Ushauri wa Bure kwa ZZK!-Congratulations..But,,,!, Be Calm!, Keep Quite!, Don't Ridicule Them!.

Ushauri wa Bure kwa ZZK!-Congratulations..But,,,!, Be Calm!, Keep Quite!, Don't Ridicule Them!.

Wanabodi,

Kwanza nampongeza sana Mhe. Zitto Zuberi Kabwe kwa ushindi wa kishindo mahakamani leo kwenye kesi dhidi ya Chadema!.

Tangu day one niliwaeleza humu kuwa maamuzi ya CC ya Chadema, ni maamuzi ya kipuuzi kabisa sijapata kuona!, niliuliza hiyo CC ilipata wapi mandate ya kumvua ZZK madaraka yake wakati haina uwezo huo?!. Kesi ya msingi nayo pia atashinda!, Chadema italazimishwa kumrejeshea vyeo vyake vyote, kisha ufuate utaratibu rasmi kumvua vyeo hivyo na hatimaye kumvua rasmi uanachama wake!.

Ushauri wangu wa bure kwa Zitto, nakuomba sana, be calm, keep quite, don't boast, don't ridicule Chadema!. Pia usiendelee kutoa siri nyingine zozote za viongozi wako zaidi ya zile ulizokwisha toa!.

Sijapenda jinsi ulivyo toa siri za M/Kiti wako alivyopokea mihela ya Rostam na Mkono!. Sijapenda 'ulivyonunua' lile gari la Mkono bila kueleza popote umelinunuaje na kwa nini ulinunue kwake!, na pia sijapenda jinsi 'unavyolikodisha' lile gari jingine, huku ukiendelea 'kulilipia bila matatizo' bla kueleza lolote!.

Nakushauri baada ya kushinda kesi hii ya pingamizi, pia utashinda ile kesi ya msingi, ila Baraza Kuu, litakuvua rasmi vyeo vyako vyote na litakuvua uanachama wako, ambapo nafahamu utarudi tena mahakamani kuweka pingamizi mpaka 2015!.

Kwa vile umeishajua mustakabali wako Chadema na kiukweli hatimaye utaondoka, sisi baadhi ya tunaokukubali, tunakuomba na kukusihi, usiendelee kuibomoa Chadema!. Chadema ina wenyewe ambao udini kwao sio tatizo, ukabila kwao sio tatizo wala ukanda kwao sio tatizo!, pigania haki yako, ili uondoke Chadema kwa heshima bila kunyea kambi!.

Narudia tena, hongera sana Zitto Zuberi Kabwe!.

Congratulations!.

Pasco.

Eti hawa ndio wasomi wetu wa sheria kutoka chuo kikuu kinachoheshimika kuliko vyote Tanzania. Yani umeishiwa hoja umetazama njia ya mkato ya kuingiza udini,ukabila na ukanda!. Hii nchi ndio basi tena ishalaaniwa aisee! Naona majanga mbele yatungojea.
 
kapuya ndie anaeweza kuongoza chini ya ccm na wasira kwaherini jf zzk na cdm is too much pipooooooooooooooooooooooozpaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaawa tumeanza na mungu tutamaliza na mungu
 
Kumpongeza zittobnisawa na.kumchungulianmama yako.nafanywa wewevunaye mpongeza zitto.akiliyako.na.mbwa.havirofautiani
 
Zitto still believe in the Mission of the Party, but he does not believe in The Personal Interests of the small bunch of Conmen.

Ndugu Gamba la Nyoka,

Yaani baada ya utoto wote huu tulioshuhudia to the extent ya kuchafua integrity of the party kwa kumwaga siri za chama hadharani for the sake of satisfying personal egos bado wewe unaamini kuna mwenye kuamini mission ya chama na sio personal mission?

Naomba tuangalie hili swala kama wananchi makini na sio blind mashabiki.

Hakuna muda tena wa kumtongoza Zitto ili alainike awaache wazinzi wakiendelea kutamba. Kutaka kumsulubisha Zitto kwa sababu za kijinga ni kuwadhalilisha wanachama walio wengi ambao tuliamini chama kipo kwa maslahi ya Watz kumbe ni wachumia tumbo. Hatukubali! Zitto amesimama na tutahakikisha anaendelea kusimama ndani ya CHADEMA na siyo penginepo. CHADEMA ni nyumbani kwa ZITTO na si penginepo, hatoki mtu. Washaurini hao wazinzi ndo waondoke maana Chama walikikuta.
 
