Mkuu labda kama huwa unafuatilia na huelewi,kuna training kabisa ya namna ya kutua ndege kama huna engine power!Changamoto huwa ni kupata airport iliyo karibu ili landing speed isiwe ndogo sana!!!Hapo ndio huwa wanatafuta tambarare ya kuitua,shida ni terrains,forests au bahari/mito,maziwa!Kutua ndege isiyo na power kwenye maji ni hatari kuliko kuitua tambarare ta kawaida!Kwenye maji adjustment za flaps na plane norse angle lazima uzipatie accurately kutua salama tofauti na ardhini!!!!
Kama ndege haina power,Mapilot wanatakiwa kuitua ndege kabla haijastall(speed too low),na ndio maana huwa wanaamua kutafuta tambarare ya kuitua kama airport iko mbali na hakuna uwezekano wa kuifikia bila ndege kustall!
So ndege kupoteza power angani,changamoto kubwa ni eneo la kuitua!Na kama kuna tambarare na proper trained pilot,mtatua salama tu!