Magwangala
JF-Expert Member
- Oct 4, 2011
- 2,986
- 2,373
Last edited by a moderator:
Huna jipya kakojoe ulale.....
Wanabodi,
Kwanza nampongeza sana Mhe. Zitto Zuberi Kabwe kwa ushindi wa kishindo mahakamani leo kwenye kesi dhidi ya Chadema!.
Tangu day one niliwaeleza humu kuwa maamuzi ya CC ya Chadema, ni maamuzi ya kipuuzi kabisa sijapata kuona!, niliuliza hiyo CC ilipata wapi mandate ya kumvua ZZK madaraka yake wakati haina uwezo huo?!. Kesi ya msingi nayo pia atashinda!, Chadema italazimishwa kumrejeshea vyeo vyake vyote, kisha ufuate utaratibu rasmi kumvua vyeo hivyo na hatimaye kumvua rasmi uanachama wake!.
Ushauri wangu wa bure kwa Zitto, nakuomba sana, be calm, keep quite, don't boast, don't ridicule Chadema!. Pia usiendelee kutoa siri nyingine zozote za viongozi wako zaidi ya zile ulizokwisha toa!.
Sijapenda jinsi ulivyo toa siri za M/Kiti wako alivyopokea mihela ya Rostam na Mkono!. Sijapenda 'ulivyonunua' lile gari la Mkono bila kueleza popote umelinunuaje na kwa nini ulinunue kwake!, na pia sijapenda jinsi 'unavyolikodisha' lile gari jingine, huku ukiendelea 'kulilipia bila matatizo' bla kueleza lolote!.
Nakushauri baada ya kushinda kesi hii ya pingamizi, pia utashinda ile kesi ya msingi, ila Baraza Kuu, litakuvua rasmi vyeo vyako vyote na litakuvua uanachama wako, ambapo nafahamu utarudi tena mahakamani kuweka pingamizi mpaka 2015!.
Kwa vile umeishajua mustakabali wako Chadema na kiukweli hatimaye utaondoka, sisi baadhi ya tunaokukubali, tunakuomba na kukusihi, usiendelee kuibomoa Chadema!. Chadema ina wenyewe ambao udini kwao sio tatizo, ukabila kwao sio tatizo wala ukanda kwao sio tatizo!, pigania haki yako, ili uondoke Chadema kwa heshima bila kunyea kambi!.
Narudia tena, hongera sana Zitto Zuberi Kabwe!.
Congratulations!.
Pasco.
Tukubaliane tu kuwa CHADEMA kama chama wameshindwa kujionesha kama ni taasisi inayoweza kushughurika na changamoto ambazo huwa haziepukiki pale chama kinapokua kwa kasi kutokana na chama kilichoko madarakani kushindwa kusimamia misingi ya chini kabisa katika ukuaji wa taifa kisiasa, kiuchumi na kijamii.Mkuu, mkeo akikuzushia uongo unaamini ni ujanja na busara na wewe kuanika mambo yake hadharani?
Achana na dhana kwamba ku criticise mtu maana yake ni kuwa against him.
Ndugu V.P
Zitto still believes in the Mission of the Party, but he doesnot believe in The Personal Interests of the small bunch of Conmen.
The solution is not to quit, Zitto is not a quitter, he is a fighter, and he will fight until truth triumph over falsehood, He will fight until justice takes its rightful position in the party.
So worry not V.P , its unwise to let your meatstore under the leadership of hyenas. These Conmen will destroy the party, The party needs the likes of Zitto to fight and come to its rescue.
These Conmen are hopeless sinners, liars, selfish. And to let the party which millions of tanzanians had hopes and aspirations in it is a betrayal.
THATS WHY I SAY BROTHER ZITTO IS RIGHT, TO FIGHT FOR HIS RIGHTS AND THE TRUE PRINCIPLES OF THE PARTY, NOT THE PERSONAL PRINCIPLES OF MBOWE AND SMALL BUNCH OF STIFF NECKED FOOLS LIKE LEMA AND THE ARROGANT LISSU
Baada ya purukushani hizi za CDM na Zitto naamini Zitto atajitafakari na hatakuwa na dharau na upuuzi kama aliokuwa anawafanyia CDM. Nimpongeze Zitto kwa kutokubali defeat kirahisi, Niwapongeze CDM kwa kuonyesha wazi kutokuogopa kuchukua hatua. Hii nchi kama CCM wangekuwa wanawachukulia hatua watu kwenye Halmashauri, idara, wizara na wakala za serikali huko, nchi hii ingekuwa mbali.
