Ushauri wangu kwa watengenezaji wa ndege za abiria

Ushauri wangu kwa watengenezaji wa ndege za abiria

Na iwe hivi mkuu..lakini nahisi itakua kwenye matoleo yajayo sio hizi tulizonazo

Sent using Jamii Forums mobile app

Ni mradi ambao bado uko hatua za awali sana, itachukua muda lakini hatimae watafikia hatua ya utekelezaji. Wasi wasi wangu ni hiyo mechanism ya kuunganisha hizo sehem mbili ziwe imara na ziweze kuachana kirahisi inapotokea ajali.
 
Auxilliary power generator. Hiyo sio engine.. ni power generator inayotumia upepo.
Inazalishaumeme kuhakikisha kuwa maeneo muhim ya ndege yana umeme.. ikitokea engine zina shida au battery system. Still haisaidii kuendesha ndege pale engine zote zinapozima..

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha ubishi. Nani kakwqmbia engine? Hio inasaidia iwapo engine zitazima. Na ndio maana ndege inaweza kuendelea na ikatua huku engine zimezima. Si ulikuwa huamini kama inawezekana, ndio hizo video nimekuwekea uone at 30,000ft engine zimezima na ndege ikatua 120km away.
Btw hio sio APU, APU iko ndani ya ndege mkiani.
 
Ndege kuishiwa mafuta au injini zote kuzima ikiwa juu angani siyo jambo hatari sana,asilimia kubwa ya ndege kama hizo hutua salama.Kwa elimu nzuri kabisa ya ndege watu wafuatilie documentary ya air crush investigation kutoka kwenye channel ya National geographic!
Aisee kweli una akili fupi. Ngoja nikufahamishe kama mtoto wa darasa la kwanza. Ni hivi ndege iliishiwa mafuta. Wakafanya kama wanavyofundisha hao marubani wakafanikiwa kufanya emergency landing kwenye airport ya karibu. Baada ya kutua uchunguzi ukafanyika kwanini mafuta yaliisha wakati ndege inatakiwa ijazwe mafuta ya kufika inapotakiwa au airport ya jirani iwapo hawayaweza kutua ilipopangwa.
Wakishamaliza uchunguzi nini kilitokea ndio NatGeo wanachukua report wanatengeneza scenario ya kilichotokea na tunapata hizi video. Kwenye video wameambataisha na real event ndege ilipotua. Sasa wewe una akili ya kuingia JF ila huna akili ya kutambua kuwa hizo video ni narration ya kilichotokea.

Bottom line ni kuwa ndege ina uwezo wa kutua hata engine zote zikiwa zimezimika inategemea tu ni wapi engine hizo zimezima au ipo kwenye hatua gani.
 
FDR inarekodi mwenendo wa ndege ambao unasaidia kutengeneza video ya tukio.
FDR inarekodi airspeed, fuel flow, vertical acceleration na altitude. Sijasoma sehemu yoyote inasema FDR inarekodi video, hizo zinaweza kuwa animation tu katika kufanya figuration ya nini hasa kilitokea, smth like imagination, ref. September 11 attack. Kama nimekosea nieleweshe hapo.
 
Hata mimi nimekwambia inarekodi mwenendo wa ndege(different parameters) wataalam wakisoma hizo data wanajua ndege ilikuwa inaendaje. Data hizo ndio zinatumika kutengeneza video ya tukio mfano video za NatGeo.
Then kuna CVR hii inarekodi mazungumzo ya marubani.
 
Ndege kuishiwa mafuta au injini zote kuzima ikiwa juu angani siyo jambo hatari sana,asilimia kubwa ya ndege kama hizo hutua salama.Kwa elimu nzuri kabisa ya ndege watu wafuatilie documentary ya air crush investigation kutoka kwenye channel ya National geographic!
Ndio ninachojaribu kuwaelewesha wenzangu humu.
 
Hata mimi nimekwambia inarekodi mwenendo wa ndege(different parameters) wataalam wakisoma hizo data wanajua ndege ilikuwa inaendaje. Data hizo ndio zinatumika kutengeneza video ya tukio mfano video za NatGeo.
Then kuna CVR hii inarekodi mazungumzo ya marubani.
Hapo tupo sawa!
 
Nashauri kuwe na maparachuti katika kila siti ya abiria..
Kuna mfjmo nimewahi kuuona kwenye ajali nyingi za ndege kijeshi..huwa ikipata hitilafu au imeshika moto yule rubani sijui anafanyaje au nahisi Kuna button anaminya kisha anafyatuka juu na parachute linafunguka mgongoni mwake huku ndege ikielekea chini.
Kwanini hizi ndege za abiria zisiwe na huu mfumo?
Na huu mfumo uwe na access kwa mtu mmoja maalum..akishahisi ndege inaa hitilafu na kuelekea kuanguka sehemu ya juu inafunguka automatically na abiria wote wanarushwa juu ikiwemo marubani na air hostess.kisha parachute zinafunguka zenyewe automatically wanatua chini.hii kufanyika kwenye zile golden seconds za ndege kuanguka inawezekana..

Sent using Jamii Forums mobile app
Inawezekana sana maana teknolojia imeongezeka nno.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mbona parachute huwa zipo tangu enzi za Concord na bado ajali zinatokea kama kawaida.

Pia, ujuzi kwa parachute zina kanuni, huwezi kuifyatua ukiwa juu sana, kuna kipimo/range ambayo unaweza kuifyatua na ikakusaidia tofauti na hapo utakufanya kitu hakuna.

Kama kuna usafiri wenye usalama wa hali ya juu basi ni ndege, tatizo ni kuwa inapita angani ambako lolote likitokea itashuka chini, tofauti na magari ardhini ambako hata tairi linaweza chomoka na watu wakapona.
Nashauri kuwe na maparachuti katika kila siti ya abiria..
Kuna mfjmo nimewahi kuuona kwenye ajali nyingi za ndege kijeshi..huwa ikipata hitilafu au imeshika moto yule rubani sijui anafanyaje au nahisi Kuna button anaminya kisha anafyatuka juu na parachute linafunguka mgongoni mwake huku ndege ikielekea chini.
Kwanini hizi ndege za abiria zisiwe na huu mfumo?
Na huu mfumo uwe na access kwa mtu mmoja maalum..akishahisi ndege inaa hitilafu na kuelekea kuanguka sehemu ya juu inafunguka automatically na abiria wote wanarushwa juu ikiwemo marubani na air hostess.kisha parachute zinafunguka zenyewe automatically wanatua chini.hii kufanyika kwenye zile golden seconds za ndege kuanguka inawezekana..

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kweli kuwa ndege zote kubwa za abiria hazina parachutes zile zinaonekana kwenye seat za abiria ni life jackets just in case ndege imetua kwenye maji kwa emergency.

Zaidi ni kwamba the whole-plane parachutes are arguably more suitable in a crisis because they can be deployed quickly.

Labda uzame na Parachute yako kama cargo maana unaruhusiwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Swal langu.. Hao wanaoruka na parashuti wataruka wakitokea juu au wakitokea chini??

Ndege inabeba had watu 250 je.. Kama mlango ni mmoja au hata miwil unadhan kutakuwa na usalama hapo?? Kumbuka mlango haufunguliwi ovyo.

Hayo maparashuti mnaowapa wanajua kuyatumia?? Unaweza kuruka nalo alaf hujui Pa kulifungua.. Ndio mwanzo wa kufa kibudu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kweli kuwa ndege zote kubwa za abiria hazina parachutes zile zinaonekana kwenye seat za abiria ni life jackets just in case ndege imetua kwenye maji kwa emergency.

Zaidi ni kwamba the whole-plane parachutes are arguably more suitable in a crisis because they can be deployed quickly.

Labda uzame na Parachute yako kama cargo maana unaruhusiwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nan akuruhusu uruke peke yako... Heheh mtagombania hilo parashuti mpk mfe wote..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom