dudus
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 25,013
- 57,171
... brother, kwenye mazingira kama hayo hata miwani uliyovaa utaitafuta hutaiona sembuse parachute iliyovalishwa kwenye siti hata namna ya kuichoma hapo hujui!Huwa zinakuwa zimevaliwa kabisa kwenye seat..hakuna kutafuta na kuvaa..
Sent using Jamii Forums mobile app