Ushauri wa Bure kwa ZZK!-Congratulations..But,,,!, Be Calm!, Keep Quite!, Don't Ridicule Them!.

......
Kwa vile umeishajua mustakabali wako Chadema na kiukweli hatimaye utaondoka, sisi baadhi ya tunaokukubali, tunakuomba na kukusihi, usiendelee kuibomoa Chadema!. Chadema ina wenyewe ambao udini kwao sio tatizo, ukabila kwao sio tatizo wala ukanda kwao sio tatizo!, pigania haki yako, ili uondoke Chadema kwa heshima bila kunyea kambi!.
........

Pasco.

Naona mmejifunga vibwebwe kulitumbukiza taifa hili la Tanzania kwenye machafuko kwa nguvu zenu zote.....Kwa nini akili zenu zinawatuma kutumia propaganda za kishenzi/wildness yaana za kuchochea machafuko kwa nija ya kidini, ukabila, ukanda na propaganda za kishenzi kama hizo hali ninyi waandishi ndiyo hasa mnatakiwa kuubiri amani, umoja, mshikamano, kuvumiliana kusaidiana baina ya waafrika wazaliwa na waamiaji wa Tanzania? Kwa nini..!

Nakumbuka ulishawahi kuonywa huko nyuma juu ya propaganda zako hizi za kishenzi, ulisikia na ukaacha. Sijaelewa ni nini kimekusibu. Kwa ulichoandika hapa...natangaza kupatika ARAP SANG WA BONGO mwingine akimfuata THE BIG SHOW. Kwa kuwakumbusha tu...ARAP SANG ni mtangazaji na mwandishi wa habari wa Kenya ambaye ameshitakiwa huko ICC-The Hague kwa kutumia matangazo yake ya redio kuchochea maauaji ya wakenya baada ya Uchaguzi mkuu nchini humo

Kwa nguvu zangu zote popote nitakapo pata nafasi nitapinga utumiaji wa Propaganda za Kishenzi za udini, ukabila, n.k zinazoelekea kuleta machafuko nchi.

Ndugu wananchi, waafrika, watanzania wenzangu...TUWAPIGE VITA WALE WOTE WANAOENEZA UDINI, UKABILA, na mengine kama hayo ili kuleta machafuko nchi kwa kisingizio chochote kile. Kwa hili tuanze na Pasco wa JF na mwenzake THE BIG SHOW.

Nina imani tutaishinda vita hii maana tunaweza bila hata kuwewezeshwa na ndugu zetu wa mataifa ya nje.
 
Zitto anawaumiza sana vichwa makamanda viroba

Upo sahihi kabisa. Hata usingesema hivyo tunajua kutoka kwako lazima litoke neno linalofanana na hilo. Haijawahi kufikirika kuwa shetani siku moja atakuwa rafiki wa Mungu.
 
ivi zzk aliposaini ili pinda aondolewe alikuwa anamzuga nani? huku akijua alichokifanya jamani huyu mtu nauliza tena anadini au pagani na yule Raya wa znz bado wako nae?ua ndio bintwa jk ameshika hatamu
 
Pasco una hekima sana! Pia busara unayo na pia ueledi wa hali ya juu! Pia mtu wa kuona mbali!

Member wote wa Jf wangekuwa na fikra na mtazamo kama wako, hakika mtandao huu ungekuwa msingi wa fikra pevu na vijana wengi wange badilika kimtazamo na hata kimaendeleo.
 
hakuna kitu kiliniumiza kama Lema kupokwa ubunge na mahakama ya Arusha. leo hii nimeumia kwa maumivu yale yale juu ya mbegu ya upandikizi na usaliti kupata haki mbele ya mahakama dhidi ya chama changu Chadema. hakika Zitto hatashinda. Kama kweli kabisa anafanya haya huku akijuwa anatumiwa na CCM kukivuruga chama. Ninaapa kwa Mwenyezi Mungu Zitto hatoshinda.

Muda utasema.

Punguza chuki na jazba uweze kufikiri sawa sawa
 
Napita tu, maana sijaelewa anamkebehi au anamshauri. Lakini napita tu
 
Wanabodi,

Kwanza nampongeza sana Mhe. Zitto Zuberi Kabwe kwa ushindi wa kishindo mahakamani leo kwenye kesi dhidi ya Chadema!.

