Ushauri wenu juu ya siri hii inayonitesa kwa muda mrefu

fanya hivi..

watume wazee wapeleke posa...muoane kabisa;si bado unakula mzigo?

hakuna mkate mgumu mbele ya chai
 
Natumai hamjambo wakuu.

Miaka 7 iliyopita nili-date na binamu yangu, bahati mbaya alipata ujauzito nikamtaka autoe akakataa katakata. Nilimtaka autoe sababu mila zetu haziruhusu mahusiano ya kimapenzi na binamu, nyumbani aliwaambia aliyempa mimba ni mtu wa mbali ambaye walikutana shule na hawana mawasiliano tena.

Baada ya kukataa kuitoa ilibidi tufanye kiapo cha kutunza siri ili tusije leta ugomvi katika familia, alipojifungua mtoto alifanana na mimi kila kitu, wazazi wake wakaamua kumpa jina langu eti kafanana na mjomba ake.

Mila zetu zinasema ukilala na mtoto wa shangazi/mjomba ni sawa na kulala na shangazi/mjomba wako, na hapa ndo panaleta ugumu wa suluhu wa hii siri ya muda mrefu.

Wakuu nawaombeni kwa busara zenu mchangie mawazo ambayo huenda yakazaa suluhu ya jambo hili kwa hekima bila kuleta mtafaruku kifamilia.
Muue tu uyo mtoto
 
jiandae kisaikolojia from now, kaza moyo kwa spana, kisha toa siri yataleta mtafaruku kisha yataisha na maisha yataendelea..
 
Nimeolewa na watoto wawili wewe bado unadanga hujaacha tu??
.
JamiiForums-1117260554.jpg
 
wacha upuuzi kabisa....kaa kimya...umeshao? na huyo mzazi mwenzio je?.......kauka kabisa....ila jua huyo mtoto akikia mnalo...wewe na huyo kahaba mwenzio.......
 
kwa mila zetu kuoana haiwezekani mkuu ndo maana nahitaji ushauri wa kuitoboa siri bila madhara kifamilia.
Pole sana ndugu yangu.Kwa uzoefu wang mdogo kwenye matukio yanayofanana na la kwako(tena yakinihusu kabisa),HAKUNA KWENDA MBINGUNI BILA KUFA.
Moja: Ishu ifahamike, ukweli usemwe,zitafuatwa mila suala liishe ila AIBU HUTAIKWEPA.
Mbili: Kama mlivyokubaliana kutunza siri basi komaeni muitunze tu,ishinde dhamiri upate aibu peke yako.
Again,pole sana kwa situation hiyo
 
Mkuu ulinogewa hadi ukaweka mimba kabisa. Anyways, kausheni hadi mtoto akue kabisa (now sijui ana umri gani). Alaf huko mbeleni mambo yatakuja kujiweka sawa yenyewe.
 
Wazazi wako na wazazi wa huyo binamu yako wameshajua lakini wameamua tu kufunika mambo.
Ila wewe sasa kwa moyo wako wenye GB moja na network ya 3G unahangaika na kuwaza kuhusu jambo hilo.
Fanya yafuatayo:
Tunza mtoto na mama hiyo inatosha.
 
Natumai hamjambo wakuu.

Miaka 7 iliyopita nili-date na binamu yangu, bahati mbaya alipata ujauzito nikamtaka autoe akakataa katakata. Nilimtaka autoe sababu mila zetu haziruhusu mahusiano ya kimapenzi na binamu, nyumbani aliwaambia aliyempa mimba ni mtu wa mbali ambaye walikutana shule na hawana mawasiliano tena.

Baada ya kukataa kuitoa ilibidi tufanye kiapo cha kutunza siri ili tusije leta ugomvi katika familia, alipojifungua mtoto alifanana na mimi kila kitu, wazazi wake wakaamua kumpa jina langu eti kafanana na mjomba ake.

Mila zetu zinasema ukilala na mtoto wa shangazi/mjomba ni sawa na kulala na shangazi/mjomba wako, na hapa ndo panaleta ugumu wa suluhu wa hii siri ya muda mrefu.

Wakuu nawaombeni kwa busara zenu mchangie mawazo ambayo huenda yakazaa suluhu ya jambo hili kwa hekima bila kuleta mtafaruku kifamilia.
Hakika hizi mila na desturi zinapunguza wigo wa mahusiano kabisa. Huku kwetu hili halina shida kabisa tena una owa na haina shida, kosa mlilofanya kwa huku kwetu ni zinaa basi.

