Sio kweli bwana huo ni msemo wa wazazi wanaoogopa watoto wao wasiharibike. Mie na utu uzima huu kweli niogope rafiki malaya kuwa atanifundisha na mimi umalaya?
Tatizo sio rafiki malaya, Tatizo ilikuakua vipi mpaka malaya akawa rafiki yako kama naweye si ........