Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 30,584
- 55,711
Aggjyjay inaitwa ejection seat. Lakin kile kitu unaona pale si rahisi kihivyo.Nashauri kuwe na maparachuti katika kila siti ya abiria..
Kuna mfjmo nimewahi kuuona kwenye ajali nyingi za ndege kijeshi..huwa ikipata hitilafu au imeshika moto yule rubani sijui anafanyaje au nahisi Kuna button anaminya kisha anafyatuka juu na parachute linafunguka mgongoni mwake huku ndege ikielekea chini.
Kwanini hizi ndege za abiria zisiwe na huu mfumo?
Na huu mfumo uwe na access kwa mtu mmoja maalum..akishahisi ndege inaa hitilafu na kuelekea kuanguka sehemu ya juu inafunguka automatically na abiria wote wanarushwa juu ikiwemo marubani na air hostess.kisha parachute zinafunguka zenyewe automatically wanatua chini.hii kufanyika kwenye zile golden seconds za ndege kuanguka inawezekana..
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna amount of force ambayo hutokea pale rubani anapo eject.. ile kitu inaweza kukuvunja migu au kuumiza uti wa mgongo. Wanashauriwa waso attempt mara wa mara.
Si rahis kama unavyodahi.
Sent using Jamii Forums mobile app