Wananchi mnafika mbali sasa!NAKAZIA Mbunge ambaye hataki chanjo, anyimwe mshahara na posho na bungeni asiruhusiwe kuingia.
Everyday is Saturday...............................
Hata na vimadaHivi wakati wa kujamiiana wewe na mumeo huwa mnavaa Kondomu wote?
Mjadala uishie hapa tafwadhari.Hivi wakati wa kujamiiana wewe na mumeo huwa mnavaa Kondomu wote?
Hii yenyewe ni hisani ya MarekaniHio nguvu ya kuchanja watu wote karibu milioni 30 hao serikali wanayo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nashauri wavae wote😃😃Hivi wakati wa kujamiiana wewe na mumeo huwa mnavaa Kondomu wote?
watakuuaNAKAZIA Mbunge ambaye hataki chanjo, anyimwe mshahara na posho na bungeni asiruhusiwe kuingia.
Everyday is Saturday...............................
Chanzo ni magonjwa yenu hayo yaliyokosa dawa,kinga kwishney,saiv mnatapatapa tuuTuko tunapambana kuona ni jinsi gani janga la Corona linaisha kabisa tuendelee na mambo mengine, tumechoka kuzika viongozi kila mwezi,
haya mambi ya kubembeleza watu ambao wameshaungua akili yamepitwa na wakati,
haiwezekani wengine wachanjwe wengine wakatae waendelee kusambaza maambukizi huu si uungwana,
Naomba serikali iweke mda kabisa kufika mwezi January mwakani ambae hajapata chanjo hakuna kutoka ndani wala kwenda ofisi yyte ya Umma,
mtumishi wa Uma anayetoa huduma kama hataki chanjo Aache kazi,
huu ujinga tukiuvumilia utatucost,
chanjo ya muda mfupi, mbona ebora wakongo walipata chanjo mmesikia wamekufa?
Mi nawewe tumshangae huyu mpuuzi mtoa mada!Kama wanaochanjwa wataendelea kuambukizwa na wasiochanjwa, hiyo chanjo inafaida gani sasa??
Ufaransa imeanza....Tuko tunapambana kuona ni jinsi gani janga la Corona linaisha kabisa tuendelee na mambo mengine, tumechoka kuzika viongozi kila mwezi,
haya mambi ya kubembeleza watu ambao wameshaungua akili yamepitwa na wakati,
haiwezekani wengine wachanjwe wengine wakatae waendelee kusambaza maambukizi huu si uungwana,
Naomba serikali iweke mda kabisa kufika mwezi January mwakani ambae hajapata chanjo hakuna kutoka ndani wala kwenda ofisi yyte ya Umma,
mtumishi wa Uma anayetoa huduma kama hataki chanjo Aache kazi,
huu ujinga tukiuvumilia utatucost,
chanjo ya muda mfupi, mbona ebora wakongo walipata chanjo mmesikia wamekufa?
Limepita hiloNAKAZIA Mbunge ambaye hataki chanjo, anyimwe mshahara na posho na bungeni asiruhusiwe kuingia.
Everyday is Saturday...............................
Usilete mihemko yako ya kipuuzi af watu ambao mnatumiaga dozi mda mrefu mna makasiriko ya ajabu sana!Tuko tunapambana kuona ni jinsi gani janga la Corona linaisha kabisa tuendelee na mambo mengine, tumechoka kuzika viongozi kila mwezi,