bro maana ya uanaume ndyo hapo ulipo sasa... onyesha maamuzi ya kiume, simama kiume, onyesha misimamo yako ya kiume, lea mtoto wako, oa mwanamke wako, ishi maisha yako.mkuu siri hii inamkosesha mambo mengi mtoto bt mazingira ya kuitoa nayo ni magum hata nikawa nataka niwatafute wazee wenye busara niwatume bt bado nipo mashakani nikiwaza je wasipoelewa wazee itakuwaje.
mkuu kuzivunja mila kwangu si tatizo, shida kubwa jambo hili nikiliendea papara linaweza leta mtafaruku katika familia coz wazee waloshikilia mila mara nyingi ni wagum kuelewajamaa bhana! umesema "mila yenu hairuhusu kuoa." sawa.... je! kuzaa?
kwanza huyo binamu ni jasiri kuliko wewe tena sana.
pili hizo habari za mila unaweza kuzivunja na kuamua kuishi maisha unayoona yanafaa.
sheria zingine za kimila zimewekwa ila ni za kipumbavu sana
tatizo kubwa ni kwa hawa wazee waloshikilia mila, sidhani kama mke/mume wa binam anaweza shangaa sana coz kwa mtu asie na mambo ya mila kudate na binam ni jambo la kawaida mkuu.Mimi nakushangaa kitu kimoja mkuu,
Unasema umeoa na huyo binamu yako kaolewa,lakini huonyeshi dalili zozote zakumuhofia mkeo au mume wa huyo binamu yako!
Yaani unachohofia ni mila tu ambazo ni kama mazowea tu.
kabla ya kuolewa tulikua tunafanya hivo bt tangu aolewe badoBado mnagongana?
Ww umeoa.?kabla ya kuolewa tulikua tunafanya hivo bt tangu aolewe bado
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kwetu binamu unaoa kabisa. Oa mulee mtoto wenu.
ile aibu yako ya kuachika imeisha?Hii ni aibu
Ushauri ungeomba kabla ya kuanza kutembea nae. Kwa ss nakushauri endelea kula ,mzigo tu..zaeni na wapiliNatumai hamjambo wakuu.
Miaka 7 iliyopita nili-date na binamu yangu, bahati mbaya alipata ujauzito nikamtaka autoe akakataa katakata. Nilimtaka autoe sababu mila zetu haziruhusu mahusiano ya kimapenzi na binamu, nyumbani aliwaambia aliyempa mimba ni mtu wa mbali ambaye walikutana shule na hawana mawasiliano tena.
Baada ya kukataa kuitoa ilibidi tufanye kiapo cha kutunza siri ili tusije leta ugomvi katika familia, alipojifungua mtoto alifanana na mimi kila kitu, wazazi wake wakaamua kumpa jina langu eti kafanana na mjomba ake.
Mila zetu zinasema ukilala na mtoto wa shangazi/mjomba ni sawa na kulala na shangazi/mjomba wako, na hapa ndo panaleta ugumu wa suluhu wa hii siri ya muda mrefu.
Wakuu nawaombeni kwa busara zenu mchangie mawazo ambayo huenda yakazaa suluhu ya jambo hili kwa hekima bila kuleta mtafaruku kifamilia.
Natumai hamjambo wakuu.

mkuu we ni mkamilifu hujawahi kosea? mbona umeandika kama malaika fulani mtakatifu usie na dhami? dah! ngoja nikomee hapa.Ushauri ungeomba kabla ya kuanza kutembea nae. Kwa ss nakushauri endelea kula ,mzigo tu..zaeni na wapili
Nimeolewa na watoto wawili wewe bado unadanga hujaacha tu??ile aibu yako ya kuachika imeisha?
sawa mkuu bt kuoana haitawezekana coz mi nshaoa nae kishaolewaMweleze baba yako, ataongea na wazee,
Watafanya mila, wafute na hivyo viapo,
Naona muoane kabisa, maana wewe bado
unampenda binamu yako,
Usichukulie kama haramu zaidi ya haramu zote.
Mtoto atawasumbua baadae