Ushauri wangu kwa watengenezaji wa ndege za abiria

Ushauri wangu kwa watengenezaji wa ndege za abiria

Nashauri kuwe na maparachuti katika kila siti ya abiria..
Kuna mfjmo nimewahi kuuona kwenye ajali nyingi za ndege kijeshi..huwa ikipata hitilafu au imeshika moto yule rubani sijui anafanyaje au nahisi Kuna button anaminya kisha anafyatuka juu na parachute linafunguka mgongoni mwake huku ndege ikielekea chini.
Kwanini hizi ndege za abiria zisiwe na huu mfumo?
Na huu mfumo uwe na access kwa mtu mmoja maalum..akishahisi ndege inaa hitilafu na kuelekea kuanguka sehemu ya juu inafunguka automatically na abiria wote wanarushwa juu ikiwemo marubani na air hostess.kisha parachute zinafunguka zenyewe automatically wanatua chini.hii kufanyika kwenye zile golden seconds za ndege kuanguka inawezekana..


Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna hii technology ya detachable cabin ilikuja kama 3 years back. Yaani ile compartment ya abiria yote inajidetach endapo ndege itapata hitilafu then itakuwa supported na parachutes so as kuwafanya wale occupants kutua safe. Unaweza kupitia video link hiyo hapo chini [emoji116][emoji116]



Watu walionekana kuikubali sana lakini ilionekana kama wanaoweza kuwa saved ni abiria. Maswali mengi yaliraise kwamba je vipi kuhusu pilots???....

Sijajua waliopropose hiyo technology wameishia wapi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom