Deeboyfrexh
JF-Expert Member
- Apr 3, 2015
- 3,240
- 5,245
Ile huduma ya microchip ya 666 ndio imekuja kwa style ya chanjoš„Ufaransa imeanza....
Macron ameanza.....
Huko usipochanjwa HUPATI BAADHI YA HUDUMA ZA JAMII....
#TujitokezeniKuchanjwa

.....juu yake nasilibia kabisašLimepita hilo
Kwa hiyo wanaochoma chanjo wote WANATUMIA DOZI YA MUDA MREFU?!!Usilete mihemko yako ya kipuuzi af watu ambao mnatumiaga dozi mda mrefu mna makasiriko ya ajabu sana!
Chomeni chanjo hio ila msilazimishe watu
Wanaokuwaga na mahasira ya ajabu kama mtoa mada!Kwa hiyo wanaochoma chanjo wote WANATUMIA DOZI YA MUDA MREFU?!!
Well Macron ameanza kulazimisha watu kuchanjwa.....
#TujitokezeniKuchanjwa
š¤£š¤£Sawa mkuu wangu umetambaa kisomi ,mimi si Askofu Gwajima nikupinge mtaalamu wangu....Wanaokuwaga na mahasira ya ajabu kama mtoa mada!
AZT zikishapanda kwenye ubongo zinaletaga mahasira ya ajabuš anakuja kuleta mambo ya ajabu ajabu
Ha ha ha msomi wangu umejuaje hayo kaka....Ile huduma ya microchip ya 666 ndio imekuja kwa style ya chanjoš„
Hii coment yako ilifaa iwe namba 2.Hivi wakati wa kujamiiana wewe na mumeo huwa mnavaa Kondomu wote?
KWANI NANI KAKWAMBIA UKICHANJA NDO HUPATI COVID 19 ACHA UNGESETuko tunapambana kuona ni jinsi gani janga la Corona linaisha kabisa tuendelee na mambo mengine, tumechoka kuzika viongozi kila mwezi,
haya mambi ya kubembeleza watu ambao wameshaungua akili yamepitwa na wakati,
haiwezekani wengine wachanjwe wengine wakatae waendelee kusambaza maambukizi huu si uungwana,
Naomba serikali iweke mda kabisa kufika mwezi January mwakani ambae hajapata chanjo hakuna kutoka ndani wala kwenda ofisi yyte ya Umma,
mtumishi wa Uma anayetoa huduma kama hataki chanjo Aache kazi,
huu ujinga tukiuvumilia utatucost,
chanjo ya muda mfupi, mbona ebora wakongo walipata chanjo mmesikia wamekufa?
Wabongo bana wamesahau family planning ilivyoleta ongezeko la ugonjwa wa cancer sasa mnataka chanjo kachome mwenyeweTuko tunapambana kuona ni jinsi gani janga la Corona linaisha kabisa tuendelee na mambo mengine, tumechoka kuzika viongozi kila mwezi,
haya mambi ya kubembeleza watu ambao wameshaungua akili yamepitwa na wakati,
haiwezekani wengine wachanjwe wengine wakatae waendelee kusambaza maambukizi huu si uungwana,
Naomba serikali iweke mda kabisa kufika mwezi January mwakani ambae hajapata chanjo hakuna kutoka ndani wala kwenda ofisi yyte ya Umma,
mtumishi wa Uma anayetoa huduma kama hataki chanjo Aache kazi,
huu ujinga tukiuvumilia utatucost,
chanjo ya muda mfupi, mbona ebora wakongo walipata chanjo mmesikia wamekufa?
Nakuunga mkono > 100%. Wasichanjwa wataendeleza maambukizi kwa wengine. Kukataa chanjo ni upuuzi.Tuko tunapambana kuona ni jinsi gani janga la Corona linaisha kabisa tuendelee na mambo mengine, tumechoka kuzika viongozi kila mwezi,
haya mambi ya kubembeleza watu ambao wameshaungua akili yamepitwa na wakati,
haiwezekani wengine wachanjwe wengine wakatae waendelee kusambaza maambukizi huu si uungwana,
Naomba serikali iweke mda kabisa kufika mwezi January mwakani ambae hajapata chanjo hakuna kutoka ndani wala kwenda ofisi yyte ya Umma,
mtumishi wa Uma anayetoa huduma kama hataki chanjo Aache kazi,
huu ujinga tukiuvumilia utatucost,
chanjo ya muda mfupi, mbona ebora wakongo walipata chanjo mmesikia wamekufa?
Mwendazake kawaloga. Amesepa na akili zao.Mjadala uishie hapa tafwadhari.
Ili iwe lazima itabidi muwe na chanjo milioni 60. Sasa una chanjo milioni moja huo ulazima unaota ukiwa umegida k Vant au?Tuko tunapambana kuona ni jinsi gani janga la Corona linaisha kabisa tuendelee na mambo mengine, tumechoka kuzika viongozi kila mwezi,
haya mambi ya kubembeleza watu ambao wameshaungua akili yamepitwa na wakati,
haiwezekani wengine wachanjwe wengine wakatae waendelee kusambaza maambukizi huu si uungwana,
Naomba serikali iweke mda kabisa kufika mwezi January mwakani ambae hajapata chanjo hakuna kutoka ndani wala kwenda ofisi yyte ya Umma,
mtumishi wa Uma anayetoa huduma kama hataki chanjo Aache kazi,
huu ujinga tukiuvumilia utatucost,
chanjo ya muda mfupi, mbona ebora wakongo walipata chanjo mmesikia wamekufa?
Hili ndio swali la msingi, wao wakichanjwa wanapata hofu gani tena alafu haya mambo ni individual mimi nikifa kwa corona yeye anapata hasara gani kila mtu asimamie anachokiamini tu.Wewe mwerevu ukishachanjwa unaogopa nini tena? Huamini chanjo yako?
Nashindwa kuelewa kabisa.Hili ndio swali la msingi, wao wakichanjwa wanapata hofu gani tena alafu haya mambo ni individual mimi nikifa kwa corona yeye anapata hasara gani kila mtu asimamie anachokiamini tu.
Sasa wewe umeshachanjwa unaogopa maambukizi gani tena?Nakuunga mkono > 100%. Wasichanjwa wataendeleza maambukizi kwa wengine. Kukataa chanjo ni upuuzi.