Ushauri wa Bure kwa ZZK!-Congratulations..But,,,!, Be Calm!, Keep Quite!, Don't Ridicule Them!.

Wanabodi,

Kwanza nampongeza sana Mhe. Zitto Zuberi Kabwe kwa ushindi wa kishindo mahakamani leo kwenye kesi dhidi ya Chadema!.

Tangu day one niliwaeleza humu kuwa maamuzi ya CC ya Chadema, ni maamuzi ya kipuuzi kabisa sijapata kuona!, niliuliza hiyo CC ilipata wapi mandate ya kumvua ZZK madaraka yake wakati haina uwezo huo?!. Kesi ya msingi nayo pia atashinda!, Chadema italazimishwa kumrejeshea vyeo vyake vyote, kisha ufuate utaratibu rasmi kumvua vyeo hivyo na hatimaye kumvua rasmi uanachama wake!.

Ushauri wangu wa bure kwa Zitto, nakuomba sana, be calm, keep quite, don't boast, don't ridicule Chadema!. Pia usiendelee kutoa siri nyingine zozote za viongozi wako zaidi ya zile ulizokwisha toa!.

Sijapenda jinsi ulivyo toa siri za M/Kiti wako alivyopokea mihela ya Rostam na Mkono!. Sijapenda 'ulivyonunua' lile gari la Mkono bila kueleza popote umelinunuaje na kwa nini ulinunue kwake!, na pia sijapenda jinsi 'unavyolikodisha' lile gari jingine, huku ukiendelea 'kulilipia bila matatizo' bla kueleza lolote!.

Nakushauri baada ya kushinda kesi hii ya pingamizi, pia utashinda ile kesi ya msingi, ila Baraza Kuu, litakuvua rasmi vyeo vyako vyote na litakuvua uanachama wako, ambapo nafahamu utarudi tena mahakamani kuweka pingamizi mpaka 2015!.

Kwa vile umeishajua mustakabali wako Chadema na kiukweli hatimaye utaondoka, sisi baadhi ya tunaokukubali, tunakuomba na kukusihi, usiendelee kuibomoa Chadema!. Chadema ina wenyewe ambao udini kwao sio tatizo, ukabila kwao sio tatizo wala ukanda kwao sio tatizo!, pigania haki yako, ili uondoke Chadema kwa heshima bila kunyea kambi!.

Narudia tena, hongera sana Zitto Zuberi Kabwe!.

Congratulations!.

Pasco.
Haya ni maneno yako Pasco! Sikutegemea kukusoma hivi kwa vile nakufahamu labda kama umebadilika siku hizi mpaka unafikia kutaja mambo kama haya. Ila nakushukuru kwa ushauri wako wa jumla, ni kweli ni wakati muafaka kwa ZZK kujiondoa CDM maana kila kitu sasa kinaeleweka. Ni vizuri pia haya mambo yamalizwe ili tujadili mambo ya maana sasa ya Rasimu ya Katiba ambayo yana tija kitaifa kuliko haya ambayo ni binafsi sana kwa mtazamo wangu.
 
Wanabodi,

Kwanza nampongeza sana Mhe. Zitto Zuberi Kabwe kwa ushindi wa kishindo mahakamani leo kwenye kesi dhidi ya Chadema!.

Tangu day one niliwaeleza humu kuwa maamuzi ya CC ya Chadema, ni maamuzi ya kipuuzi kabisa sijapata kuona!, niliuliza hiyo CC ilipata wapi mandate ya kumvua ZZK madaraka yake wakati haina uwezo huo?!. Kesi ya msingi nayo pia atashinda!, Chadema italazimishwa kumrejeshea vyeo vyake vyote, kisha ufuate utaratibu rasmi kumvua vyeo hivyo na hatimaye kumvua rasmi uanachama wake!.

Ushauri wangu wa bure kwa Zitto, nakuomba sana, be calm, keep quite, don't boast, don't ridicule Chadema!. Pia usiendelee kutoa siri nyingine zozote za viongozi wako zaidi ya zile ulizokwisha toa!.

Sijapenda jinsi ulivyo toa siri za M/Kiti wako alivyopokea mihela ya Rostam na Mkono!. Sijapenda 'ulivyonunua' lile gari la Mkono bila kueleza popote umelinunuaje na kwa nini ulinunue kwake!, na pia sijapenda jinsi 'unavyolikodisha' lile gari jingine, huku ukiendelea 'kulilipia bila matatizo' bla kueleza lolote!.

Nakushauri baada ya kushinda kesi hii ya pingamizi, pia utashinda ile kesi ya msingi, ila Baraza Kuu, litakuvua rasmi vyeo vyako vyote na litakuvua uanachama wako, ambapo nafahamu utarudi tena mahakamani kuweka pingamizi mpaka 2015!.

Kwa vile umeishajua mustakabali wako Chadema na kiukweli hatimaye utaondoka, sisi baadhi ya tunaokukubali, tunakuomba na kukusihi, usiendelee kuibomoa Chadema!. Chadema ina wenyewe ambao udini kwao sio tatizo, ukabila kwao sio tatizo wala ukanda kwao sio tatizo!, pigania haki yako, ili uondoke Chadema kwa heshima bila kunyea kambi!.

Narudia tena, hongera sana Zitto Zuberi Kabwe!.

Congratulations!.

Pasco.

Umeona ee. Nami nakuunga mkono mia fii mia. Anaweza kushine popote ispokuwa huku CCM.
 