Lakini ni wazi, mgogoro huu unawanufaisha zaidi CCM na kuliangamiza kabisa taifa letu. Umeme unapanda bei, wachina wanatuhujumu kila kona.Lakini tufanyeje,kama watanzania wameamua kukubali kubaki chini ya CCM...Nna hofu kubwa na vizazi vijavyo...Wachina watatumailiza...

Zitto still believe in the Mission of the Party, but he does not believe in The Personal Interests of the small bunch of Conmen.
Ndugu Gamba la Nyoka,
Yaani baada ya utoto wote huu tulioshuhudia to the extent ya kuchafua integrity of the party kwa kumwaga siri za chama hadharani for the sake of satisfying personal egos bado wewe unaamini kuna mwenye kuamini mission ya chama na sio personal mission?
Naomba tuangalie hili swala kama wananchi makini na sio blind mashabiki.
Baada ya purukushani hizi za CDM na Zitto naamini Zitto atajitafakari na hatakuwa na dharau na upuuzi kama aliokuwa anawafanyia CDM. Nimpongeze Zitto kwa kutokubali defeat kirahisi, Niwapongeze CDM kwa kuonyesha wazi kutokuogopa kuchukua hatua. Hii nchi kama CCM wangekuwa wanawachukulia hatua watu kwenye Halmashauri, idara, wizara na wakala za serikali huko, nchi hii ingekuwa mbali.
Lakini ni wazi, mgogoro huu unawanufaisha zaidi CCM na kuliangamiza kabisa taifa letu. Umeme unapanda bei, wachina wanatuhujumu kila kona.Lakini tufanyeje,kama watanzania wameamua kukubali kubaki chini ya CCM...Nna hofu kubwa na vizazi vijavyo...Wachina watatumailiza...
Tukubaliane tu kuwa CHADEMA kama chama wameshindwa kujionesha kama ni taasisi inayoweza kushughurika na changamoto ambazo huwa haziepukiki pale chama kinapokua kwa kasi kutokana na chama kilichoko madarakani kushindwa kusimamia misingi ya chini kabisa katika ukuaji wa taifa kisiasa, kiuchumi na kijamii.
Kuna watu mnanishangaza sana na hoja zetu za kutumia jicho moja katika mgogoro huu ambao umefika hapa kwa sababu ya uongozi kuruhusu jaziba ziwe ndiyo kipimo cha uongozi bora ndani ya chama.
Hebu nisaidie, unachanganua vipi kama hizi ni siri zinazokiathiri chama na zingine hazikiathiri chama wakati zinatolewa na viongozi wa hicho chama kuhusu viongozi wa hicho chama.
Mh. Tundu Lissu alipotoa siri za Zitto ili kutaka kuharalisha hoja yake kuwa Mh. Zitto ni tapeli wa kisiasa hukuweza kumkanya kwa sababu kwa mawazo yako kuchafuka Mh. Zitto kisiasa siyo kuchafuka kwa CHADEMA!, lakini Mh. Zitto alipotoa angalizo kumwambia Mh. Tundu Lissu kama anachokisema kwake kinampendezesha, basi lazima afahamu kuna mengi amuulize Mh. Mbowe ili yampendezeshe zaidi. Maneno ya Mh. Zitto ambayo yanafanana na yale aliyoyatoa Mh. Lissu ndiyo pekee unayaona yanakibomoa chama!.
By the way, hii dhana ya kufananisha chama kama taasisi na ndoa ya mtu inaingiaje kwenye uhai na utendaji wa chama?
Kwenye dunia ya watu wanaojipambanua kwa hoja huwa wana michango miwili katika hoja.Rubbish!
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
Viongozi wa juu wenyewe tunawaondoa kesho kutwa kwenye uchaguzi mkuu...mwenye kiti atakuwa zito. Na viongozi wapya wengine...hawa wababaishaji hawana nafasi tena
Alitumwa na washirika wake wa CCM aangalie nani ndani ya CCM wanapingana na chama.Na kweli siku hiyo Filikujombe (Mb) na wenzake walitambuliwa. Ndiyo Kazi ya Political Double Agent Zitto aliyoifamya.ivi zzk aliposaini ili pinda aondolewe alikuwa anamzuga nani? huku akijua alichokifanya jamani huyu mtu nauliza tena anadini au pagani na yule Raya wa znz bado wako nae?ua ndio bintwa jk ameshika hatamu