Ushauri wa bure kwa Waislam

Ushauri wa bure kwa Waislam

Status
Not open for further replies.
Hata kama Serikali haitoweza kugharamia hiyo Mahakama ya kadhi wafadhili wapo na wataweza kutoa misaada ya Mahakama ya kazi.

Akili ya kuishi kwa msaada wa mwingine. ndio maana mnataka mahakama ya kadhi ili mkwepe majukumu ya kuwatunza watoto wenu mnaozaa hovyo mkitegemea watu wengine wawasaidie kulea.
 
Ndugu yangu wewe unamakengeza ua vipi?. Uislamu sio Majina, tumia akili yako vizuri. Ulishamuona mtu akawa Muislamu akamiliki Bendi ya Muziki, au kufunga ndoa na Mkristo au asiekua Muislamu.

Muthihiri Muthihir na Mchinga Sound, au Muthihir sio muislam
 
wabin-lah=tawfiq labdala laamina.fidhuli mkubwa huna hata haya kubeza dini za wenzako?
 
Waislamu kama hao si ndio hao waliojaaa bungeni wanaburuzwa na Wakirsto. Hawajielewi, hawajitambui. Wengine Mishungi mikubwaa Wanaudhoofisha tu Uislamu.

Na wewe ni nani aliekupa haki ya kuwa muislam safi zaidi ya wengine? Kama hiyo haki umejipa mwenyewe basi kwanini na waislam wengine wasijipe haki kama wewe?! Huo ni ubinafsi ukishaona muislam mwenzako katofautiana na mtazamo wako unambandika jina la muislam asiye na msimamo, kwani wewe ndie ulieteuliwa na allah kupanga viwango kwa waislam wengine!?
 
Mhhh! Jirani yangu wewe! Yaani hatakama shule hukwenda basi hata Picha pia huioni. Ukiwekewa picha ya Ugali na Samaki hujui maana yake tu?.
 
naomba nikuulize swali hivi nchi yetu ya Tanzania ina dini?

je serikali yake pia nayo ina dini? kama inayo naomba uniambie ni dini gani?

Je nchi hii ina kabila, ukoo, au serikali ina ukabila? mkuu naomba unijibu haya
ili nijue msimamo wetu utaangukia wapi zaidi
hizo jumuiya kama zitakuwa hazitambuliwi kisheria zitakuwa hazina maana.huwezi kuunda jumuiya inayo towa taraka kwa waislam pindi wakiachana kisha ukienda mahakamani unaambiwa taraka hiyo batili.

mahakama ya kadhi haiwahusu nyinyi wakristo,tunahusika sisi waislam.

Sheria ya mirathi kwa waislamu mtoto wa asie zaliwa ndani ya ndoa haruhusiwi kurisi mali ya marehem.je mahakama za serikali inalitambuwa hilo?

Wakristo kwanini mnapinga mahakama ya kadhi wakati haiwahusu?tukisema mna husda nyinyi wakristo mtabisha?
 
Na wewe ni nani aliekupa haki ya kuwa muislam safi zaidi ya wengine? Kama hiyo haki umejipa mwenyewe basi kwanini na waislam wengine wasijipe haki kama wewe?! Huo ni ubinafsi ukishaona muislam mwenzako katofautiana na mtazamo wako unambandika jina la muislam asiye na msimamo, kwani wewe ndie ulieteuliwa na allah kupanga viwango kwa waislam wengine!?

Uislam unajieleza wala sio kujipendelea wala kumpangia mtu. Na mwisilam lazima uishi kwa jins uislam unavyotaka sio unavuotaka au wanavyotaka watu fulan, lakin Leo bungen watu wamekuwa wanafik ili watimize haja zao ,MF kuna kiongoz mmoja wa din alilia bungen kisa nyerere katukwana lakin mpaka Leo sijamsikia hata kutoa tamko walivyofanyiwa wakina mselemu . nadhan umemuelewa
 
kwa hiyo inamaana mm nitoe kodi yangu ilihali haihusiki na mahakama ya kadhi?

inawezekanaje serikali mkaiweka kwenye dini ilihali yenyewe haina dini?

kwani hamuwezi kuunda jumuiya zenu ndogondogo na mkafungua mahakama yenu mpaka muishirikishe serikali mbona sisi hatujaishirika serikali kwenye jumuiya zetu ammbazo tunazo?

hebu tumieni busara na hekima kama mfalme suleimani alivyokuwa na hekima sio kukurupuka na kuiga nchi zingine?

