Thank you Mr. Critical thinker!!
Zitto still believe in the Mission of the Party, but he does not believe in The Personal Interests of the small bunch of Conmen.
Ndugu Gamba la Nyoka,
Yaani baada ya utoto wote huu tulioshuhudia to the extent ya kuchafua integrity of the party kwa kumwaga siri za chama hadharani for the sake of satisfying personal egos bado wewe unaamini kuna mwenye kuamini mission ya chama na sio personal mission?
Naomba tuangalie hili swala kama wananchi makini na sio blind mashabiki.
Ndugu V.P
Zitto still believes in the Mission of the Party, but he doesnot believe in The Personal Interests of the small bunch of Conmen.
The solution is not to quit, Zitto is not a quitter, he is a fighter, and he will fight until truth triumph over falsehood, He will fight until justice takes its rightful position in the party.
So worry not V.P , its unwise to let your meatstore under the leadership of hyenas. These Conmen will destroy the party, The party needs the likes of Zitto to fight and come to its rescue.
These Conmen are hopeless sinners, liars, selfish. And to let the party which millions of tanzanians had hopes and aspirations in it is a betrayal.
THATS WHY I SAY BROTHER ZITTO IS RIGHT, TO FIGHT FOR HIS RIGHTS AND THE TRUE PRINCIPLES OF THE PARTY, NOT THE PERSONAL PRINCIPLES OF MBOWE AND SMALL BUNCH OF STIFF NECKED FOOLS LIKE LEMA AND THE ARROGANT LISSU
Mwenzako Tindu Lisu alikuwa kama wewe juzi aliomba kiswahili kitumike akidhani atapona dah kumbe the so called Albert Msando ni noma kinoma anatwanga kotekote mwisho wa siku Lisu chaliiiiiiiii.....hahahahaUnajua kiingereza lkn huna busara, ushauri aliopewa niwakumfanya awe kiongozi. mpiganaji gani asye na majibu kwa mali zinazo ibiwa kwetu. Au anapigania uenyekiti wa cdm. Ongea lugha wote wakuelewe kufura povu kwa matusi siyo ujuzi wa hoja ameshindwa vipi kuweka vikao halali ndani ya chama walewale kgm type. Pia vp anawasiwasi wa kweli tuhuma anahujumu via ccm haohao wanamtetea. Fikra zako zimejaa mawazo yasiyo na suruhisho la ukomavu ndy maana matusi mengi. Zungumza kiswahili ndy nyie akina chakubanga uzungu kumbe huna weupe
mkuu unaonaje huyu kijana zitto aingie ccm na ajiunge ktk orodha ya wasaka uraisi the like of EL?
Zitto still believe in the Mission of the Party, but he does not believe in The Personal Interests of the small bunch of Conmen.
Ndugu Gamba la Nyoka,
Yaani baada ya utoto wote huu tulioshuhudia to the extent ya kuchafua integrity of the party kwa kumwaga siri za chama hadharani for the sake of satisfying personal egos bado wewe unaamini kuna mwenye kuamini mission ya chama na sio personal mission?
Naomba tuangalie hili swala kama wananchi makini na sio blind mashabiki.
sasa kumbe wewe unatake sides katika mgogoro huu, kauli yako hii inaonyesha bias yako against Zitto.
mwanzo ulijaribu kujipambanua kama mtu anayempa Zitto ushauri kwa "jinsi wenziwe wanavyomuona", kumbe na ewe unamuona kama hao "wao". BASI KUMBE USHAURI WAKO NI USHAURI WA MWEWE KUMSHAURI BATA AVIACHE VIFARANGA VYAKE MBALI MBALI.
Zitto ndiye aliyeshambuliwa na Lissu kwa kudai eti Kahongwa Magari mawili na Mkono, hiyo wewe wala huisemi, wala hulizungumzi, LAKINI ZITTO ANAPOSEMA MBOWE KAPEWA MILIONI 100 KUTOKA KWA ROSTAMU WEWE UNAONA KAKISALITI CHAMA. LOGIC YAKO IKO WAPI MKUU?- ZITTO ALIKUWA HAKIKASHIFU CHAMA BALI ILIKUWA NI KUONYESHA LOGICAL FALLACY YA KAULI YA LISSU, KWAMBA UKIPEWA KITU FULANI NA MTU WA CCM BASI UMESHAKUWA MTUMWA AU KIBARAKA WAO.
Ndiyo maana Mbowe akasema, tatizo siyo kupokea hela kutoka kwa mtu wa CCM, bali tatizo ni hizo hela umezitumiaje?