Tangu day one niliwaeleza humu kuwa maamuzi ya CC ya Chadema, ni maamuzi ya kipuuzi kabisa sijapata kuona!, niliuliza hiyo CC ilipata wapi mandate ya kumvua ZZK madaraka yake wakati haina uwezo huo?!. Kesi ya msingi nayo pia atashinda!, Chadema italazimishwa kumrejeshea vyeo vyake vyote, kisha ufuate utaratibu rasmi kumvua vyeo hivyo na hatimaye kumvua rasmi uanachama wake!.

Ushauri wangu wa bure kwa Zitto, nakuomba sana, be calm, keep quite, don't boast, don't ridicule Chadema!. Pia usiendelee kutoa siri nyingine zozote za viongozi wako zaidi ya zile ulizokwisha toa!.

Sijapenda jinsi ulivyo toa siri za M/Kiti wako alivyopokea mihela ya Rostam na Mkono!. Sijapenda 'ulivyonunua' lile gari la Mkono bila kueleza popote umelinunuaje na kwa nini ulinunue kwake!, na pia sijapenda jinsi 'unavyolikodisha' lile gari jingine, huku ukiendelea 'kulilipia bila matatizo' bla kueleza lolote!.

Nakushauri baada ya kushinda kesi hii ya pingamizi, pia utashinda ile kesi ya msingi, ila Baraza Kuu, litakuvua rasmi vyeo vyako vyote na litakuvua uanachama wako, ambapo nafahamu utarudi tena mahakamani kuweka pingamizi mpaka 2015!.

Kwa vile umeishajua mustakabali wako Chadema na kiukweli hatimaye utaondoka, sisi baadhi ya tunaokukubali, tunakuomba na kukusihi, usiendelee kuibomoa Chadema!. Chadema ina wenyewe ambao udini kwao sio tatizo, ukabila kwao sio tatizo wala ukanda kwao sio tatizo!, pigania haki yako, ili uondoke Chadema kwa heshima bila kunyea kambi!.

Narudia tena, hongera sana Zitto Zuberi Kabwe!.

Congratulations!.

Pasco.
Kama mmeshagundua CHADEMA ni chama cha kikabila na kidini mbona hamjiungi na chama cha DINI yenu ambacho KINAFAHAMIKA? KInachowapeleka mahakamani ni nini? ILI MBAKI CHAMA CHA WACHAGA NA WAKRISTO AMBACHO NYINYI YOU DONT BELONG? kwanini msianzishe chenu basi? WAKATI WA PROPAGANDA ZA KITOTO ULISHAPITA! HAKUNA MWENYE AKILI HATA MMOJA MTAEMNASA NA CHEAP PROPAGANDA ZENU! NISAWASAWA NA MTU ANASEMA MKE WANGU MALAYA ANATAKA PIA KUNIWEKEA SUMU KWENYE CHAKULA LAKINI NAAPA SITAMUACHA , NIPO RADHI KUTAFUTA MAWAKILI WOTE ILI AENDELEE KUWA MKE WANGU! mmmmh ridiculous!
 
Wanabodi,

Kwanza nampongeza sana Mhe. Zitto Zuberi Kabwe kwa ushindi wa kishindo mahakamani leo kwenye kesi dhidi ya Chadema!.

Tangu day one niliwaeleza humu kuwa maamuzi ya CC ya Chadema, ni maamuzi ya kipuuzi kabisa sijapata kuona!, niliuliza hiyo CC ilipata wapi mandate ya kumvua ZZK madaraka yake wakati haina uwezo huo?!. Kesi ya msingi nayo pia atashinda!, Chadema italazimishwa kumrejeshea vyeo vyake vyote, kisha ufuate utaratibu rasmi kumvua vyeo hivyo na hatimaye kumvua rasmi uanachama wake!.

Ushauri wangu wa bure kwa Zitto, nakuomba sana, be calm, keep quite, don't boast, don't ridicule Chadema!. Pia usiendelee kutoa siri nyingine zozote za viongozi wako zaidi ya zile ulizokwisha toa!.