waoneni wenzenu wakenya sasa wanavyotaabika kwa kuhurusu kuwepo kwenye katiba kitu kama hicho kwanza mnawanyima wanawake wenzetu haki ya kuamua na kuishi wapendavyo kwa kuhuruhu kuwepo kwa mahakama ya kadhi
Unanichekesha wewe maneno yako hii nchi ina sheria zake ukitaka kuanzisha kitu itabidi mpaka upitie Serikalini uombe ruhusa ili wakuruhusu ndipo utakapo anza kazi yako pasipo na ruhusa huwezi kufanya unayoyataka utakuwa umevunja sheria ukijiamulia mwenyewe kivyako. Kama kitu hujuwi uliza sio kupenda kulaumu Mahakam ya kadhi ni ya waislam peke yake Kama ni wewe ni mkristo haikuhusu Mahakama ya Kadhi. waachie wenyewe Waislam na Mahakama yao ya Kadhi wewe tulia nyamaza waone watafanya kitu gani kwenye hiyo mahakam yao ya Kadhi. Mambo ya Ngoswe Muachie mwenyewe Ngoswe wewe hayakuhusu.
 
naomba nikuulize swali hivi nchi yetu ya Tanzania ina dini?

je serikali yake pia nayo ina dini? kama inayo naomba uniambie ni dini gani?

Je nchi hii ina kabila, ukoo, au serikali ina ukabila? mkuu naomba unijibu haya
ili nijue msimamo wetu utaangukia wapi zaidi

Wewe chunguza utajua au soma post za watu humu utapata majibu maana tushayajibu haya
 
kwa hiyo inamaana mm nitoe kodi yangu ilihali haihusiki na mahakama ya kadhi?

inawezekanaje serikali mkaiweka kwenye dini ilihali yenyewe haina dini?

kwani hamuwezi kuunda jumuiya zenu ndogondogo na mkafungua mahakama yenu mpaka muishirikishe serikali mbona sisi hatujaishirika serikali kwenye jumuiya zetu ammbazo tunazo?

hebu tumieni busara na hekima kama mfalme suleimani alivyokuwa na hekima sio kukurupuka na kuiga nchi zingine?

waoneni wenzenu wakenya sasa wanavyotaabika kwa kuhurusu kuwepo kwenye katiba kitu kama hicho kwanza mnawanyima wanawake wenzetu haki ya kuamua na kuishi wapendavyo kwa kuhuruhu kuwepo kwa mahakama ya kadhi

Hiv haya unayoongea unauhakika nayo au unaropoka? Hebu nitajie vitu vitatu vinavyowanyima wanaweke haki ambavyo vipo kwenye mahakama ya kadhi, na niambia hivyo vinavyowacost Leo Kenya sababu ya mahakama ya kadhi
 
Ukiupenda chukua usipoupemda sepa.

Nawashauri waislam kwakuwa mahakama ya kadhi ni ibada waunde jumuiya ndogondogo za waislam ambazo watafanya ibada zao huko na watashitakiana ndoa zao huko na watapeana talaka huko. Ndoa zitasuluhishwa na Waislam wenyewe. Hii itakuwa rahisi kwakuwa waislam wote ktk jumuiya zao watakuwa wanafahamiana. Hii waendeshe kama idara fulani ndani ya jamii zao na hili ni jambo dogo sana ambalo halina sababu za msingi kuliweka kwenye katiba. Ni kama vile wakrisito walivyounda jumuiya zao wala hawakuomba ziandikwe kwenye katiba kwasababu walijua ni ibada yao sio jambo lakitaifa na hivyo halihitaji kuandikwa kwenye katiba.

Kuhusu mirathi tunazo mahakama za serikali iliyochaguliwa na wananchi wote ambazo zinafanya vizuri na zina utaratibu mzuri wakusimamia mirathi hivyo mirathi ya waislam itashughulikiwa huko. Sioni hoja wala sababu ya msingi waislam kutaka mahakama yao special kwa ajili ya mirathi wakati tayari kuna mahakama inasimamia mirathi hivyo hakuna ulazima wakuandika kwenye katiba.

Karibuni tujadili kwa hoja, matusi njoo PM tutukanane mpaka nikukomeshe.
Suala sio mahakama kuwepo au kutokuwapo,yaweza kuwepo,lakini ikawa haina nguvu kisheria,inavyotakiwa maamuzi yakitolewa,asiyefuata maamuzi hayo,achukuliwe hatua stahiki.
 
Kama sheria zenyewe ndio kandamizi hivi bora tubaki na mahakama hizi za kawaida. Yaani makosa ya baba na mama walioamua kuzaa nje ya ndoa anakwenda kuadhibiwa mtoto? si uonevu huo? kweli common sense is not common!
Div 5 utaijuwa,utaingiliaje jambo lisilokuhusu.
 