Teh teh teh leo kweli ZZK anaponea mahakamani?Ama kweli nimeamini maneno ya wahenga kuwa kila lenye mwanzo lina mwisho!
mahakamani mbona kwa wote?kwani Lissu, Mnyika, Lema si hiyo hiyo mahakama ndo imewarejeshea heshima??otherwise wasingekuwepo katika ubunge wao kama wangeshindwa huko
 
Mkuu Pasco mwache Zitto awachane na kuanika ufisadi na uchafu wa kina Mbowe na vibaraka wake.
Wamezidi kujifanya wanamapinduzi wanokemea ufisadi wakati wao wamejaa ufisadi na uzinzi.
 
Last edited by a moderator:
Wanabodi,

Kwanza nampongeza sana Mhe. Zitto Zuberi Kabwe kwa ushindi wa kishindo mahakamani leo kwenye kesi dhidi ya Chadema!.

Tangu day one niliwaeleza humu kuwa maamuzi ya CC ya Chadema, ni maamuzi ya kipuuzi kabisa sijapata kuona!, niliuliza hiyo CC ilipata wapi mandate ya kumvua ZZK madaraka yake wakati haina uwezo huo?!. Kesi ya msingi nayo pia atashinda!, Chadema italazimishwa kumrejeshea vyeo vyake vyote, kisha ufuate utaratibu rasmi kumvua vyeo hivyo na hatimaye kumvua rasmi uanachama wake!.

Ushauri wangu wa bure kwa Zitto, nakuomba sana, be calm, keep quite, don't boast, don't ridicule Chadema!. Pia usiendelee kutoa siri nyingine zozote za viongozi wako zaidi ya zile ulizokwisha toa!.

Sijapenda jinsi ulivyo toa siri za M/Kiti wako alivyopokea mihela ya Rostam na Mkono!. Sijapenda 'ulivyonunua' lile gari la Mkono bila kueleza popote umelinunuaje na kwa nini ulinunue kwake!, na pia sijapenda jinsi 'unavyolikodisha' lile gari jingine, huku ukiendelea 'kulilipia bila matatizo' bla kueleza lolote!.

Nakushauri baada ya kushinda kesi hii ya pingamizi, pia utashinda ile kesi ya msingi, ila Baraza Kuu, litakuvua rasmi vyeo vyako vyote na litakuvua uanachama wako, ambapo nafahamu utarudi tena mahakamani kuweka pingamizi mpaka 2015!.

Kwa vile umeishajua mustakabali wako Chadema na kiukweli hatimaye utaondoka, sisi baadhi ya tunaokukubali, tunakuomba na kukusihi, usiendelee kuibomoa Chadema!. Chadema ina wenyewe ambao udini kwao sio tatizo, ukabila kwao sio tatizo wala ukanda kwao sio tatizo!, pigania haki yako, ili uondoke Chadema kwa heshima bila kunyea kambi!.

Narudia tena, hongera sana Zitto Zuberi Kabwe!.

Congratulations!.

Pasco.
Chama chochote atakachoenda Zitto ataangaliwa kwa jicho la umakini sana,na sidhani kama kuna chama kitakachompokea mtu wa namna hiyo!!!Ccm wameshamtumia kama toilet paper hawana haja naye tena.Hata aliyesaini mkataba wa IPTL alihongwa gari na Wa malaysia akasaini mkatba wa 3bn kila mwezi kuwapa IPTL.Miafrika tunatia aibu sana yaani unahongwa kigari tuu unasaliti wananchi wote!!Shame Upon Zitto &Co
 
Mtu ataoa kwa kikwete unategemea nn? lazima ashinde kesi.CHADEMA tutabaki watokao watoke.Huyu zzk yupo kwa muda tu.Hakika ametumwa.
 
Pasco unanisikitisha sana, una upeo wa hali juu sana kuliko haya uliyoandika hapa, unamponza sana huyo kijana Z na wapuuzi wengine wa aina yako, this is too low for u bro, unajidhalilisha, najua lengo lako ni kuchochea kuni lakini mtashindwa vibaya,

CDM haiwezi kufa kwaajili ya ZZK, au yyt yule. Sijaamini ni wewe umeandika upumbavu mkuu kiasi hicho cha kuchochea udini na ukabila, ths is very unfair. Nyie ndio mnajifanya wanaharakati na wakosoajinlakini mna malengo yenu, imeniuma sana msomi kama wewe unatumika, too sad bro,

Naamini utabadilika maana hata Hata kule Arumeru uliongea maneno kama haya ya kujipa moyo kwamba CDM itashindwa kwaajili ya baba yako EL bt nothing happened ukabaki kujishau, so hata mwisho wa siku utabakibkujishau tu " tuliwakosoa ndio maana wako hapa" acha unafiki mkuu
 
pasco usenge wako peleka taratibu......kwahyo hutaki zitto awaeleze wananchi ufisadi unaofnyika kweny hicho chama cha kiukanda!!funga mdomo wako,mh zitto sisi wananchi wako tunaomba umwage kila kitu hadharan utakuwa umejihakikishia kura zako,bila hata kupiga kampeni
Siku zote Zitto alikuwa wapi kuumwaga huo ufisadi?alikua anauficha wa nini kama hana maslahi binafsi?hizo ni tabia za jinsia jinsia
 
Mtu anaengea ukabila udini ukanda nauona ni mjinga tu...
 
Pasco hivi nawewe kumbe una proganda chafu kuwa CDM kuna udini, Ukanda na Ukabila...
 
Twendeni sasa tukajadili mambo mengine, umeme juu, na pia katiba inakuja! Tuache hizi mambo sasa, Utaifa kwanza!!
 
Ameahirisha tatizo tu! kufukuzwa kwake huyu mamluki kupo palepale.
 
Back
Top Bottom