Ng'wanapagi
JF-Expert Member
- Sep 18, 2013
- 9,116
- 8,662
Lion Airliner ilikula 190 kwenye majiIndonesia kama sikosei,ilitokea October last year.
Kumbe unajua kabisa ni simulation kwenye video harafu unabisha nn, hizo manual landing ni simulation pia hamna cha reality,Achana na titanic i know everything about titanic movie ile bahari ilikua ni blue smoke tu na wale watu ni simulation mi sio mtoto hebu angalia JF nimejiunga lini
Ukivunjika mkono mbona ushukru hapo tunaongelea kupasuka kichwa na mgongoLakini angalau itapunguza idadi ya vifo..chagua moja uanguke na ndege ilipuke ubaki majivu au uvunjike mkono kwa kushinda kutua sawasawa na parachute?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa mkuu titanic ni movie achana nayo manake movies zote ni acting mi naongelea uhalisia landing gear inaweza kuwa released manualyKumbe unajua kabisa ni simulation kwenye video harafu unabisha nn, hizo manual landing ni simulation pia hamna cha reality,
ghost rider
Nashauri kuwe na maparachuti katika kila siti ya abiria..
Kuna mfjmo nimewahi kuuona kwenye ajali nyingi za ndege kijeshi..huwa ikipata hitilafu au imeshika moto yule rubani sijui anafanyaje au nahisi Kuna button anaminya kisha anafyatuka juu na parachute linafunguka mgongoni mwake huku ndege ikielekea chini.
Kwanini hizi ndege za abiria zisiwe na huu mfumo?
Na huu mfumo uwe na access kwa mtu mmoja maalum..akishahisi ndege inaa hitilafu na kuelekea kuanguka sehemu ya juu inafunguka automatically na abiria wote wanarushwa juu ikiwemo marubani na air hostess.kisha parachute zinafunguka zenyewe automatically wanatua chini.hii kufanyika kwenye zile golden seconds za ndege kuanguka inawezekana..
Sent using Jamii Forums mobile app
Mjuuzi wa manual landing, labda una record ya manual ilio wahi kutokea popote duniani kama umeamini video za YouTube inamanisha alie shika camera ya kuekit ndo ilianzia kwao ata kabla ya kukufikia ww.Sasa mkuu titanic ni movie achana nayo manake movies zote ni acting mi naongelea uhalisia landing gear inaweza kuwa released manualy
ingia you tube andika miracle on the new orleans levee mkuu then uludi hapa ilikua TACA AIRLINES FLIGHT 110Mjuuzi wa manual landing, labda una record ya manual ilio wahi kutokea popote duniani kama umeamini video za YouTube inamanisha alie shika camera ya kuekit ndo ilianzia kwao ata kabla ya kukufikia ww.
ghost rider
Mkuu wataogopa gharama,uzito utaongezeka faida itapungua,pia kuna gharama za matengenezo zitaongezeka.Risk ya kuanguka ukilinganisha na gharama.risk ni ndogo,hivo abiria wengi watakubali ku risk ili walipe bei ndogo,pia training inahitajika kwa abiria.Ki technologia nadhani inawezekana ila kiuchumi inaweza isilipe.Nashauri kuwe na maparachuti katika kila siti ya abiria..
Kuna mfjmo nimewahi kuuona kwenye ajali nyingi za ndege kijeshi..huwa ikipata hitilafu au imeshika moto yule rubani sijui anafanyaje au nahisi Kuna button anaminya kisha anafyatuka juu na parachute linafunguka mgongoni mwake huku ndege ikielekea chini.
Kwanini hizi ndege za abiria zisiwe na huu mfumo?
Na huu mfumo uwe na access kwa mtu mmoja maalum..akishahisi ndege inaa hitilafu na kuelekea kuanguka sehemu ya juu inafunguka automatically na abiria wote wanarushwa juu ikiwemo marubani na air hostess.kisha parachute zinafunguka zenyewe automatically wanatua chini.hii kufanyika kwenye zile golden seconds za ndege kuanguka inawezekana..
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani jamaa Inabidi washtakiwe na wawalipe mabilons ya pesa wafiwa pamoja na mashirika yaliyo nunua hizo ndege kwao " Na hatimae zikapata ajali ndani ya muda mfupi kiasi hichoNdege mbili za aina hiyo hiyo zimepata ajali mara tu baada ya kuruka katika kipindi cha chini ya miezi sita. Sasa ni wazi waundaji wa ndege hizo ambazo ni toleo jipya kabisa hawana budi kurejea kwenye "drawing board" ili kurekebisha muundo wao na hasa kule kupaa nyuzi 90 moja kwa moja kuelekea juu angani.
Aya mjuzi wa manual landing, ila alie shika camera yeye atakuwa sasa mungu kipindi wanaekiti maana haiwezekani watu wanalia ww unachukua video ni muujiza wa 9 kutoka dunia ianze.ingia you tube andika miracle on the new orleans levee mkuu then uludi hapa
Tatizo lako hujui chochote kuhusu aviation na hizo video hutaki kuangalia kwenye ndege kuna black box inarekodi matukio yote wakati ndege ikiwa safarini na sio makamera unayoyawaza na hiyo blackbox huwa haiungui moto hata hii ajali ya juzi wataalam wameichukua watatuleta majibu soon nini chanzo cha ajali so kwa sasa endelea kuwadanganya hapo kwenye kijiwe chako cha kahawaAya mjuzi wa manual landing, ila alie shika camera yeye atakuwa sasa mungu kipindi wanaekiti maana haiwezekani watu wanalia ww unachukua video ni muujiza wa 9 kutoka dunia ianze.
ghost rider
Manual landing ndio nini? Hizo youtube au natgeo video zinatengenezwa kulingana na kilichotokea. Baada ya kuchunguza chanzo cha ajali ndio wanatengeneza video jinsi ajali ilivyotokea. Haina maana kwamba video imechukuliwa wakati ndege inaanguka. Btw zipo ndege video zimechukuliwa live inaanguka mfano ndege ya mizigo ya USA ilianguka Afghanstan, Ethiopian airline iliotekwa ikaangukia baharini video ipo watu waliokuwa beach walirekodi, kuna moja Hong Kong au Japan ilikosakosa daraja ikatumbukia mtoni ilirekodiwa live ikitokea.Aya mjuzi wa manual landing, ila alie shika camera yeye atakuwa sasa mungu kipindi wanaekiti maana haiwezekani watu wanalia ww unachukua video ni muujiza wa 9 kutoka dunia ianze.
ghost rider
Aya aviator men, inarecod audio au video hiyo red box( black box). Kama ni video ajali zote za ndege ungeona video, na ata hiyo utambiwa waliskia sauti zikiomba msaada, ata ya Malaysia walisema ivo ivo ilitekwa uliona video ya kutekwa ?.Tatizo lako hujui chochote kuhusu aviation na hizo video hutaki kuangalia kwenye ndege kuna black box inarekodi matukio yote wakati ndege ikiwa safarini na sio makamera unayoyawaza na hiyo blackbox huwa haiungui moto hata hii ajali ya juzi wataalam wameichukua watatuleta majibu soon nini chanzo cha ajali so kwa sasa endelea kuwadanganya hapo kwenye kijiwe chako cha kahawa
Landing yake yakupasa kuwa na skills...la sivyo utatua kama mzigo
Sent using Jamii Forums mobile app