Sijapenda jinsi ulivyo toa siri za M/Kiti wako alivyopokea mihela ya Rostam na Mkono!. Sijapenda 'ulivyonunua' lile gari la Mkono bila kueleza popote umelinunuaje na kwa nini ulinunue kwake!, na pia sijapenda jinsi 'unavyolikodisha' lile gari jingine, huku ukiendelea 'kulilipia bila matatizo' bla kueleza lolote!.

Nakushauri baada ya kushinda kesi hii ya pingamizi, pia utashinda ile kesi ya msingi, ila Baraza Kuu, litakuvua rasmi vyeo vyako vyote na litakuvua uanachama wako, ambapo nafahamu utarudi tena mahakamani kuweka pingamizi mpaka 2015!.

Kwa vile umeishajua mustakabali wako Chadema na kiukweli hatimaye utaondoka, sisi baadhi ya tunaokukubali, tunakuomba na kukusihi, usiendelee kuibomoa Chadema!. Chadema ina wenyewe ambao udini kwao sio tatizo, ukabila kwao sio tatizo wala ukanda kwao sio tatizo!, pigania haki yako, ili uondoke Chadema kwa heshima bila kunyea kambi!.

Narudia tena, hongera sana Zitto Zuberi Kabwe!.

Congratulations!.

Pasco.

Ndugu yangu PASCO, ushauri wako ni mzuri sana japokuwa wapo wengi sana ambao wameshatoa ushauri kama huo kwa pande zote mbili. Tatizo la watu kama hawa ni kufikiri kuwa kuongea mambo ya ndani kama hayo inaweza kuwa KETE ya kumuokoa/kumuonea huruma!! Lakini kwa watu makini kama sisi, udomo kaya kama huo unambomoa mtu kwani hata huko kwingine atakapokwenda nako hata aminika na matokeo yake anaweza kuachwa akielea hewani tu kama walivyo hawa wengine waliotangulia. Je, akina Kaburu, Tambwe Hiza, na hawa vijana wetu wa juzi wote wako wapi?!
Kumbuka hata aliyekaa kimya yawezekana akawa ameongea zaidi kuliko yule alipanua midomo.
TAFAKARI
 
ivi zzk aliposaini ili pinda aondolewe alikuwa anamzuga nani? huku akijua alichokifanya jamani huyu mtu nauliza tena anadini au pagani na yule Raya wa znz bado wako nae?ua ndio bintwa jk ameshika hatamu
kamanda uko very right zitto ni mdini sana pia hamis kigwangala wanataka rais,makamu na waziri mkuu wawe dini yao ndio maana wanamwandama sana pinda...mzinduke wakuu.jamaa wadini kupitiliza
 
Bro Zitto,

Kwanza nikupe pole kwa hizi changamoto unazokabiliana nazo ndani ya chama.

Dhamira yangu ni kukupa ushauri mfupi lakini ninaamini utakusaidia kama utauzingatia, ninaamini utanielewa kwa kuwa nimewahi kuwa na mazungumzo nawe juu ya maswala mbalimbali na nilikuona kwamba ni kijana mwenye upeo mzuri wa mambo na bado ninaamini una uwezo mkubwa wa kupima mambo.

Ninachotaka kukushauri ni kwamba ktk hili sakata la wazi kati yako na viongozi wa Chadema, hapa kama mtu mzima lazima utambue kwamba hamuwezi tena mukaaminiana na kufanya kazi kwa pamoja, kama imefikia hatua ya kuamini kwamba wenzako wamejaribu njama za kukudhuru na wanachama wanaamini kwamba wewe ni msaliti, it is rather immateurish kulazimisha kuwa ktk nafasi yako kwa kutumia mahakama. End of the day 'personal relationship na confidence' na viongozi wenzako ni muhimu kuliko amri za mahakama.

Kung'ang'ania uongozi ndani ya Chadema kunawapa wachambuzi wa mambo sababu ya kuamini haupo hapo kwa ajili ya chama bali kwa ajili yako binafsi. Kimsingi haiwezekani ukijenge chama ktk mahusiano mabaya na viongozi wenzako.

Nakushauri uwe na matured approach kama ile ya Mheshimiwa Kagasheki.

Sina nia ya ku comment on who is right and who is wrong between you and the rest of leadership, the take home message ni kwamba you will not be in a position to lead kama viongozi wa ngazi ya juu are against you, whether differences zao with you ziko legitimate ama sio does not really matter.

Unaposema you will be the last person to quit the party hiyo statement ina udhaifu mkubwa sana, inaashiria upo hapo kwa sababu maalumu. Afadhali ungesema utakuwepo Chadema for as long as u believe in the mission of the party, as long as you believe in leadership etc.

Na hao CCM wanavyokutetea ndio wamezidi kuharibu na kukuharibia reputation yako na ku solidify hisia kwamba wewe ni kibaraka wao ndio maana hawataki kusikia unatoka Chadema. Bora wangekaa kimya, kimsingi hawana hata basic skills za ku manage perception.

I am personally disappointed na hii immaturity iliyooneshwa na Chadema leadership ktk mgogoro huu wa ndani. Kwa kweli bado Chadema is not ready to lead this country, utoto umekuwa mwingi.
 
Pasco wewe utakuwa mtu mzima, ushauri umetulia, ninaamini Zitto atazingatia uliyomshauri.
 
Bro Zitto,

I am personally disappointed na hii immaturity iliyooneshwa na Chadema leadership ktk mgogoro huu wa ndani. Kwa kweli bado Chadema is not ready to lead this country, utoto umekuwa mwingi.
Mkuu hapa ndo umemaliza kila kitu.
 
Naona mmejifunga vibwebwe kulitumbukiza taifa hili la Tanzania kwenye machafuko kwa nguvu zenu zote.....Kwa nini akili zenu zinawatuma kutumia propaganda za kishenzi/wildness yaana za kuchochea machafuko kwa nija ya kidini, ukabila, ukanda na propaganda za kishenzi kama hizo hali ninyi waandishi ndiyo hasa mnatakiwa kuubiri amani, umoja, mshikamano, kuvumiliana kusaidiana baina ya waafrika wazaliwa na waamiaji wa Tanzania? Kwa nini..!

Nakumbuka ulishawahi kuonywa huko nyuma juu ya propaganda zako hizi za kishenzi, ulisikia na ukaacha. Sijaelewa ni nini kimekusibu. Kwa ulichoandika hapa...natangaza kupatika ARAP SANG WA BONGO mwingine akimfuata THE BIG SHOW. Kwa kuwakumbusha tu...ARAP SANG ni mtangazaji na mwandishi wa habari wa Kenya ambaye ameshitakiwa huko ICC-The Hague kwa kutumia matangazo yake ya redio kuchochea maauaji ya wakenya baada ya Uchaguzi mkuu nchini humo

Kwa nguvu zangu zote popote nitakapo pata nafasi nitapinga utumiaji wa Propaganda za Kishenzi za udini, ukabila, n.k zinazoelekea kuleta machafuko nchi.

Ndugu wananchi, waafrika, watanzania wenzangu...TUWAPIGE VITA WALE WOTE WANAOENEZA UDINI, UKABILA, na mengine kama hayo ili kuleta machafuko nchi kwa kisingizio chochote kile. Kwa hili tuanze na Pasco wa JF na mwenzake THE BIG SHOW.

Nina imani tutaishinda vita hii maana tunaweza bila hata kuwewezeshwa na ndugu zetu wa mataifa ya nje.

Pasco wewe ni takataka....Nimelia kwa uchungu sana kuona unatumia propaganda za kipuuzi kumtetea Zitto...Nchii inawanafiki sanaaa....

Pasco wewe ni takataka narudia tena.
 
Last edited by a moderator:
Dah siamini kama ni wwe huyu anasema haya naona unajishushia heshima yako tu hapa. Haya, wacha sisi wakabila wa Mbeya,Iringa,Ubungo,Kawe,Musoma,Mwanza,Arusha,Klm, na kwingineko tuendelee na ukabila,udini na ukanda wetu uliotufanya tukichague hiki chama. Sisi wafuasi wacha tushikamane na chama.
 
Ndugu V.P

Zitto still believes in the Mission of the Party, but he doesnot believe in The Personal Interests of the small bunch of Conmen.