Napinga kuwekwa kwenye katiba kinachotakiwa waislam kusimamisha dola name quraan ITU Mike sio kuchagua sehem ya Qur'an tu.kinachotakiwa ni khilafa tu kuchangia hiyo katiba waislam ni kupoteza muda tu hiyo ni ya wakristo wasio na muongozo waislam wànao ambao ni quraan
 
Naomba nijifunze kutoka kwako mkuu.
Tunafahamu kwamba hakuna maelewano mazuri kati baina Tanaka mbili zaislam hapa tz yaani Suni na Shia, sasa Je tutahitaji mahakama ya kadhi ya washia na mahakama ya kadhi ya wasuni?
Vipi tutahitaji magereza za waislam?
Samahani naomba nisikukwaze lengo nikujifunza mkuu.
Huko Zanzibar,Uganda,Kenya,South Africa,umesikia kuna mahakama ya shia na ya suni,mbali?Tumia akili.
 
Napenda kujua jambo moja, "wosia" wa marehemu unatambulika vipi katika suala hili la mirathi? Je mtu hana kauli juu ya kugawa mali zake kwa mtu yeyote amtakaye? Wakati wa kufanya zinaa hamuoni kama wakosaji ni wazazi na si mtoto anayezalwa? Kosa la motto ni lipi hata asipate sehemu katika mali za wazazi waliomleta duniani? Haki ya Mungu iko wapi hapa?
Una hakika gani kama huyo Mtoto ni wako,wakati mama ake huna mkataba naye wa ndoa.
 
kwa hiyo inamaana mm nitoe kodi yangu ilihali haihusiki na mahakama ya kadhi?

inawezekanaje serikali mkaiweka kwenye dini ilihali yenyewe haina dini?

kwani hamuwezi kuunda jumuiya zenu ndogondogo na mkafungua mahakama yenu mpaka muishirikishe serikali mbona sisi hatujaishirika serikali kwenye jumuiya zetu ammbazo tunazo?

hebu tumieni busara na hekima kama mfalme suleimani alivyokuwa na hekima sio kukurupuka na kuiga nchi zingine?

waoneni wenzenu wakenya sasa wanavyotaabika kwa kuhurusu kuwepo kwenye katiba kitu kama hicho kwanza mnawanyima wanawake wenzetu haki ya kuamua na kuishi wapendavyo kwa kuhuruhu kuwepo kwa mahakama ya kadhi
Tatizo nyie Walokole wa Kikristo kitu gani kina waumiezeeni kichwa kusikia Waislam wanataka Mahakama ya Kadhi? mbona hamnyamazi kimya mukaiacha Serikali na hao Waislam? Mbona munaingilia mambo ya ngoswe muachieni ngoswe mwenyewe Walokole kaeeni na imani yenu na Muwaachieni Waislam na Mahakama yao ya kadhi eeehhhh.
 
Napinga kuwekwa kwenye katiba kinachotakiwa waislam kusimamisha dola name quraan ITU Mike sio kuchagua sehem ya Qur'an tu.kinachotakiwa ni khilafa tu kuchangia hiyo katiba waislam ni kupoteza muda tu hiyo ni ya wakristo wasio na muongozo waislam wànao ambao ni quraan
Napinga maneno yako unayoyasema Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi Na ni pia Serikali isiyofuata dini yoyote ile iwe ya KiKristo au Dini ya Ki-Islam Serikali haina dini ila Wananchi wake wenyewe ndio wanazo Dini zao. Kwa hiyo kila mtu ana uhuru wa kuabudu Dini anayoitaka Tanzania sio Zambia Tanzania sio Iran Serikali ya Tanzania iitabaki ni Serikali isiyokuwa na dini yoyote ile.Usituchanganye mkuu.
 
Akili ya kuishi kwa msaada wa mwingine. ndio maana mnataka mahakama ya kadhi ili mkwepe majukumu ya kuwatunza watoto wenu mnaozaa hovyo mkitegemea watu wengine wawasaidie kulea.
Mtaumia sana akili zenu nyie msiopenda Mahakama ya Kadhi Tuachieni na Mahakama yetu ya Kadhi muna dini yenu na sisi Tuna dini yetu musipende kutuingilia dini yenu kaeni kwenu na sisi tuachieni na Mahakama yetu ya Kadhi. Mambo ya ngoswe muachieni ngoswe mwenyewe mtoto wa nje ya ndoa hatambuliki katika dini ya kiislam kuwa ni mtoto wa halali kazi kwenu walokole.Mutajibeba wenyewe msio taka mahakama ya kadhi.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom