mdogo wangu wa darasa la pili anaweza kutengeneza,eti hili ni jukwaa la critical thinker..tunashusha hadhi ya Jf
 
kiukweli kama vijana wamefikia hatua ya kutaka kutoa roho za watu kwa ajili ya maslahi ni vyema kuachana na hizi kazi za siasa,maana uhai huwezi utafuta tena ukitoka umetoka,chama kipo,chama ni kama siti ya basi,ukipanda basi hili utakalia siti ile na ukishuka ukapanda basi lingine pia kuna siti utakaa,lakini uhai ukitolewa umetolewa hutorudi tena.
 
Masalia wapo kazini!
Alwatan kizigo - Joined Jf - 21st dec 2012;
2. Freshthinking- 20/12/2012
3. Chepe kubwa - 19/12/2012 n.k. Majina kibao kujisafisha!
 
kama mnaamini katika nguvu ya umma basi umma huo huo njdi uliompa zitto mioyo yao.

hakuna aliempa zitto moyo hata wanakighoma wenyewe wamechukizwa kwa hilo

kumbe kule kupendwa anakopendwa zitto na wanakigoma ni kwa sababu kaenda kwa mganga kuwaroga??

Sasa tukimpa ikulu je??si ataliroga taifa lote??

Zitto hopless sana...
 
dr w, slaaa

zitto na kitila mkumbo ni wanafiki na mamluki,tunataka sisi kama wanachadema kuskia sauti yako,na suit ya chama,najua wewe unajitambua na tunakuheshim sana,huwez zungumza hapa

kwenye vikao vya chama hukon ndani tunataka hili msiliache juu juu,mlizungumze mtupe na mrejesho,,tuna hasira sana na watu wanafik kama hao

tunatumia tuh hizi fake ids lakini kazi tunayoifanya kukijenga chama hiki na nyinyi bega kwa gega sio ya kuwaachia wapuuzi kama zitto na wenzao kuja kukiangamiza chama hiki tena kwa wakati kama huu

we are so much pissd off..!!

Kamanda THE BIG SHOW punguza hasira kamanda wangu.
 
Last edited by a moderator:
Si funny nasema kweli CDM wangeweza mstaarabisha kirahisi sana Zitto kwa kumpeleka brazil au India akafanye sugery ya kurekebisha uso na ngozi yake.HUyu kinaja angebadilika sana kuwa kijana mzuri.Hakuna dawa nyingine ya kumrekembisha tamaa yake anayotaka ikate kiu yake na kumpa utu.Zitto akipat ahayo marekebisho hatojilinganisha na watu tena kwa magari, kwa wanawake, kwa madaraka etc.

Hamini nakuambia hata familia duni zinazosumbuliwa sana na minyoo, huwa dawa za minyoo hupunguza sana uhalifu kwa hawa watu, kw akusaidi miili yao isishambuliwe vibata a minyoo hadi kuharibu akili zao.

Comsetic Surgery ina improve sana personality ya huku kijana.
kweli wewe ni janga yaani umeishiwa hoja unaanza kasha za kitoto haa,haa,haa, Wewe unastaili burn,mode fanya kazi yako kwa muhuni huyu.
 
zile meseji za kutengeneza,,haa,haa,haa hata mdogo wangu wa darasa la pili anaweza kutengeneza,eti hili ni jukwaa la critical thinker..tunashusha hadhi ya jf

chepe kubwa si ndio jiina lako??
Sasa usipende kucheka cheka pindi watu wazima wenye akili zao wanapozungumza mambo ya msingi umeskia??au unafuraha kwa kufaulu kwako mtihani wa darasa lasaba hivi majuzi??naskia matokeo yenu si yameshatoka??

Ficha ujinga wako na uoneshe werevu wako,,unaejishushia hadhi ni wewe mwenyewe,,,jf iko imara

chepe kama hii sisi tunaitumia kuzolea vinyesi vya nguruwe,,umeskia??
 
Wametumia nguvu kubwa kumdhoofisha Zitto kisiasa wameshindwa na kamwe hawatofanikiwa.Hapo ni zanga zanga usitoke Zitto umma wa watanzania bado wanapenda upaze sauti yako ya utetezi ndani ya CHADEMA.Aluta continua mpaka mabeberu ya kaskazini yajisalimishe :yield:
dada Mingoi Leo nikupitie kwenye kitchen party?
 
Last edited by a moderator:
dr w, slaaa

zitto na kitila mkumbo ni wanafiki na mamluki,tunataka sisi kama wanachadema kuskia sauti yako,na suit ya chama,najua wewe unajitambua na tunakuheshim sana,huwez zungumza hapa

kwenye vikao vya chama hukon ndani tunataka hili msiliache juu juu,mlizungumze mtupe na mrejesho,,tuna hasira sana na watu wanafik kama hao

tunatumia tuh hizi fake ids lakini kazi tunayoifanya kukijenga chama hiki na nyinyi bega kwa gega sio ya kuwaachia wapuuzi kama zitto na wenzao kuja kukiangamiza chama hiki tena kwa wakati kama huu

we are so much pissd off..!!

mimi Kitila ndiye kaniangusha sana,nilidhnai pengine angekuwa mmojawapo ya watu wachache wenye kuwasha taa ya matumaini ya fikra mpya ktk chuo cha hovyo kama UDSM.naye ka fail test.Bado sijapata clearly picture imekuweje hadi kumhujumu lema kulifnayika akiona, vikao na Zitto alishiriki na hakuna kipya alichofanya.Sijui anye alikuwbali kuwa chini ya Zitto?Ili aje kuwa nani waziri mkuu?Au wakapewe ukuu wa chuo na CCM?Sipati picture.Its disgraceful kma alishiriki kwa malengo y akuhujumu chama na si kutibua huu ujinga.It disgraceful kama hakusaidi ainteligensia ya chama ktk hili.pengine haya hawezi sema sasa hivi na chama ndicho kitasema kama hawakufaidi inteligensia yake.
 
Wametumia nguvu kubwa kumdhoofisha Zitto kisiasa wameshindwa na kamwe hawatofanikiwa.Hapo ni zanga zanga usitoke Zitto umma wa watanzania bado wanapenda upaze sauti yako ya utetezi ndani ya CHADEMA.Aluta continua mpaka mabeberu ya kaskazini yajisalimishe :yield:

kwa miaka hii miwili Zitto hajawa mwanasiasa wa kuvutia, pengine angetoa hiyo issue ya swiss kidogo angeosha nyota yake.Ila waliomshikia chini hawawezi mpa hiyo option.pengine wameshamuonjesha kidogo kw akumfungilia account ili apate za kurubuni vijana kila mahali at his own detriments .
 
hakuna aliempa zitto moyo hata wanakighoma wenyewe wamechukizwa kwa hilo

kumbe kule kupendwa anakopendwa zitto na wanakigoma ni kwa sababu kaenda kwa mganga kuwaroga??

Sasa tukimpa ikulu je??si ataliroga taifa lote??

Zitto hopless sana...

big show umelipwa na nani leo,wALIMSHINDWA WATU zITTO,MUTAWEZA NYIE VIFARANGA,,jipangeni tena wazee kwa hili mumefail wazee wa kaskazini na wabaguzi katika chama.Hatwaachi,mwambieni na Ben saa 8 mchaga mwenzenu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom