Ushauri wangu kwa watengenezaji wa ndege za abiria

Ushauri wangu kwa watengenezaji wa ndege za abiria

Aisee kweli una akili fupi. Ngoja nikufahamishe kama mtoto wa darasa la kwanza. Ni hivi ndege iliishiwa mafuta. Wakafanya kama wanavyofundisha hao marubani wakafanikiwa kufanya emergency landing kwenye airport ya karibu. Baada ya kutua uchunguzi ukafanyika kwanini mafuta yaliisha wakati ndege inatakiwa ijazwe mafuta ya kufika inapotakiwa au airport ya jirani iwapo hawayaweza kutua ilipopangwa.
Wakishamaliza uchunguzi nini kilitokea ndio NatGeo wanachukua report wanatengeneza scenario ya kilichotokea na tunapata hizi video. Kwenye video wameambataisha na real event ndege ilipotua. Sasa wewe una akili ya kuingia JF ila huna akili ya kutambua kuwa hizo video ni narration ya kilichotokea.

Bottom line ni kuwa ndege ina uwezo wa kutua hata engine zote zikiwa zimezimika inategemea tu ni wapi engine hizo zimezima au ipo kwenye hatua gani.

Glinding mbona kitu cha kawaida sana ndege inatua vizuri ata kama haina mafuta zaidi rubani atatumia zaidi mabawa kubalance ndege hzi emergence landing huwa ni za kawaida yeye anashangaa kuisha mafuta kuna ndege ya shirika la ndege la zimbabwe ilichomoka tairi moja na ikatua nairobi salama kabisa

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Nashauri kuwe na maparachuti katika kila siti ya abiria..
Kuna mfjmo nimewahi kuuona kwenye ajali nyingi za ndege kijeshi..huwa ikipata hitilafu au imeshika moto yule rubani sijui anafanyaje au nahisi Kuna button anaminya kisha anafyatuka juu na parachute linafunguka mgongoni mwake huku ndege ikielekea chini.
Kwanini hizi ndege za abiria zisiwe na huu mfumo?
Na huu mfumo uwe na access kwa mtu mmoja maalum..akishahisi ndege inaa hitilafu na kuelekea kuanguka sehemu ya juu inafunguka automatically na abiria wote wanarushwa juu ikiwemo marubani na air hostess.kisha parachute zinafunguka zenyewe automatically wanatua chini.hii kufanyika kwenye zile golden seconds za ndege kuanguka inawezekana..

Sent using Jamii Forums mobile app
Unamaanisha ndege nzima iwe na panel juu zinazofunguka kwa ajili ya abiria wote? Kumbuka fighter jets ni kwa ajili ya watu wangapi mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nashauri kuwe na maparachuti katika kila siti ya abiria..
Kuna mfjmo nimewahi kuuona kwenye ajali nyingi za ndege kijeshi..huwa ikipata hitilafu au imeshika moto yule rubani sijui anafanyaje au nahisi Kuna button anaminya kisha anafyatuka juu na parachute linafunguka mgongoni mwake huku ndege ikielekea chini.
Kwanini hizi ndege za abiria zisiwe na huu mfumo?
Na huu mfumo uwe na access kwa mtu mmoja maalum..akishahisi ndege inaa hitilafu na kuelekea kuanguka sehemu ya juu inafunguka automatically na abiria wote wanarushwa juu ikiwemo marubani na air hostess.kisha parachute zinafunguka zenyewe automatically wanatua chini.hii kufanyika kwenye zile golden seconds za ndege kuanguka inawezekana..

Sent using Jamii Forums mobile app

mleta mada naomba nicheki pm haraka sana kwa ajili ya kupata picha yako majina na kila kitu kwa ajili ya kukutengenezea passport na viza ili kesho uwe kwenye ndege kwa ajili ya mkutano wa kimataifa wa usalama wa usafiri wa anga duniani kule canada au nipigie mda huu +1234567890 ahsanteni
jb

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Boya wewe..hahaha

Parachute huwa linavaliwa kama begi mgongoni..labda MTU akushike mkono uruke nae

Sent using Jamii Forums mobile app
Sio rahisi kiasi hicho Aggy, ndio maana hata wajeda wa anga wanafanya mazoezi sana ili kuweza kufanya skydiving. Lakini pia, at cruising speed, ndege inakuwa around 32,000ft to 45,000ft above sea level. Kwa height hiyo hata mkiruka na parachute zenu bado kufwa mtakufwa tu coz of lack of oxygen.

Kingine ni kuwa hitilafu nyingi zinatokea during take off and landing, mda huo everyone is fighting against time, just imagine 6mins after take off kitu kishapiga chini na mnaambulia majivu tu.

Naamini research nyingi zimefanyika, lakini bado hakuna means za kuokoa watu.
 
