Ushauri wangu kwa SUMATRA kuhusu magari ya Sauli

Kumbe anapeleka gari 3
Nenda insta ingia page ya scania tanzania utaona vyuma vyake vipya....
Jamaa anakabidhiwa funguo la basi zake mbili kavaa lasketi na sandrozi chini hahahaha kumbuka 1+ bilion imemtoka..
 
Ngorika
Dar moshi linafika saa sita halafu anabeba tena abiria wa moshi dar anaingia saa moja mamaeeee..........moshi ilikua kama unaenda moro tu
Ilikuwa kawaida sana wale jamaa
''Whatever is excellence'' ndio walisomeka kwa nyuma
 
Hawa sauli wamekuja juzi tu so wamewakuta ma giant kina golden deer na new force dar tunduma, dar swanga ni moto wa kuotea mbali ndo mana na wao wanatafuta ushindani ila route ya dar mbeya sauli amewin ila dar tunduma sidhan kama atawini mana kuna chombo huko matata golden + new force zinatoka 3 hadi 4 kwa siku roote ya tunduma huku sauli akipeleka basi 1
Sidhani kama deer na new force walipata jina kubwa ivi kama sauli

Iache iende
 
Hata mimi nishawahi panda sikuona speed yoyote inayosemwa zaidi ya kujali muda, chakula walipita na karatasi unaweka order halafu wakifika ni kubeba tu na kugawa kwa abiria nishapanda mabasi kama ally’s star sidhani kama Sauli wana speed kuliko hawa jamaa wanavyokamua
Nadhani watu wanapima ule mda jamaa anaoawahi kufika dar/mbeya ndio maana wanasema ana speed, kuna factors nyingi zinazofanya gari ichelewe iendako ko wao wakaona wapunguze baadhi ya vitu njiani, simple tu wamewin icho kitu.
 
Zama zile so Zama hizi.darmor foleni inaanzia dar mpaka mnafika moro hamtoboi mnaonana tu.
Tatizo LATRA wanaona 50 ndio kizuizi cha ajali badala ya kuomba njia zipanuliwe magari yatembee na madereva wasipanic.
Hiv speed ya 50 mtu c unalala Kwa barabara haki kwakweli hao latra wenyewe wanapita speed zaid ya mia
 
Hawa sauli wamekuja juzi tu so wamewakuta ma giant kina golden deer na new force dar tunduma, dar swanga ni moto wa kuotea mbali ndo mana na wao wanatafuta ushindani ila route ya dar mbeya sauli amewin ila dar tunduma sidhan kama atawini mana kuna chombo huko matata golden + new force zinatoka 3 hadi 4 kwa siku roote ya tunduma huku sauli akipeleka basi 1
Hata mbeya sauli alianza anapeleka basi moja kwa siku saiz ameamishia nguvu tunduma cku ya tatu leo inaongoza kufungua geti tunduma soon utawala unabadilika..
 
Back
Top Bottom