Pasco una hekima sana! Pia busara unayo na pia ueledi wa hali ya juu! Pia mtu wa kuona mbali!

well, sitegemei mtu unaemdhania ana hekima ambayo kimsing hanayo, kuchukua muda wake na kuanza kuubiri udini hata kidogo. Ningeweza kukubali unachokisema lkn kujiingiza kwenye kuubiri udini ukabila ukanda I dought your inner mind is more than what you wrote mdogoangu pasco
 
calender ya chadema au ccm mwaka huu nitazipata wapi dar.
 
mwisho wa siku tutachukua kadi yetu tuu baasi. Mission failed
 
Viongozi wa juu wenyewe tunawaondoa kesho kutwa kwenye uchaguzi mkuu...mwenye kiti atakuwa zito. Na viongozi wapya wengine...hawa wababaishaji hawana nafasi tena
 
Asili ya waha ni ubishi unapoteza muda wako kumshauri huyu mh. Zamani baada ya kujua neno tireeeni wakakataa kuita gari mooshi lilotumika awali. Akiambiwa gari moshi atakuambia hapana mugabo ni tireeni. Sasa ukumbuke kuna za umeme na bullet train. Atakubali wapi tena gari moshi, usipoteze nguvu na muda wako V.P.

Ukiona mwanasiasa wa Tz kaimbiwa wimbo alio imbiwa nduli iddi amini na wapiganaji wetu wakati wa vita ya kagera na macho yake bado ni makavu kabisa jua hapo kuna tatizo kubwa sana. Tusubiri maumivu huko mbele kwani ndio viongozi wakuu watarajiwa hao.
 
Good analysis!!!! Ila mwishoni hapo sikubaliani na wewe.... Ningetegemea ungewasifu CHADEMA maana CCM wanatumia fedha nyingi sana kuhakikisha mgogoro unakuwa mkubwa ila kwa CC ya CHADEMA bado kuwa na maamuzi ya pamoja ni ukomavu mkubwa....

Zitto anachofanya kwa sasa ni kutetea Ubunge wala si Uanachama tena maana anajua kama asingeweza pingamizi tangu juzi asingekuwa Mbunge...
 
Ni kweli kwamba wasomi ni kama kina pasco? La hasha hakuna msomi ila ni -------- anaekaa chini na kuanza kuwaambia watu habari za ukabila udini na ukanda badala ya kutuambia mambo ya msingi yanayoikabili nchi yetu na changamoto zake. sitaki kutaja maadam yako mengi na kumbukeni hii ni mwanzo wa mwaka watoto wetu wanaanza masomo huku wamekalia mchanga angali walokalia madawati ya mwl Nyerere wakiwa hawawajali wala kuwakumbuka.
Ninachokiona hapa pasco amejipambanua kama mmoja wa wale wanaotafuta vijiwe vya kuchumia tumbo. Nasema tena wandg HAKUNA MSOMI WA KWELI ANAEWEZA KUKAA CHINI NA KUANZA KUUBIRI HUU UJINGA UNAOIMBWA NA WAJINGA WACHACHE KWA MANUFAA YAO
 
Mh Zito amejishushia heshima ktk jamii. Najiuliza kwann hung'ang'anie madaraka? Unataka kutuaminisha kuwa unasingiziwa?!
 
Wanabodi,

Kwanza nampongeza sana Mhe. Zitto Zuberi Kabwe kwa ushindi wa kishindo mahakamani leo kwenye kesi dhidi ya Chadema!.

Tangu day one niliwaeleza humu kuwa maamuzi ya CC ya Chadema, ni maamuzi ya kipuuzi kabisa sijapata kuona!, niliuliza hiyo CC ilipata wapi mandate ya kumvua ZZK madaraka yake wakati haina uwezo huo?!. Kesi ya msingi nayo pia atashinda!, Chadema italazimishwa kumrejeshea vyeo vyake vyote, kisha ufuate utaratibu rasmi kumvua vyeo hivyo na hatimaye kumvua rasmi uanachama wake!.

Ushauri wangu wa bure kwa Zitto, nakuomba sana, be calm, keep quite, don't boast, don't ridicule Chadema!. Pia usiendelee kutoa siri nyingine zozote za viongozi wako zaidi ya zile ulizokwisha toa!.

Sijapenda jinsi ulivyo toa siri za M/Kiti wako alivyopokea mihela ya Rostam na Mkono!. Sijapenda 'ulivyonunua' lile gari la Mkono bila kueleza popote umelinunuaje na kwa nini ulinunue kwake!, na pia sijapenda jinsi 'unavyolikodisha' lile gari jingine, huku ukiendelea 'kulilipia bila matatizo' bla kueleza lolote!.

