Am the One
JF-Expert Member
- Nov 1, 2018
- 918
- 930
Ushauri wangu, tafuta wazee wa kwenu wenye hekima, uwaeleze kama itawezekana Muoane mlee mtoto wenu.
Hizo ni mila potofu zilizopitwa na wakati, kuendelea kuzishika katika zama hizi za dunia kupanuka kielimu (elimu za dini na kijamii) ni ujinga.
Iweje "unapotembea" na binamu yako eti ni sawa na kutembea na shangazi au mjomba wako?!!!-- hayo ni matusi makavu.
Wewe kwanza pingana na hiyo mila ya hivyo, pili eleza ukweli kwani ukweli utakuweka huru na jaribu kutafuta suluhu za kimila zilizokuwa "sahihi" na zinazoingia akilini juu ya jambo hilo ambalo ni irrevisible, mtoto kishazaliwa na atahitaji haki zote kutoka kwa baba sasa ni hadi lini jambo hilo liwe siri??!!!--- hadi Yesu atakaposhuka!!!, asiposhuka jee??!
mkuu kutumbua jipu sio shida bt tatizo namna nzuri yakutumbua ili kusiwe na mtafurukuTumbua jipu upate matibabu...hamna namna
mkuu lengo la uzi nikupata namna nzuri yakujilipua, ushauri wako pleasJilipue..liwalo na liwe..maji yashamwagika kuzoleka ni ngumu.
nimeoa nae ameolewa, nitafanyia kazi mkuuKabla ya yote tueleze umeoa? Binamu ameolewa?
Baada ya hapo unaweza kupima impact ya kutobia hiyo siri ila busara inahitajika
Tafuta watu wazima uwaeleze nao watajua nmna ya kuimaliza hiyo soo
dahHuna Qaba nini wewe bwege? Mhudumie mtoto kwa ukaribu tu, usijichokonoe kujifanya mwema ukauongea ukweli qmamae utajuta. Tuliza huo ushoroba wako hapo hiyo kitu rahisi tu kwa Wanaume.
anatumia la babu mzaama mama akeKwahiyo mtoto atatumia jina gani(ubini)lako au babu yake(mzaa mama)kwakuwa baba hajulikani
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Unataka kuoga pasipo kujimwagia maji
Ushauri wangu hunijui ila wewe ni mtu msaidizi katika shida jua wewe ni rafiki yangu wa pekee sana hata mume wangu anakufahamu umetusaidia pale ambapo tulihitaji msaada ila kwa hapo bora tu useme ukweli kwa ndugu ili kama watakufokea basi.ndio ni aibu bt ushauri wako ni muhimu sana mkuu.
ahsante sana mkuu kwa kuutambua msaada wangu, nitafanyia kazi ushauri wako.Ushauri wangu hunijui ila wewe ni mtu msaidizi katika shida jua wewe ni rafiki yangu wa pekee sana hata mume wangu anakufahamu umetusaidia pale ambapo tulihitaji msaada ila kwa hapo bora tu useme ukweli kwa ndugu ili kama watakufokea basi.
Ila ilikuwa makosa tu penzi la ndugu ni tamu sana .
Ila kweli wewe ni rafiki wakati wa shida mno asante kwa hilo.
Nikutakie wakati mwema .