Ama kuhusu ushauri,subiri wadau watakushauri, ila nilicho fanya mimi ni kukuonyesha ya kuwa katika hilo mila haina nafasi.
 
Kama uliweza kulala na dada yako wa damu, basi ipo siku utalala na mkweo, mashemeji zako, utaweza kulala na mwanao wa damu kabisa.... Na kadhalika
 
Pole sana ndugu yangu.Kwa uzoefu wang mdogo kwenye matukio yanayofanana na la kwako(tena yakinihusu kabisa),HAKUNA KWENDA MBINGUNI BILA KUFA.
Moja: Ishu ifahamike, ukweli usemwe,zitafuatwa mila suala liishe ila AIBU HUTAIKWEPA.
Mbili: Kama mlivyokubaliana kutunza siri basi komaeni muitunze tu,ishinde dhamiri upate aibu peke yako.
Again,pole sana kwa situation hiyo
ahsante mkuu vp wewe yalipokukuta ulifanyaje?
 
wazee wale ni watata sana mkuu laiti wangejua ingeshakua noma, jambo hili halinitesi mimi pekee bt hata binam pia hua tunajiwazia mambo yakijulikana tutaweka wapi nyuso zetu mbele za wana ukoo?
Bora mfe na siri yenu tu lakn mtoto ahudumiwe kama kawaida ila kama Mungu akijaalia uhai uje umwambie ukweli mwanao akishakuwa mtu mzima hata kwenye miaka 30 hivi.
 
Mnashindwa nn kunyamaza kimnya mpaka mzeeke,,,mleeni mtoto wenu ktk njia ipasayo ,,,,hata mkisema ,,,,familia haitawasaidia chochote zaid ya kuwasema vibaya,, mtakua ndo bango ukoo mzima utazungumza,, subirin mkikaribia kuzeeka ndo mtoboe ,,,
 
Natumai hamjambo wakuu.

Miaka 7 iliyopita nili-date na binamu yangu, bahati mbaya alipata ujauzito nikamtaka autoe akakataa katakata. Nilimtaka autoe sababu mila zetu haziruhusu mahusiano ya kimapenzi na binamu, nyumbani aliwaambia aliyempa mimba ni mtu wa mbali ambaye walikutana shule na hawana mawasiliano tena.

Baada ya kukataa kuitoa ilibidi tufanye kiapo cha kutunza siri ili tusije leta ugomvi katika familia, alipojifungua mtoto alifanana na mimi kila kitu, wazazi wake wakaamua kumpa jina langu eti kafanana na mjomba ake.

Mila zetu zinasema ukilala na mtoto wa shangazi/mjomba ni sawa na kulala na shangazi/mjomba wako, na hapa ndo panaleta ugumu wa suluhu wa hii siri ya muda mrefu.

Wakuu nawaombeni kwa busara zenu mchangie mawazo ambayo huenda yakazaa suluhu ya jambo hili kwa hekima bila kuleta mtafaruku kifamilia.
Kuwa muwazi mkuu kwani ukweli Utakufanya uwe Huru na mtoto kupata Haki zake kwako pasipo maficho tena. Nenda kwa wazee ambao wako karibu na hiyo Familia kwa pamoja mkubali Mlikosea(Ukilikoroga lazima ulinywe) na wao ndio watakaa na wazazi wenu na ndgu zenu kuwafahamisha ilo na hata mkiitwa usipindishe mkuu Wewe si wakwanza Amini Kua jasiri piga moyo konde wewe n Mwanaume.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mnashindwa nn kunyamaza kimnya mpaka mzeeke,,,mleeni mtoto wenu ktk njia ipasayo ,,,,hata mkisema ,,,,familia haitawasaidia chochote zaid ya kuwasema vibaya,, mtakua ndo bango ukoo mzima utazungumza,, subirin mkikaribia kuzeeka ndo mtoboe ,,,
Kivipi wanaweza mlea mtoto wao kwa pamoja kama Walishapanda mbegu ya mwenye ujauzito hana mawasiliano nae? Je ikitokea jamaa anafariki na kuna mali anaziacha ni mazingira gani anatengeneza kwa uyo dada na kwa damu yake?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom