Ushauri wangu kwa watengenezaji wa ndege za abiria

Umeelezea vizuri mkuu..asante sana
Sasa kama wataziboresha na gharama kupandisha ili waende na faida kutakuwa na tatizo kwa wanunuzi?
Wako zuri ila na wao watengenezaji watakuwa wanalijua muda mrefu.nafikiri mojawapo ya sababu ni kujaribu kupunguza Garama za utengenezaji. Kandege kadogo kama F35 yenye mifumo sophisticated na complex ikiwemo wa kuokoa ajali ikitokea ni kama $95 mil. Na Boeing 737 max 8 garama yake ni $121 mil. Ukiangalia bei hazijapishana sana ukilinganisha na uwiano wa size( ndiyo maana kuna wakati ule msemo wa size doesn’t matter unatumika).Lakini boeing 737 max 8 ni kubwa kuliko f35 tofauti ni kuwa f35 ina mifumo mingi na imara zaidi kuliko Boeing 737 max 8 . Kinachoongeza garama ya ndege ni mifumo, na watengenezaji wanajaribu kupunguza garama ili wafanye biashara ya faida. Order ya Boeing 737 max 8 inazidi ndege 5000. Ndege ya Air Force one ndiyo ndege iliyo na mifumo mingi kuliko ndege zote duniani na ni salama kuliko ndege zote duniani. Na mfumo wake wa usalama ni mkubwa sana . Garama yake ni $2bil. . Hata tukija kwenye Magari landcruiser gx v8 ina mifumo mingi ya usalama na imara kuliko vitz au corolla. Bei ya gx ni 200mil Tshs wakati vitz ni chini ya milioni 10 Tshs.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mengine yote umeongea vizuri, ila gharama ya vitz sio chini ya 10mil, brand new vitz ya 2018 ni kuanzia $15,000-19,000
 
Nashauri kuwe na maparachuti katika kila siti ya abiria..
Kuna mfjmo nimewahi kuuona kwenye ajali nyingi za ndege kijeshi..huwa ikipata hitilafu au imeshika moto yule rubani sijui anafanyaje au nahisi Kuna button anaminya kisha anafyatuka juu na parachute linafunguka mgongoni mwake huku ndege ikielekea chini.
Kwanini hizi ndege za abiria zisiwe na huu mfumo?
Na huu mfumo uwe na access kwa mtu mmoja maalum..akishahisi ndege inaa hitilafu na kuelekea kuanguka sehemu ya juu inafunguka automatically na abiria wote wanarushwa juu ikiwemo marubani na air hostess.kisha parachute zinafunguka zenyewe automatically wanatua chini.hii kufanyika kwenye zile golden seconds za ndege kuanguka inawezekana..

Sent using Jamii Forums mobile app
Usijali, hili ni swala dogo saana kwa Tanzania yetu ya viwanda..
Tutafanyia kazi soon baada ya bombardier zetu kuanguka[emoji28]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeelezea vizuri mkuu..asante sana
Sasa kama wataziboresha na gharama kupandisha ili waende na faida kutakuwa na tatizo kwa wanunuzi?

Sent using Jamii Forums mobile app
Zitanunuliwa chache hivyo biashara haitakuwa nzuri order zitakuwa sio nyingi.Fikiria ndege iuzwe $2 bil. Na bado kuna maintenance na repair inayogarimu zaidi ya $300 mil au zaidi katika kipindi kifupi ,ni nchi chache zitamudu biashara ya ndege. Watengenezaji watakosa wateja
 
False alert tu maraia watakuwa wanajirusha!! Hilo watengenezaji washaliona kitambo

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaa MTU na presha yake umambie aruke kama hivi..Hugo ni wa kurushwa
Screenshot_2019-03-12-22-07-37.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimekuelewa mkuu
Zitanunuliwa chache hivyo biashara haitakuwa nzuri order zitakuwa sio nyingi.Fikiria ndege iuzwe $2 bil. Na bado kuna maintenance na repair inayogarimu zaidi ya $300 mil au zaidi katika kipindi kifupi ,ni nchi chache zitamudu biashara ya ndege. Watengenezaji watakosa wateja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Stick kwenye mada achana na avatar yangu
Nlikua kwenye foleni ya kwenda chooni

Sent using Jamii Forums mobile app
Lazima kuwe na story ndani ya story bwana! Unataka tuwe serious sana unadhani tutaweza kweli kutengeneza zetu na kuweka abort system in case of emergency?[emoji39] Nilitaka kutoa compliment ila umeniwuwa..
 
Back
Top Bottom