Ushauri wangu kwa watengenezaji wa ndege za abiria

Ushauri wangu kwa watengenezaji wa ndege za abiria

Huu uzi haunihusu kwasababu mimi na Ndege ni kaskazini na kusini...[emoji30][emoji30]
 
1. Parachute zipo kwenye kila seat...
2. Ni jukumu la Air Hostess kabla ya kuondoka kuonyesha milango exit doors na jinsi ya kuvaa parachute.
3. Kwenye zile ndege zenye videos pia kunakuwa kuna clip ya mafundisho iwapo janga likitokea.
4. Pia kumuacha mtu ajichukulie tu parachute bila kuambiwa au kuwa alerted kunaweza kukaleta mtafaruku wa watu kupanic wakati hakuna tatizo ikaleteleza kuleta tatizo
 
acha tuu ndg yangu yani ni majonzi itabidi wazike majivu kwenye makaburi au kaburi moja ibakia kama kumbukumbu. Unajua sijaangalia hata hyo ndg sehemu iloanguka hapakua na watu?
Ni kama jangwa
Screenshot_2019-03-11-14-30-39.jpeg
Screenshot_2019-03-11-14-33-38.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Labd ndege zenyewe ziwe na parachute maalum zitakazoweza kuihimil ndege inapofeli
Kuna model wataalam ndio wanafanyia utafiti kwamba kasheshe linapoanza pilot akisha declare may day may day basi upande wa abiria unachomoka na parachuti linafunguka ule upande wenye engines ubakie kuanguka na kulipuka
 
Usafiri Wa Ndege nao ni shida sana, ni Mungu tu ndo anaweza kuzuia hizi ajali aisee, just imaging Engine zikafel tu mko Ft kazaa juu, Jana nilikuwa natokea Mji Wa kitalii (Arusha) kuja kwa Makonda na Precision Air, ndege haitulii kabisa, it's the matter of Trusting only kwamba tutafika salama but no guarantee

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu injini zikizima zote mnatua salama tu ma pilot wameishafundishwa kutua na injini zikiwa zimezimika hata yale mataili kama system ya automatic ikigoma kuna mfumo wa manual ya kuyafungua yakafunguka vitu vyote wataalam waliisha vifikiria ndio mana wanasema ndege ndio usafili salama zaidi
 
OK,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo mnaangalia sana Hollywood movies mpaka mnahisi kila jambo linalofanyika basi ni rahisi

Ndege ya abiria inapaa futi elfu 43 juu ya usawa wa bahari (43,000 ft) je unafikiri ni rahisi kushuka na parachuti? jibu ni hapana maana utakuwa umeshakufa kabla hata ya kuvuka futi 1,000 sababu ni pumzi hakuna

So wale masteringi wanaoruka waacheni tu maana stering afi

Kuna dogo mmoja baada ya kuangalia 24 series akawa anaishi kama Jack buere eti ukiwa unamtafuta anaingia sehemu anabadilisha shati na kuvaa kofia ili akupotee usimjue hahaa

Ndege za kijeshi zimetengenezwa kijeshi na wanaoperate wana mafunzo maarumu ingawa kama sijakosea ni binadamu 2 kama sio mmoja tu waliofanikiwa kuruka na parachute ft elfu 20 tena ni wataalamu wa kijeshi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1. Parachute zipo kwenye kila seat...
2. Ni jukumu la Air Hostess kabla ya kuondoka kuonyesha milango exit doors na jinsi ya kuvaa parachute.
3. Kwenye zile ndege zenye videos pia kunakuwa kuna clip ya mafundisho iwapo janga likitokea.
4. Pia kumuacha mtu ajichukulie tu parachute bila kuambiwa au kuwa alerted kunaweza kukaleta mtafaruku wa watu kupanic wakati hakuna tatizo ikaleteleza kuleta tatizo
Hakuna parachute kwenye ndege za abiria. zile chini ya viti ni life vests ambazo zinavaliwa iwapo ndege itatua kwenye maji kwa dharula. Ni kama vile wanavyovaa watoto au watu wasiojua kuogelea ili waelee wakiwa kwenye maji.

Na hizo exit hazifungunguliwi ndege ikiwa angani.
 
Nashauri kuwe na maparachuti katika kila siti ya abiria..
Kuna mfjmo nimewahi kuuona kwenye ajali nyingi za ndege kijeshi..huwa ikipata hitilafu au imeshika moto yule rubani sijui anafanyaje au nahisi Kuna button anaminya kisha anafyatuka juu na parachute linafunguka mgongoni mwake huku ndege ikielekea chini.
Kwanini hizi ndege za abiria zisiwe na huu mfumo?
Na huu mfumo uwe na access kwa mtu mmoja maalum..akishahisi ndege inaa hitilafu na kuelekea kuanguka sehemu ya juu inafunguka automatically na abiria wote wanarushwa juu ikiwemo marubani na air hostess.kisha parachute zinafunguka zenyewe automatically wanatua chini.hii kufanyika kwenye zile golden seconds za ndege kuanguka inawezekana..

Sent using Jamii Forums mobile app

ndege za abiria zinatembea kwenye ubaridi mpaka -60 niambie unashukaje,nadhani upatikanaji wa oxygen inaweza kuwa issue nyingine
 
Mkuu injini zikizima zote mnatua salama tu ma pilot wameishafundishwa kutua na injini zikiwa zimezimika hata yale mataili kama system ya automatic ikigoma kuna mfumo wa manual ya kuyafungua yakafunguka vitu vyote wataalam waliisha vifikiria ndio mana wanasema ndege ndio usafili salama zaidi
you are so funny, unless it is a joke. hakuna cha egine kuzima mkatoka salama, imagine speed ya ndege 600-1000km/h unatuaje ardhini salama? niambie effect ya mafuta kulipuka, mnafanyaje.
we soma maelezo ya watu
 
ingia you tube angalia video ya miracle of the hudson river utaona mkuu then utaona na case nyingi nyingi za ndege kuzima injini na kutua salama
 
you are so funny, unless it is a joke. hakuna cha egine kuzima mkatoka salama, imagine speed ya ndege 600-1000km/h unatuaje ardhini salama? niambie effect ya mafuta kulipuka, mnafanyaje.
we soma maelezo ya watu
Pia kuna case moja niliiona national geographic jamaa walizimikiwa injini wakafanikiwa kuona tambalale wakatua kumbe bahati nzuri ilikua airstrip ya watu wa NASA ikawa bahati yao
 
you are so funny, unless it is a joke. hakuna cha egine kuzima mkatoka salama, imagine speed ya ndege 600-1000km/h unatuaje ardhini salama? niambie effect ya mafuta kulipuka, mnafanyaje.
we soma maelezo ya watu
Pia kuna case nyingine ndege ilifunuka roof kama robo ya ndege iliwai kutua salama kukawa na case ya air hostes mmoja tu ndio alikua sucked out ukiingia you tube andika Aloha flight 243 utaona ilikua inaenda hawaii tena miaka ya 90 huko technologia ilikua sio kubwa kiivyo
 
Back
Top Bottom