barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,323
- 29,586
Scania gemilang...sijui ndo mpya ila ndani inaonekana sio ya kitambo...namba dn...Hii ya juzi zile mpya??
Scania gemilang...sijui ndo mpya ila ndani inaonekana sio ya kitambo...namba dn...Hii ya juzi zile mpya??
NgorikaAcha ujinga wewe, ungepanda Ngorika miaka hiyo Arusha dar unatoboa saa nane na nusu, si ungekufa wewe, ukiona hayakuafai omba lift kwenye malori
Ya 95 gemilang ilo mpya ni dwScania gemilang...sijui ndo mpya ila ndani inaonekana sio ya kitambo...namba dn...
Yawezekqna nimekosea namba ndani ji mpya sanaYa 95 gemilang ilo mpya ni dw
Haipo Tanzania Labda CambodiaSUMATRA ndio nini
Nenda insta ingia page ya scania tanzania utaona vyuma vyake vipya....Kumbe anapeleka gari 3
Ilikuwa kawaida sana wale jamaaNgorika
Dar moshi linafika saa sita halafu anabeba tena abiria wa moshi dar anaingia saa moja mamaeeee..........moshi ilikua kama unaenda moro tu
Yani bongo tumejaa unafiki sanaMaelekezo kutoka juu
Sidhani kama deer na new force walipata jina kubwa ivi kama sauliHawa sauli wamekuja juzi tu so wamewakuta ma giant kina golden deer na new force dar tunduma, dar swanga ni moto wa kuotea mbali ndo mana na wao wanatafuta ushindani ila route ya dar mbeya sauli amewin ila dar tunduma sidhan kama atawini mana kuna chombo huko matata golden + new force zinatoka 3 hadi 4 kwa siku roote ya tunduma huku sauli akipeleka basi 1
Ana benz na scaniaSAULI LUXURY BUS
Ni Scania Na Volvo
Chuma Za Moto Zile
MacedoniaIlikuwa kawaida sana wale jamaa
''Whatever is excellence'' ndio walisomeka kwa nyuma
Majinja Yupo Kigoma,Mpanda,Mbeya,BukobaAna benz na scania
Volvo nenda majinjah huko
Ngorika
Dar moshi linafika saa sita halafu anabeba tena abiria wa moshi dar anaingia saa moja mamaeeee..........moshi ilikua kama unaenda moro tu
Nadhani watu wanapima ule mda jamaa anaoawahi kufika dar/mbeya ndio maana wanasema ana speed, kuna factors nyingi zinazofanya gari ichelewe iendako ko wao wakaona wapunguze baadhi ya vitu njiani, simple tu wamewin icho kitu.Hata mimi nishawahi panda sikuona speed yoyote inayosemwa zaidi ya kujali muda, chakula walipita na karatasi unaweka order halafu wakifika ni kubeba tu na kugawa kwa abiria nishapanda mabasi kama ally’s star sidhani kama Sauli wana speed kuliko hawa jamaa wanavyokamua
Hiv speed ya 50 mtu c unalala Kwa barabara haki kwakweli hao latra wenyewe wanapita speed zaid ya miaZama zile so Zama hizi.darmor foleni inaanzia dar mpaka mnafika moro hamtoboi mnaonana tu.
Tatizo LATRA wanaona 50 ndio kizuizi cha ajali badala ya kuomba njia zipanuliwe magari yatembee na madereva wasipanic.
Hata mbeya sauli alianza anapeleka basi moja kwa siku saiz ameamishia nguvu tunduma cku ya tatu leo inaongoza kufungua geti tunduma soon utawala unabadilika..Hawa sauli wamekuja juzi tu so wamewakuta ma giant kina golden deer na new force dar tunduma, dar swanga ni moto wa kuotea mbali ndo mana na wao wanatafuta ushindani ila route ya dar mbeya sauli amewin ila dar tunduma sidhan kama atawini mana kuna chombo huko matata golden + new force zinatoka 3 hadi 4 kwa siku roote ya tunduma huku sauli akipeleka basi 1
Ni scania 95 na benz neobusSAULI LUXURY BUS
Ni Scania Na Volvo
Chuma Za Moto Zile