HII MBINU YENU YA KUTUMIA GOOD COP/ BAD COP STRATERGY WALA HAIWEZI KUFANYA KAZI- ZITTO HAWEZI KUCHUKUA USHAURI WA WATU AMBAO DHAHIRI WANATAKA ASULUBISHWE
Hapa ndio umeonyesha rangi yako halisi,
Kule juu unajifanya mshauri wa Zitto hii ndio bavicha bwana
Pasco, nilikuwa nakuheshimu sana bro, ila tabia ya kupandikiza hayo uliyoandika! Je tunajenga Taifa la aina gani
Unajua hili jamaa cku hizI lina mambo ya kipuuzI sana,lilikuwa very smart but kumbe lilificha upumbavu wake,sasa nimeamini kumbe ni kweli linamatakatishwa!
just be fair. tuambie huo uchafu aliomwaga zitto. areyou happy jinsi akina mbowe wanavyomzalilisha mara kapokea hela lakini yeye akiulizwa anasema alipokea kwa malengo maalumu?
are you happy jinsi akina slaa wanavyomdhihaki? yaani waraka wakumtukana zitto mitandaoni slaa ana-like halafu baadaye anakuja sema ni ccm waliotoa huo waraka, lakini kama haitoshi bado akina kilewo wanausambaza mitandaoni?
Aru happy yaleyale yaliyomkuta chacha wangwe yamkute zitto?
Are you happy yaliyomkuta joseph yona jana yamkute zitto?
Are you kidding? you can't be serious.
zitto kuwahoji juu ya matumizi ya fedha za chama (kodi zetu), kugombea nafasi yoyote (haki yake kikatiba) imekuwa nongwa.
mkuu kwa haya wanayomfanyia zitto unatakiwa kujitoa fahamu kukubaliana nayo. naichukia ccm lakini nahisi chadema imekaribia kupita.
we are crying for the democracy. kwa staili hii na watu jamii yenu tunasafari ndefu sana kuifikia democrasia ya kweli.
Twendeni sasa tukajadili mambo mengine, umeme juu, na pia katiba inakuja! Tuache hizi mambo sasa, Utaifa kwanza!!
ivi zzk aliposaini ili pinda aondolewe alikuwa anamzuga nani? huku akijua alichokifanya jamani huyu mtu nauliza tena anadini au pagani na yule Raya wa znz bado wako nae?ua ndio bintwa jk ameshika hatamu
Wanabodi,
Kwanza nampongeza sana Mhe. Zitto Zuberi Kabwe kwa ushindi wa kishindo mahakamani leo kwenye kesi dhidi ya Chadema!.
Tangu day one niliwaeleza humu kuwa maamuzi ya CC ya Chadema, ni maamuzi ya kipuuzi kabisa sijapata kuona!, niliuliza hiyo CC ilipata wapi mandate ya kumvua ZZK madaraka yake wakati haina uwezo huo?!. Kesi ya msingi nayo pia atashinda!, Chadema italazimishwa kumrejeshea vyeo vyake vyote, kisha ufuate utaratibu rasmi kumvua vyeo hivyo na hatimaye kumvua rasmi uanachama wake!.
Ushauri wangu wa bure kwa Zitto, nakuomba sana, be calm, keep quite, don't boast, don't ridicule Chadema!. Pia usiendelee kutoa siri nyingine zozote za viongozi wako zaidi ya zile ulizokwisha toa!.
Sijapenda jinsi ulivyo toa siri za M/Kiti wako alivyopokea mihela ya Rostam na Mkono!. Sijapenda 'ulivyonunua' lile gari la Mkono bila kueleza popote umelinunuaje na kwa nini ulinunue kwake!, na pia sijapenda jinsi 'unavyolikodisha' lile gari jingine, huku ukiendelea 'kulilipia bila matatizo' bla kueleza lolote!.
Nakushauri baada ya kushinda kesi hii ya pingamizi, pia utashinda ile kesi ya msingi, ila Baraza Kuu, litakuvua rasmi vyeo vyako vyote na litakuvua uanachama wako, ambapo nafahamu utarudi tena mahakamani kuweka pingamizi mpaka 2015!.
Kwa vile umeishajua mustakabali wako Chadema na kiukweli hatimaye utaondoka, sisi baadhi ya tunaokukubali, tunakuomba na kukusihi, usiendelee kuibomoa Chadema!. Chadema ina wenyewe ambao udini kwao sio tatizo, ukabila kwao sio tatizo wala ukanda kwao sio tatizo!, pigania haki yako, ili uondoke Chadema kwa heshima bila kunyea kambi!.
Narudia tena, hongera sana Zitto Zuberi Kabwe!.
Congratulations!.
Pasco.
Mkuu pasco unesomeka,watu tupo govt tuna nafasi zetu na zitto ndo chaguo letu,we will support him to the end,an he shall win,dj rudi bilcanas tumemis mautundu yako