Ushauri wenu juu ya siri hii inayonitesa kwa muda mrefu

Ushauri wenu juu ya siri hii inayonitesa kwa muda mrefu

Natumai hamjambo wakuu.

Miaka 7 iliyopita nili-date na binamu yangu, bahati mbaya alipata ujauzito nikamtaka autoe akakataa katakata. Nilimtaka autoe sababu mila zetu haziruhusu mahusiano ya kimapenzi na binamu, nyumbani aliwaambia aliyempa mimba ni mtu wa mbali ambaye walikutana shule na hawana mawasiliano tena.

Baada ya kukataa kuitoa ilibidi tufanye kiapo cha kutunza siri ili tusije leta ugomvi katika familia, alipojifungua mtoto alifanana na mimi kila kitu, wazazi wake wakaamua kumpa jina langu eti kafanana na mjomba ake.

Mila zetu zinasema ukilala na mtoto wa shangazi/mjomba ni sawa na kulala na shangazi/mjomba wako, na hapa ndo panaleta ugumu wa suluhu wa hii siri ya muda mrefu.

Wakuu nawaombeni kwa busara zenu mchangie mawazo ambayo huenda yakazaa suluhu ya jambo hili kwa hekima bila kuleta mtafaruku kifamilia.
Ukome, kama ulilijua hilo bado ukalale nae ulitegemea nini?
Sex ni choice sio mistake
 
Watoto wa siri huaga ni noma kweli,hawanaga siri,wanafananaaaaaa na baba zao.

Kijana sikiliza huu ushauri wangu ingawa nimeamka na hangover za mizinga 2 ya kvant;

Kama utashindwa kukabili masimango ya ndugu zako na ikiwezekana kutengwa nao,achana na wazo hilo la kusanua huo msala,jipangeni mbelembele huyo mdada ajifanye kuwa mzazi mwenzie huyo aliyewadanganya ndg zake kuwa yupo mbali kafariki huko huko mbali,tena ng'ambo ya nchi kabisa,na gemu litaishia hapo,wewe utaendelea kuitwa ankoliii,na achana na shobo kinanda za kutaka ujulikane kuwa wewe ndio mzazi wa huyo dogo,we mpende sana huyo dogo ila kama uncle yake,simamia nafasi ya ubaba kupitia ujomba kwa kutoa huduma.

Over.
huu ndio ushauli, ukisema utoe siri tu ujue binamu yako atafukuzwa kwa mumewe na familia nzima itawatenga.
 
Usitoe siri, naludia tena usitoe siri, lea mwanao kupitia mjomba kwani mjomba naye ni mzazi.

Kumbuka binamu yako ameolewa pia.
 
Natumai hamjambo wakuu.

Miaka 7 iliyopita nili-date na binamu yangu, bahati mbaya alipata ujauzito nikamtaka autoe akakataa katakata. Nilimtaka autoe sababu mila zetu haziruhusu mahusiano ya kimapenzi na binamu, nyumbani aliwaambia aliyempa mimba ni mtu wa mbali ambaye walikutana shule na hawana mawasiliano tena.

Baada ya kukataa kuitoa ilibidi tufanye kiapo cha kutunza siri ili tusije leta ugomvi katika familia, alipojifungua mtoto alifanana na mimi kila kitu, wazazi wake wakaamua kumpa jina langu eti kafanana na mjomba ake.

Mila zetu zinasema ukilala na mtoto wa shangazi/mjomba ni sawa na kulala na shangazi/mjomba wako, na hapa ndo panaleta ugumu wa suluhu wa hii siri ya muda mrefu.

Wakuu nawaombeni kwa busara zenu mchangie mawazo ambayo huenda yakazaa suluhu ya jambo hili kwa hekima bila kuleta mtafaruku kifamilia.
Ulipokua unamla binamu hukutarajia haya, tamaa zilikushika sana, mbona wasichana wapo wengi sana mtaani, maofisini, supermarket nk nini kilikushika ulale na binamu yako
 
Endelea na siri ili uepushe balaa, siri hufichuka sku ukifaa we komaa nayo ila tunza mtoto jifanye ww km mjomba mwenye uchungu usimame km baba umlee mtoto wako ili apate malezi bora
 
Natumai hamjambo wakuu.

