Ushauri wangu kwa watengenezaji wa ndege za abiria

Desire Dizaya

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2015
Posts
6,476
Reaction score
11,673
Nashauri kuwe na maparachuti katika kila siti ya abiria..
Kuna mfjmo nimewahi kuuona kwenye ajali nyingi za ndege kijeshi..huwa ikipata hitilafu au imeshika moto yule rubani sijui anafanyaje au nahisi Kuna button anaminya kisha anafyatuka juu na parachute linafunguka mgongoni mwake huku ndege ikielekea chini.
Kwanini hizi ndege za abiria zisiwe na huu mfumo?
Na huu mfumo uwe na access kwa mtu mmoja maalum..akishahisi ndege inaa hitilafu na kuelekea kuanguka sehemu ya juu inafunguka automatically na abiria wote wanarushwa juu ikiwemo marubani na air hostess.kisha parachute zinafunguka zenyewe automatically wanatua chini.hii kufanyika kwenye zile golden seconds za ndege kuanguka inawezekana..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndege mbili za aina hiyo hiyo zimepata ajali mara tu baada ya kuruka katika kipindi cha chini ya miezi sita. Sasa ni wazi waundaji wa ndege hizo ambazo ni toleo jipya kabisa hawana budi kurejea kwenye "drawing board" ili kurekebisha muundo wao na hasa kule kupaa nyuzi 90 moja kwa moja kuelekea juu angani.
 
Hazihitaji uzoefu..sababu Kuna tutaopanda ndege Mara ya kwanza.iwe jukumu LA wasaidizi ndani ya ndege kuhakikisha yamevaliwa.pia kuvaliwa kwake iwe sambamba na seat.na pia kutoa elimu
Kwakweli asilimia ya kupona ndege ikifeli kule juu ni ndogo mno..wanaweza wakabuni mbinu kuongeza hizo asilimia
wazo zuri, lakini parachute zinahitaji uzoefu pia. ila wazo zuri

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lakini zile Ndege za kijeshi si hua zinafunguka juu ndo maana anauwezo wa kutoka kwa urahisi tofauti na hizi za kawaida hadi Mlango ufunguliwe

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli zinafunguka.ndo maana nkapendekeza uundwe muundo mpya utaoziwezesha hizi za abiria nazo kufunguka kwa juu wakati wa dharura kupunguza uwezekano wa maafa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndege mbili za aina hiyo hiyo zimepata ajali mara tu baada ya kuruka katika kipindi cha chini ya miezi sita. Sasa ni wazi waundaji wa ndege hizo ambazo ni toleo jipya kabisa hawana budi kurejea kwenye "drawing board" ili kurekebisha muundo wao na hasa kule kupaa nyuzi 90 moja kwa moja kuelekea juu angani.
Ni ya nchi gani nyingine?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nashauri kuwe na maparachuti katika kila siti ya abiria..
Kuna mfjmo nimewahi kuuona kwenye ajali nyingi za ndege kijeshi..huwa ikipata hitilafu au imeshika moto yule rubani sijui anafanyaje au nahisi Kuna button anaminya kisha anafyatuka juu na parachute linafunguka mgongoni mwake huku ndege ikielekea chini.
Kwanini hizi ndege za abiria zisiwe na huu mfumo?
Na huu mfumo uwe na access kwa mtu mmoja maalum..akishahisi ndege inaa hitilafu na kuelekea kuanguka sehemu ya juu inafunguka automatically na abiria wote wanarushwa juu ikiwemo marubani na air hostess.kisha parachute zinafunguka zenyewe automatically wanatua chini.hii kufanyika kwenye zile golden seconds za ndege kuanguka inawezekana..

Sent using Jamii Forums mobile app
Parachutes huwa zipo katika kila seat ya abiria ila sema kuna ajali nyingine zinatokea ghafla muno kiasi kwamba huwezi hata kupata muda wa kujiandaa. Parachutes zinaweza kusaidia tu pale ambapo Rubani amebaini hitilafu kwenye ndege, halafu akapata muda wa kuwanaandaa abiria kwa kuwatangazia na wao pia wakapata muda wa kuvaa parachute hizo, tofauti na pale ambapo ajali inakuwa ni ya ghafla especially wakati wa kutua au wa kupaa.
 
Nashauri kuwe na maparachuti katika kila siti ya abiria..
Kuna mfjmo nimewahi kuuona kwenye ajali nyingi za ndege kijeshi..huwa ikipata hitilafu au imeshika moto yule rubani sijui anafanyaje au nahisi Kuna button anaminya kisha anafyatuka juu na parachute linafunguka mgongoni mwake huku ndege ikielekea chini.
Kwanini hizi ndege za abiria zisiwe na huu mfumo?
Na huu mfumo uwe na access kwa mtu mmoja maalum..akishahisi ndege inaa hitilafu na kuelekea kuanguka sehemu ya juu inafunguka automatically na abiria wote wanarushwa juu ikiwemo marubani na air hostess.kisha parachute zinafunguka zenyewe automatically wanatua chini.hii kufanyika kwenye zile golden seconds za ndege kuanguka inawezekana..

Sent using Jamii Forums mobile app
Idea nzuri,
Ndege inaanguka inalipuka watu wanachomoka na parachuti cha ajabu parachuti nayo inarudi kutua palepale kwenye mlipuko wa moto[emoji16][emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom