#COVID19 Ushauri wangu kwa Serikali, Naomba Chanjo iwe lazima hatutaki kuangamizwa na wapuuzi wachache

KingCobra95

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
1,674
2,000
Ukiona hivyo wameshaingia hofu ya kutangulia kutokana na side effects za chanjo za majaribio, watulie tu wasikilizie maana ukishadungwa ndo imeenda hiyo...
Kuna samaki fulani ni crabs nadhani hua wakiwekwa kwenye ndoo wengi,wakiona mwenzao anaenda kujiokoa kwA kutoka nje ,waliobaki wanamvuta chini Ili wafe wote ndani ya ndoo
 
nygax

JF-Expert Member
Jun 4, 2017
1,371
2,000
Mkuu ngoja tusikilizie kwanza kwa hao waliochanjwa. Kama wakiendelea kudunda kama kawaida nadhani mwitikio utakuwa mkubwa.
 
MkamaP

JF-Expert Member
Jan 27, 2007
8,069
2,000
Tuko tunapambana kuona ni jinsi gani janga la Corona linaisha kabisa tuendelee na mambo mengine, tumechoka kuzika viongozi kila mwezi.

Haya mambi ya kubembeleza watu ambao wameshaungua akili yamepitwa na wakati.

Haiwezekani wengine wachanjwe wengine wakatae waendelee kusambaza maambukizi huu si uungwana.

Naomba Serikali iweke mda kabisa kufika mwezi January mwakani ambae hajapata chanjo hakuna kutoka ndani wala kwenda ofisi yyte ya Umma.

Mtumishi wa Uma anayetoa huduma kama hataki chanjo Aache kazi.

Huu ujinga tukiuvumilia utatucost.

Chanjo ya muda mfupi, mbona ebora wakongo walipata chanjo mmesikia wamekufa?

Utaangamizwa je wakati wewe umechanja. Kachanje ili usiangamizwe. Sasa kama umechanja na bado unaogopa kuangamizwa maana yake hiyo chanjo haifanyi kazi.
 
keisangora

JF-Expert Member
Mar 21, 2014
2,993
2,000
Tuko tunapambana kuona ni jinsi gani janga la Corona linaisha kabisa tuendelee na mambo mengine, tumechoka kuzika viongozi kila mwezi.

Haya mambi ya kubembeleza watu ambao wameshaungua akili yamepitwa na wakati.

Haiwezekani wengine wachanjwe wengine wakatae waendelee kusambaza maambukizi huu si uungwana.

Naomba Serikali iweke mda kabisa kufika mwezi January mwakani ambae hajapata chanjo hakuna kutoka ndani wala kwenda ofisi yyte ya Umma.

Mtumishi wa Uma anayetoa huduma kama hataki chanjo Aache kazi.

Huu ujinga tukiuvumilia utatucost.

Chanjo ya muda mfupi, mbona ebora wakongo walipata chanjo mmesikia wamekufa?
Ukichanjwa wewe haupati so tuache tusiotaka kuchanjwa.acha tuwe wapuuzi.
One man says impossible another says possible all are alright.

Nakupa nyingine hii hapa

We don't see things as they're but we see them as we're.
Full stop you're not si unit ya kukuamulia lini Nile Nini.
Akili yako unajiona Kama unaweza kuendesha watu wote.

Mbona hujawahi kulikataa waliloamua mabeberu kisa Wana control media zao wanaamua wanachotaka wewe ukisikie ama uambiwe.
Ila bana blacks tuna shida Sana.

Acha kazi ama kipawa chetu kiwe ni sex and dancing.
 
keisangora

JF-Expert Member
Mar 21, 2014
2,993
2,000
Tuko tunapambana kuona ni jinsi gani janga la Corona linaisha kabisa tuendelee na mambo mengine, tumechoka kuzika viongozi kila mwezi.

Haya mambi ya kubembeleza watu ambao wameshaungua akili yamepitwa na wakati.

Haiwezekani wengine wachanjwe wengine wakatae waendelee kusambaza maambukizi huu si uungwana.

Naomba Serikali iweke mda kabisa kufika mwezi January mwakani ambae hajapata chanjo hakuna kutoka ndani wala kwenda ofisi yyte ya Umma.

Mtumishi wa Uma anayetoa huduma kama hataki chanjo Aache kazi.

Huu ujinga tukiuvumilia utatucost.

Chanjo ya muda mfupi, mbona ebora wakongo walipata chanjo mmesikia wamekufa?
Afu nakushangaa so akija raisi mwingine akapima papai akadai Lina korona na chanjo imepewa panya ama gorilla imepata ukichaa ndani ya muda mchache so utafuatana naye na kumkubalia na kumuona kichwa Sana.

Just have your own mind kijana science has gone insane.
 
Mwanafalsafa

JF-Expert Member
Jun 24, 2007
238
500
Tuko tunapambana kuona ni jinsi gani janga la Corona linaisha kabisa tuendelee na mambo mengine, tumechoka kuzika viongozi kila mwezi.

Haya mambi ya kubembeleza watu ambao wameshaungua akili yamepitwa na wakati.

Haiwezekani wengine wachanjwe wengine wakatae waendelee kusambaza maambukizi huu si uungwana.

Naomba Serikali iweke mda kabisa kufika mwezi January mwakani ambae hajapata chanjo hakuna kutoka ndani wala kwenda ofisi yyte ya Umma.

Mtumishi wa Uma anayetoa huduma kama hataki chanjo Aache kazi.

Huu ujinga tukiuvumilia utatucost.

Chanjo ya muda mfupi, mbona ebora wakongo walipata chanjo mmesikia wamekufa?

Wewe ndo mpuuzi wa kwanza usiyejitambua kabisa.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom