Tusisahau, umeme juu,Gasi juu na subirini impact yake viwandani,Mashambani n.k ili tujifunze kusimama na kushabikia ya msingi.Huyo Zitto anakwenda kunywa mvinyo wake baada ya ushindi na Msando alafu waandamanaji watakutana na giza majumbani mwao baada ya luku kukata ghafla kutokana na kuweka umeme wa kuungaunga!
Watanzania haya yanafaa kuwa madogo na yale yanayogusa maisha yetu yawe makubwa! Gesi 65,000/= , Umeme unit 8 ni 10,000/= , maji hakuna wiki sasa alafu habari kama hizi ndio zinageuka BIG ISSUE!
Acha watukaange hadi tutie akili na ikibidi sembe kilo moja iwe laki na maharage hivyo hivyo!!!!!!!!!!:doh::doh::doh::doh::doh:
Pasco,
Nia na madhumuni ya huu ushauri unaujua mwenyewe ila ki ukweli sidhani kama unachukia utumwa.Just my perception
Mpongeze na David Mataka...
bwana abnuasi jaribu kumuelewa mr V.P, na kama umesoma paragraph ya mwisho kwenye uzi huu utaona jinsi jamaa anavotaka kuweka mambo sawa. kusema mambo mabaya juu ya viongozi wako kwenye media ni kuua credibility ya chama. kama unakipenda chama na unataka kuleta mabadiliko huwez fanya vile, ni sawa na kulikata tawi la mti uliokalia. kumbuka Mh Edward Lowasa aliporesign uwaziri mkuu., chama kiliwatumia akina Nape kumchafua nchi nzima kwamba ni fisadi, na hafai kuwa mwanaccm mpaka kuweka hoja ya kuwavua uanachama ( kumbuka usemi wao kuwa wanavua magamba). hukumsikia popote kwenye media akikanusha wala kusema mambo ya ndani, lakin siku ya kikao cha kumvua gamba alifunguka watu wote midomo wezi, he had a lot to say mpaka yanaomgusa preesident. kama angeyasema hadhran kama anavofanya zito sasa nchi hii isingekuwa na rais tuliyenaye sasa. alikaa kumya kwa maslahi mapana ya chama na serikali yake. kwa nin zito asiige mfano huu. akakaa kimya huku akisuburi haya mambo akayaseme kwenye baraza kuu! kwa upande mwingine, viongozi wa chadema wameshinda kuhandle mgogoro huu, wanaropoka hata yasiyostahili. nao pia hawatufai. zitto will go, but the whole uongoz has to step down,just be fair. tuambie huo uchafu aliomwaga zitto. areyou happy jinsi akina mbowe wanavyomzalilisha mara kapokea hela lakini yeye akiulizwa anasema alipokea kwa malengo maalumu?are you happy jinsi akina slaa wanavyomdhihaki? yaani waraka wakumtukana zitto mitandaoni slaa ana-like halafu baadaye anakuja sema ni ccm waliotoa huo waraka, lakini kama haitoshi bado akina kilewo wanausambaza mitandaoni? Aru happy yaleyale yaliyomkuta chacha wangwe yamkute zitto?Are you happy yaliyomkuta joseph yona jana yamkute zitto?Are you kidding? you can't be serious. zitto kuwahoji juu ya matumizi ya fedha za chama (kodi zetu), kugombea nafasi yoyote (haki yake kikatiba) imekuwa nongwa.mkuu kwa haya wanayomfanyia zitto unatakiwa kujitoa fahamu kukubaliana nayo. naichukia ccm lakini nahisi chadema imekaribia kupita. we are crying for the democracy. kwa staili hii na watu jamii yenu tunasafari ndefu sana kuifikia democrasia ya kweli.
Hii nchi inahitaji wanasiasa nguli wenye mawazo huria kama wa Kenya,baada ya mgombea binafsi kuruhusiwa zitafanyika coalition nyie na mavyama yenu yaliyooza mtajiju sisi tutachagua watu wenye maono sio wale too local au too old au saccos
"MM"=Mbunge wa Mahakama
Yule jamaa amekuja kunidisappoint pale alipoanza kuropoka kwa kutaja tuhuma za madhambi ya viongozi wenzake.
Amekuwa silent kwa miaka yote hiyo, leo hii ndio anaona sifa kusema baada ya usaliti wake kugundulika.
Hata kama ni ukweli umekuja at wrong timing, dawa ni aende tu.
Zitto anawaumiza sana vichwa makamanda viroba
nilifurahi sana pale nilipo rudi kijijini kwetu nikawakuta watu wana soma walaka wa zitto kuihujumu chadema hata ckupata tabu kuwarlimisha juu ya kile kinacho endelea, bigup chadema
Pamoja na kwamba umetukimbia vijana wa madrasa kwenye MINAKASHA YETU,ILA KWA KUWA MIMI NI TEAM ZITTO KATIKA KUTOKOMEZA UDINI,UKANDA NA UKABILA BASI NAKUUNGA MKONO KWENYE HOJA YAKO HII,,
LEKATUTIGUTEEE..ZITTO GOGO LA UDIII,,TATIZO WAZEE WA SACOSS HII NA MTEI WAMEZOEA VYA KUNYONGAA,,SAFARI HII WAMESHIKISHWA ADABU,,PU,MBA.VU ZAO
Zitto anawaumiza sana vichwa makamanda viroba