Mkuu, kwanza nashangaa kwa nini unatumia neno "Sijependa", Kwani wewe ni Zitto? Au unataka kutuambia kwamba wewe ndo mshauri mkuu wa Zitto afanye nini wakati gani? Pia unataka kutuambia kwamba dili zote anazopiga Zitto na wewe huwa unashiriki lakini hizi na mkono hakukushirikisha? Lastly, kwa hayo ambayo hujapenda tena ya Kifisadi kabisa na yanaelezea kwa namna zote Unafiki, uongo, ulaghai, Usaliti na Ulimbukeni wa zitto siyo tu kwa chama alichomo (kwa amri ya mahakama) na kwa wanachama wake bali pia kwa watanzania wote (Anadanganya hataki posho kumbe anapiga dili kubwa kubwa yeye na Mbowe - They are all the same) bado unamgrade Zitto kama mwanasiasa anaefaa mbele ya jamii pana ya watanzania?

Nakushauri baada ya kushinda kesi hii ya pingamizi, pia utashinda ile kesi ya msingi, ila Baraza Kuu, litakuvua rasmi vyeo vyako vyote na litakuvua uanachama wako, ambapo nafahamu utarudi tena mahakamani kuweka pingamizi mpaka 2015!.

Kwa vile umeishajua mustakabali wako Chadema na kiukweli hatimaye utaondoka, sisi baadhi ya tunaokukubali, tunakuomba na kukusihi, usiendelee kuibomoa Chadema!. Chadema ina wenyewe ambao udini kwao sio tatizo, ukabila kwao sio tatizo wala ukanda kwao sio tatizo!, pigania haki yako, ili uondoke Chadema kwa heshima bila kunyea kambi!.

Logics zako kama marehemu vile, wewe huyuhuyu unasema asiibomoe CHADEMA, lakini pia unasema lazima baraza kuu litamfukuza na kumvua kila kitu, pia unasema ataweka pingamizi hadi 2015 why na kwa manufaa ya nani? This is too narrow. Mnataka kumuua huyu kijana.

Unaweza kuthibitisha udini, ukabila, ukanda n.k wa CHADEMA? I would be happy utufahamishe au unionyeshe mahala popote, forms au kitu chochote kinachoonyesha kwamba ukitaka kujiunga CHADEMA lazima ujaze form na uwe approved unatoka ukanda,dini na kabila gani? This is also extreme pathetic for you to denounce them publicly like you did in this awkward post.

NB: Kukaa kimya kama ulivyomshauri Zitto wakati mwingine ni jibu na ni busara. Wewe hukutakiwa kuandika haya. Yamekuacha uchi kuhusu weledi na nia yako kwa taifa hili na watanzania maskini.
 
Zitto still believe in the Mission of the Party, but he does not believe in The Personal Interests of the small bunch of Conmen.

Ndugu Gamba la Nyoka,

Yaani baada ya utoto wote huu tulioshuhudia to the extent ya kuchafua integrity of the party kwa kumwaga siri za chama hadharani for the sake of satisfying personal egos bado wewe unaamini kuna mwenye kuamini mission ya chama na sio personal mission?

Naomba tuangalie hili swala kama wananchi makini na sio blind mashabiki.

sasa kumbe wewe unatake sides katika mgogoro huu, kauli yako hii inaonyesha bias yako against Zitto.
mwanzo ulijaribu kujipambanua kama mtu anayempa Zitto ushauri kwa "jinsi wenziwe wanavyomuona", kumbe na ewe unamuona kama hao "wao". BASI KUMBE USHAURI WAKO NI USHAURI WA MWEWE KUMSHAURI BATA AVIACHE VIFARANGA VYAKE MBALI MBALI.

Zitto ndiye aliyeshambuliwa na Lissu kwa kudai eti Kahongwa Magari mawili na Mkono, hiyo wewe wala huisemi, wala hulizungumzi, LAKINI ZITTO ANAPOSEMA MBOWE KAPEWA MILIONI 100 KUTOKA KWA ROSTAMU WEWE UNAONA KAKISALITI CHAMA. LOGIC YAKO IKO WAPI MKUU?- ZITTO ALIKUWA HAKIKASHIFU CHAMA BALI ILIKUWA NI KUONYESHA LOGICAL FALLACY YA KAULI YA LISSU, KWAMBA UKIPEWA KITU FULANI NA MTU WA CCM BASI UMESHAKUWA MTUMWA AU KIBARAKA WAO.

Ndiyo maana Mbowe akasema, tatizo siyo kupokea hela kutoka kwa mtu wa CCM, bali tatizo ni hizo hela umezitumiaje?

HII MBINU YENU YA KUTUMIA GOOD COP/ BAD COP STRATERGY WALA HAIWEZI KUFANYA KAZI- ZITTO HAWEZI KUCHUKUA USHAURI WA WATU AMBAO DHAHIRI WANATAKA ASULUBISHWE
 
Back
Top Bottom