Miaka 7 iliyopita nili-date na binamu yangu, bahati mbaya alipata ujauzito nikamtaka autoe akakataa katakata. Nilimtaka autoe sababu mila zetu haziruhusu mahusiano ya kimapenzi na binamu, nyumbani aliwaambia aliyempa mimba ni mtu wa mbali ambaye walikutana shule na hawana mawasiliano tena.

Baada ya kukataa kuitoa ilibidi tufanye kiapo cha kutunza siri ili tusije leta ugomvi katika familia, alipojifungua mtoto alifanana na mimi kila kitu, wazazi wake wakaamua kumpa jina langu eti kafanana na mjomba ake.

Mila zetu zinasema ukilala na mtoto wa shangazi/mjomba ni sawa na kulala na shangazi/mjomba wako, na hapa ndo panaleta ugumu wa suluhu wa hii siri ya muda mrefu.

Wakuu nawaombeni kwa busara zenu mchangie mawazo ambayo huenda yakazaa suluhu ya jambo hili kwa hekima bila kuleta mtafaruku kifamilia.
Tafuta ndugu ambaye unammudu yani unayeweza kumwambia then muombe ushauri, angalia upepo wa jambo utajudge kulingana na ushauri aliokupa huyo ndugu
 
kwa mila zetu kuoana haiwezekani mkuu ndo maana nahitaji ushauri wa kuitoboa siri bila madhara kifamilia.
chuna mzee, kwani ukinyamaza nq kuendelea kumuudumia mtoto kimya kimya kama mjomba wa mtoto kuna shida gani. Kikubwa bado una access ya kumlea kama ndugu wa mama wa mtoto. Kuwa mwanaume.
 
Mnashindwa nn kunyamaza kimnya mpaka mzeeke,,,mleeni mtoto wenu ktk njia ipasayo ,,,,hata mkisema ,,,,familia haitawasaidia chochote zaid ya kuwasema vibaya,, mtakua ndo bango ukoo mzima utazungumza,, subirin mkikaribia kuzeeka ndo mtoboe ,,,
ahsante mkuu
 
What happens in the jungle stays in the jungle. Baadhi ya siri tumeumbwa kwenda nazo kaburini mkuu. Usithubutu kusemea hilo popote mkuu kaza kifua kiume.
Ukisema utapatwa na fadhaa kubwa kutoka kwa familia, kama kifua chako kidogo unaweza kimbia mji au kujidhuru kuepuka aibu.
 
And For Your Information, mpaka huyo mtoto kupewa jina lako basi wazee wenu wameshajua ila wameamua kukaa kimya kuepusha fadhaa kutoka kwa majirani, sasa na wewe endeleza huo ukimya kuepusha fadhaa kwa mkeo na kwa binamu yako.
 
And For Your Information, mpaka huyo ntoto kupewa jina lako basi wazee wenucwameshajua ila wameamua kukaa kimya kuepusha fadhaa kutoka kwa majirani, sasa na wewe endeleza huo ukimya kuepusha fadhaa kwa mkeo na kwa binamu yako.
mkuu wale navowajua wangeshajua ilikua kasheshe mtupu, jina alipewa ajil ya kufanana tu coz binadam aliambiwa umemzaa fulani basi tumuite maana wamefanana kila kitu.
 
Kwa muslims binamu wanaruhusiwa kuoana, pia mimi ni muhehe, kwenye kabila letu wanaruhusiwa kuoana.
 
mkuu wale navowajua wangeshajua ilikua kasheshe mtupu, jina alipewa ajil ya kufanana tu coz binadam aliambiwa umemzaa fulani basi tumuite maana wamefanana kila kitu.
mkuu kama unajiweza kiuchumi waombe huyo mtoto ukae nae wewe ili umlee vizuri (waambie ni wajina wangu na tunafanana natamani na kuishi aishi kwangu)......


wakikubali shukuru, wakikataa endelea kutoa matumizi, ila usifungue mdomo kutoa siri maana utahatarisha ndoa yako na ya binamu yako...... not fair kabisa!
 
Back
Top Bottom