The solution is not to quit, Zitto is not a quitter, he is a fighter, and he will fight until truth triumph over falsehood, He will fight until justice takes its rightful position in the party.

So worry not V.P , its unwise to let your meatstore under the leadership of hyenas. These Conmen will destroy the party, The party needs the likes of Zitto to fight and come to its rescue.

These Conmen are hopeless sinners, liars, selfish. And to let the party which millions of tanzanians had hopes and aspirations in it is a betrayal.

THATS WHY I SAY BROTHER ZITTO IS RIGHT, TO FIGHT FOR HIS RIGHTS AND THE TRUE PRINCIPLES OF THE PARTY, NOT THE PERSONAL PRINCIPLES OF MBOWE AND SMALL BUNCH OF STIFF NECKED FOOLS LIKE LEMA AND THE ARROGANT LISSU
 
Dah siamini kama ni wwe huyu anasema haya naona unajishushia heshima yako tu hapa. Haya, wacha sisi wakabila wa Mbeya,Iringa,Ubungo,Kawe,Musoma,Mwanza,Arusha,Klm, na kwingineko tuendelee na ukabila,udini na ukanda wetu uliotufanya tukichague hiki chama. Sisi wafuasi wacha tushikamane na chama.

Mkuu hamna siku ambayo nimeumia kama ya leo.....Huyu jamaa Pasco kanichefua sana...
 
Last edited by a moderator:
Bro Zitto,

Kwanza nikupe pole kwa hizi changamoto unazokabiliana nazo ndani ya chama.

Dhamira yangu ni kukupa ushauri mfupi lakini ninaamini utakusaidia kama utauzingatia, ninaamini utanielewa kwa kuwa nimewahi kuwa na mazungumzo nawe juu ya maswala mbalimbali na nilikuona kwamba ni kijana mwenye upeo mzuri wa mambo na bado ninaamini una uwezo mkubwa wa kupima mambo.

Ninachotaka kukushauri ni kwamba ktk hili sakata la wazi kati yako na viongozi wa Chadema, hapa kama mtu mzima lazima utambue kwamba hamuwezi tena mukaaminiana na kufanya kazi kwa pamoja, kama imefikia hatua ya kuamini kwamba wenzako wamejaribu njama za kukudhuru na wanachama wanaamini kwamba wewe ni msaliti, it is rather immateurish kulazimisha kuwa ktk nafasi yako kwa kutumia mahakama. End of the day 'personal relationship na confidence' na viongozi wenzako ni muhimu kuliko amri za mahakama.

Kung'ang'ania uongozi ndani ya Chadema kunawapa wachambuzi wa mambo sababu ya kuamini haupo hapo kwa ajili ya chama bali kwa ajili yako binafsi. Kimsingi haiwezekani ukijenge chama ktk mahusiano mabaya na viongozi wenzako.

Nakushauri uwe na matured approach kama ile ya Mheshimiwa Kagasheki.

Sina nia ya ku comment on who is right and who is wrong between you and the rest of leadership, the take home message ni kwamba you will not be in a position to lead kama viongozi wa ngazi ya juu are against you, whether differences zao with you ziko legitimate ama sio does not really matter.

Unaposema you will be the last person to quit the party hiyo statement ina udhaifu mkubwa sana, inaashiria upo hapo kwa sababu maalumu. Afadhali ungesema utakuwepo Chadema for as long as u believe in the mission of the party, as long as you believe in leadership etc.

Na hao CCM wanavyokutetea ndio wamezidi kuharibu na kukuharibia reputation yako na ku solidify hisia kwamba wewe ni kibaraka wao ndio maana hawataki kusikia unatoka Chadema. Bora wangekaa kimya, kimsingi hawana hata basic skills za ku manage perception.

I am personally disappointed na hii immaturity iliyooneshwa na Chadema leadership ktk mgogoro huu wa ndani. Kwa kweli bado Chadema is not ready to lead this country, utoto umekuwa mwingi.

Angekubali kufuata ushauri wako na ule wa bro. Pasco, his Credibility ingekuwa Kubwa sasa. Jinsi anavyoendelea kuropoka ndivyo anajimaliza yeye mwenyewe.
 
Back
Top Bottom