Nashauri kuwe na maparachuti katika kila siti ya abiria..
Kuna mfjmo nimewahi kuuona kwenye ajali nyingi za ndege kijeshi..huwa ikipata hitilafu au imeshika moto yule rubani sijui anafanyaje au nahisi Kuna button anaminya kisha anafyatuka juu na parachute linafunguka mgongoni mwake huku ndege ikielekea chini.
Kwanini hizi ndege za abiria zisiwe na huu mfumo?
Na huu mfumo uwe na access kwa mtu mmoja maalum..akishahisi ndege inaa hitilafu na kuelekea kuanguka sehemu ya juu inafunguka automatically na abiria wote wanarushwa juu ikiwemo marubani na air hostess.kisha parachute zinafunguka zenyewe automatically wanatua chini.hii kufanyika kwenye zile golden seconds za ndege kuanguka inawezekana..

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu yaelekea ndegehuzijui vizuri, ndege za jeshi huwahaziruki juu sana, ndo maanahuwa kuna parachut, ndege za abiriahuruka juu 40000ft kutoka aridhini eneo hilihuwana baridikalikufikia hadi -60c ambayo iwe iweje binadam akiwaexposed mishipa ya dam itaziba baada ya muda mfupi, eneo hili pia halina oxygen hivo utakufa kwa kukosa hewa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimesoma taarifa ya hili toleo mpya la boeing linahitaji ndege kupaa nyuzi 90 mpk 120 na engine yake iko mbele karibu na bawa...

Sent using Jamii Forums mobile app
Rockets/space shuttle ndio zina-take off at 90° mkuu, hakuna ndege ambayo kwa sasa inaweza kuanza safari at 90°. Thrust ya kunyanyua ndege kwa uelekeo huo ni kubwa mno, angalia hata nasa wakirusha rockets zao space, wanaweka rocket busters na external fuel tank ili kuchoma wese for only two minutes of launch.

Sio mchezo...
 
Me nadhani tuwe tunavaa fire proof tukiwa tunataka kupaa...nimeangalia clip ya air crash nimejikuta naogopa kupanda ndege...

Sent using Jamii Forums mobile app

Issue siyo moto peke yake mkuu. Kuna issue ya impact pia.

Pale una dude lenye tani zaidi ya 1000 likiwa kwenye speed say 600km/h fikiria kwenye impact na ardhi hata bila moto itakuwa je.

Ndiyo maana unaweza zungumzia manusura angalau inapoanguka majini.
 
Sio kitu kirahisi hicho.. Kinahitaji TRAINING, parashuti lina vikwazo katik stage 3

1- wakati wa kulifungua litoke nje

2-controlling unawez kutua baharini au katika miti au kujibamiza katika majengo

3-kushuka... ukikosea tu.. Unavunja MIGUU au kufa kabisa
Parachute huwa linavaliwa kama begi mgongoni..labda MTU akushike mkono uruke nae

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nashauri kuwe na maparachuti katika kila siti ya abiria..
Kuna mfjmo nimewahi kuuona kwenye ajali nyingi za ndege kijeshi..huwa ikipata hitilafu au imeshika moto yule rubani sijui anafanyaje au nahisi Kuna button anaminya kisha anafyatuka juu na parachute linafunguka mgongoni mwake huku ndege ikielekea chini.
Kwanini hizi ndege za abiria zisiwe na huu mfumo?
Na huu mfumo uwe na access kwa mtu mmoja maalum..akishahisi ndege inaa hitilafu na kuelekea kuanguka sehemu ya juu inafunguka automatically na abiria wote wanarushwa juu ikiwemo marubani na air hostess.kisha parachute zinafunguka zenyewe automatically wanatua chini.hii kufanyika kwenye zile golden seconds za ndege kuanguka inawezekana..

Sent using Jamii Forums mobile app
Usifikiri hawajawaza, wazo lako sio genuine kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wako zuri ila na wao watengenezaji watakuwa wanalijua muda mrefu.nafikiri mojawapo ya sababu ni kujaribu kupunguza Garama za utengenezaji. Kandege kadogo kama F35 yenye mifumo sophisticated na complex ikiwemo wa kuokoa ajali ikitokea ni kama $95 mil. Na Boeing 737 max 8 garama yake ni $121 mil. Ukiangalia bei hazijapishana sana ukilinganisha na uwiano wa size( ndiyo maana kuna wakati ule msemo wa size doesn’t matter unatumika).Lakini boeing 737 max 8 ni kubwa kuliko f35 tofauti ni kuwa f35 ina mifumo mingi na imara zaidi kuliko Boeing 737 max 8 . Kinachoongeza garama ya ndege ni mifumo, na watengenezaji wanajaribu kupunguza garama ili wafanye biashara ya faida. Order ya Boeing 737 max 8 inazidi ndege 5000. Ndege ya Air Force one ndiyo ndege iliyo na mifumo mingi kuliko ndege zote duniani na ni salama kuliko ndege zote duniani. Na mfumo wake wa usalama ni mkubwa sana . Garama yake ni $2bil. . Hata tukija kwenye Magari landcruiser gx v8 ina mifumo mingi ya usalama na imara kuliko vitz au corolla. Bei ya gx ni 200mil Tshs wakati vitz ni chini ya milioni 10 Tshs.
 
Back
Top Bottom