Ushauri wangu kwa watengenezaji wa ndege za abiria

Punguza kuangalia Hollywood's movie hamna uhalisia na tukio la angani ndege ikipata shida uko juuu ft 34,000,

Wewe unaweza kwenda chini kufungua matairi manual kwa mikono ? Dege ikiwa haina balance kwa sbb engine zimezimika haitakuwa na mwelekeo tayari inayumba yumba tuu,

Ata kuhama kitu hutoweza kulingana na kuyumba yumba kwake juuu.

Ndege inaweza kutua endapo imepata hitalafu ya engine moja nyingine ikamsaidia rubani kuongoza ndege itue ila sio zote maana ake huna access na dege inajipeleka yenyewe inapo taka

ghost rider
LAYMAN talking hebu jisumbue kidogo ingia you tube uone how does it work
 
mkuu sijasikia hiyo case kean drmliner yetu siku hizi inaonesha mlima au??
video zilisambaa watsap hata ukiingia you tube kuna mahojiano kati ya captain shahidi na watu wa clouds walimuhoji akaelezea vizuri tu
 
Punguza kuangalia Hollywood's movie hamna uhalisia na tukio la angani ndege ikipata shida uko juuu ft 34,000,

Wewe unaweza kwenda chini kufungua matairi manual kwa mikono ? Dege ikiwa haina balance kwa sbb engine zimezimika haitakuwa na mwelekeo tayari inayumba yumba tuu,

Ata kuhama kitu hutoweza kulingana na kuyumba yumba kwake juuu.

Ndege inaweza kutua endapo imepata hitalafu ya engine moja nyingine ikamsaidia rubani kuongoza ndege itue ila sio zote maana ake huna access na dege inajipeleka yenyewe inapo taka

ghost rider
ingia you tube andika how to release landing gear manual utaona kila kitu then utajiona jinsi ulivyo tabolalasa unabisha vitu usivyovijua
 
LAYMAN talking hebu jisumbue kidogo ingia you tube uone how does it work
Achana na YouTube zile ni video zilitengenezwa na mtu akashika camera, kuwa kama mtu mwenye kutofautisha vitu vya kutengeneza na uhalisia wakati wa tukio.

Naweza kuta nabishana na mtu ambae ata hajawahi kupanda piki piki au baiskeri harafu break zikafel yenye speed ya kuanzia 20

ghost rider
 
Parachutes huwa zipo katika kila seat ya abiria ila sema kuna ajali nyingine zinatokea ghafla muno kiasi kwamba huwezi hata kupata muda wa kujiandaa. Parachutes zinaweza kusaidia tu pale ambapo Rubani amebaini hitilafu kwenye ndege, halafu akapata muda wa kuwanaandaa abiria kwa kuwatangazia na wao pia wakapata muda wa kuvaa parachute hizo, tofauti na pale ambapo ajali inakuwa ni ya ghafla especially wakati wa kutua au wa kupaa.
hii ni kamba
 
Punguza kuangalia Hollywood's movie hamna uhalisia na tukio la angani ndege ikipata shida uko juuu ft 34,000,

Wewe unaweza kwenda chini kufungua matairi manual kwa mikono ? Dege ikiwa haina balance kwa sbb engine zimezimika haitakuwa na mwelekeo tayari inayumba yumba tuu,

Ata kuhama kitu hutoweza kulingana na kuyumba yumba kwake juuu.

Ndege inaweza kutua endapo imepata hitalafu ya engine moja nyingine ikamsaidia rubani kuongoza ndege itue ila sio zote maana ake huna access na dege inajipeleka yenyewe inapo taka

ghost rider
Alafu inaonekana hujawai kupanda ndege
 
Achana na YouTube zile ni video zilitengenezwa na mtu akashika camera, kuwa kama mtu mwenye kutofautisha vitu vya kutengeneza na uhalisia wakati wa tukio.

Naweza kuta nabishana na mtu ambae ata hajawahi kupanda piki piki au baiskeri harafu break zikafel yenye speed ya kuanzia 20

ghost rider
we jamaa level yako ni vijiwe vya kahawa ha ha ha ha ha kule kila mtu anajifanya anautaalam wa kuendesha serikali
 
ingia you tube andika how to release landing gear manual utaona kila kitu then utajiona jinsi ulivyo tabolalasa unabisha vitu usivyovijua
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu achana na video za You tube kabisa...!! Yani ndege ikizingua kule juu ni habari nyingne kabisaa....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nioneshe iyo post niliyosema ndege ya abiria ina parachute
Kama ulisha panda utakuwa na uelewa , usifikirie watu 150 wote ni wajinga kama unavyo dhani hawajui ndege ikiwa na shida uko juuu, na wengine ni watengenezaji wa izo ndege

Video za youtube ni kuvutia wateja tuu wanunue ndege zao na wanazitengeza makusudi tu ili watuu kama ww umini ni kweli

ghost rider
 
Mimi nawashauri waombe mawazo na utaalam kutoka kwa wale wataalam wa usafiri wa ungo kwamba wao hufanyaje hata wakianguka hawafi maana sijawahi sikia mtu ameanguka na usafiri wa ungo akavunjika au kufa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaweza kuta nabishana na mtoto umu anae amini kuwa titanic movie ni kweli walivyo tengeneza movie

ghost rider
 
Kama ulisha panda utakuwa na uelewa , usifikirie watu 150 wote ni wajinga kama unavyo dhani hawajui ndege ikiwa na shida uko juuu, na wengine ni watengenezaji wa izo ndege

Video za youtube ni kuvutia wateja tuu wanunue ndege zao na wanazitengeza makusudi tu ili watuu kama ww umini ni kweli

ghost rider
Achana na hearsay mi naongea na fact mkuu
 
Unaweza kuta nabishana na mtoto umu anae amini kuwa titanic movie ni kweli walivyo tengeneza movie

ghost rider
Achana na titanic i know everything about titanic movie ile bahari ilikua ni blue smoke tu na wale watu ni simulation mi sio mtoto hebu angalia JF nimejiunga lini
 
Back
Top Bottom