Ushauri wangu kwa watengenezaji wa ndege za abiria

Ushauri wangu kwa watengenezaji wa ndege za abiria

Ndege itatua na pua na impact itakuwa kubwa sana. At tha altude huwez ku deploy parachute pressure iliyohuko juu inaweza fanya parachute ikaharibika. Atleast 15000 ft

Sent using Jamii Forums mobile app

Ikiwa ni hivyo wanaweza kuweka mapachute mawili ambayo yatafungwa ku balance center of gravity. Tukumbuke hapa lengo ni kuifanya ndege itue bila kujipigiza sana ardhini.

Na kwa upande wa pressure ya huko juu, ndege inaweza kushuka hadi umbali unaotakiwa kisha parachutes zikafunguka.
Mnyenz nimefurahi sana kuona tumewaza kitu kimoja japo napo bado najiuliza endapo chanzo cha ajali ni moto kwenye mojawapo ya enjini za ndege, si zitaharibu miundombinu ya parachute?
 
ingia you tube angalia video ya miracle of the hudson river utaona mkuu then utaona na case nyingi nyingi za ndege kuzima injini na kutua salama
Captain jack sully alikuwa akiongoza hiyo ndege. Angalia elevation aliyokuwepo. Hakuwa mbali.. na alikuwa close na kiwanja cha ndege.. na mto ndio ulikuwa karib zaid maana asingeweza kufikia kiwanja cha ndege.
Angekuwa amepata hilo tatizo at 30,000 . Hakuna wa kupona hapo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndege inaweza kupoteza engine zote ikatua salama kama kuna airport karibu. Ikiwa 30,000ft ikazimika kuna ki-propeller huwa kinatoka automatically kuisaidia ku-glide. Kwa maana hii inaenda ikipoteza altitude taratibu. Hapa rubani anatakiwa atafute airport ya karibu apige hesabu zake jinsi inavyoshuka per minute na umbali airport ilipo.
Kama unaangalia aircrash investigation ya natgeo kuna ndege ilivuja mafuta yote katikati ya Atlantic Ocean na rubani alifanikiwa kuiteremsha kwenye ki airport fulani kwenye kisiwa huko huko Atlantic.
Ki propeler kinatoka mh? Ni ndege aina aina gani hiyo?
Maana nimeufuatilia ajali nyingi za ndege. At 30,000ft na total engine failure wanaopona ni 1. Out of 1000..
Hiko ki propeler kinatokea wapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo technology IPO kitambo ila ni kwa ndege nyepesi ndogondogo tu.
Ndege hizi kubwa nzito bado

Ikiwa ni hivyo wanaweza kuweka mapachute mawili ambayo yatafungwa ku balance center of gravity. Tukumbuke hapa lengo ni kuifanya ndege itue bila kujipigiza sana ardhini.

Na kwa upande wa pressure ya huko juu, ndege inaweza kushuka hadi umbali unaotakiwa kisha parachutes zikafunguka.
Mnyenz nimefurahi sana kuona tumewaza kitu kimoja japo napo bado najiuliza endapo chanzo cha ajali ni moto kwenye mojawapo ya enjini za ndege, si zitaharibu miundombinu ya parachute?
Screenshot_2019-03-11-18-37-35.jpeg
Screenshot_2019-03-11-18-36-27.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanasemaga ndege huwa zinakuwa kasi mno huko angani mfano ikiwa 300kph sasa na ule upepo kule juu hivi inawezekana ndege ikafunguka na mkawa salama kweli?
Nashauri kuwe na maparachuti katika kila siti ya abiria..
Kuna mfjmo nimewahi kuuona kwenye ajali nyingi za ndege kijeshi..huwa ikipata hitilafu au imeshika moto yule rubani sijui anafanyaje au nahisi Kuna button anaminya kisha anafyatuka juu na parachute linafunguka mgongoni mwake huku ndege ikielekea chini.
Kwanini hizi ndege za abiria zisiwe na huu mfumo?
Na huu mfumo uwe na access kwa mtu mmoja maalum..akishahisi ndege inaa hitilafu na kuelekea kuanguka sehemu ya juu inafunguka automatically na abiria wote wanarushwa juu ikiwemo marubani na air hostess.kisha parachute zinafunguka zenyewe automatically wanatua chini.hii kufanyika kwenye zile golden seconds za ndege kuanguka inawezekana..


Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimebahatika kukutana na hii kitu ambayo imeboreshwa zaidi ya vile tulivyokuwa wengi wetu tunawaza uwezekano wa ndege yenyewe kuwekewa parachute. Hii kinachotokea ni ndege kutengenezwa kwa muundo ambao sehem yenye abiria na ile yente injini na magurudumu kuwa tofauti, zinaweza kuachana wakati wa ajali.

Hiyo sehem inayobeba abiria ndio inakua na parachute kuifanya itue taratibu.

 
Ndege ya aina hii hii iliua 189 kule Indonesia kwa style hii hii..kwa hakika ndg zangu hakuna kitu kibaya kama ajali hizi za ndeg..zinaua wote waliomo ni hatari kubwa sana ..Lakini hii Boein 737 ni ndege wanayodai ni nzuri na imara sana angani kwa maana ya uwezo wa kukabiliana na upepo na kuhimili turbulence..Kinachoziangusha hizi ndege ni technicality kwenye mfumo wake hilo ndio tatizo.,
 
Mie nina wazo tofauti kidogo but katika same angle.
Kwa nini ndege yenyewe isiwe parachuted?
Linapotokea tatizo ambapo rubani anagundua hakuna namna mfano labda bawa moja limekatika au injini zote zimegoma kufanya kazi analifyatua parachute, hivyo ndege inakua inabembea kushuka chini walau kwa speed pungufu tofauti na kama ingekua haina
Na kama mdau mmoja aliechangia kwa kusema ndege huruka kama 35000ft urefu ambao hata mtu akitoka atakufa kwa kukosa hewa, hivyo wakishalifyatua wanasubiri walau ndege ishuke mpaka at least ft10000 hivi then mnatoa go on la abiria kuruka kila mmoja na parachute yake, hapo natumai itakua afadhali kidogo.
Nimesema haya baada ya kuona ndege kabila ya concord ikitua chini hutumia kitu kama parachute kupunguza speed yake ili iweze kusimama( hufyatuliwa na kuwa nyuma kuzuia upepo ili chombo kipunguze speed) ni hayo tu.
Picha na video ingia youtube angalia concord zinapotua.


Sent from my iPhone using JamiiForums
Parachute la kuhimili over 400tonnes sijui litatengenezwa na kitu gani aisee!!!
 
Kwahiyo hii ni mpya bado haijafanyiwa Nazi?
Nimebahatika kukutana na hii kitu ambayo imeboreshwa zaidi ya vile tulivyokuwa wengi wetu tunawaza uwezekano wa ndege yenyewe kuwekewa parachute. Hii kinachotokea ni ndege kutengenezwa kwa muundo ambao sehem yenye abiria na ile yente injini na magurudumu kuwa tofauti, zinaweza kuachana wakati wa ajali.

Hiyo sehem inayobeba abiria ndio inakua na parachute kuifanya itue taratibu.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ki propeler kinatoka mh? Ni ndege aina aina gani hiyo?
Maana nimeufuatilia ajali nyingi za ndege. At 30,000ft na total engine failure wanaopona ni 1. Out of 1000..
Hiko ki propeler kinatokea wapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
Angalia video mbili nimeweka hapo juu. Pia kama ni mwangaliaji wa NatGeo kuna ndege ishazima engine zote mbili katikati ya Atlantic Ocean na ikafanikiwa kutua kwenye moja ya visiwa. Hicho ki propeller ndio huwa kinasaidia ndege ku-glide.
Screenshot_20190312-123623.png
Screenshot_20190312-123635.png
 
Aya aviator men, inarecod audio au video hiyo red box( black box). Kama ni video ajali zote za ndege ungeona video, na ata hiyo utambiwa waliskia sauti zikiomba msaada, ata ya Malaysia walisema ivo ivo ilitekwa uliona video ya kutekwa ?.


Ila komaa na mishe za ukombozi wa kila mtu kuhusu aviation, aamini unacho kijua ww, hii sio sayansi ya mwili.[emoji188][emoji188]

ghost rider
Shukrani mkuu we can agree to disagree
 
Tatizo lako hujui chochote kuhusu aviation na hizo video hutaki kuangalia kwenye ndege kuna black box inarekodi matukio yote wakati ndege ikiwa safarini na sio makamera unayoyawaza na hiyo blackbox huwa haiungui moto hata hii ajali ya juzi wataalam wameichukua watatuleta majibu soon nini chanzo cha ajali so kwa sasa endelea kuwadanganya hapo kwenye kijiwe chako cha kahawa
Black box inafanya recording ya videos?
 
Back
Top Bottom