Ushauri wa bure kwa Waislam

Ushauri wa bure kwa Waislam

Status
Not open for further replies.
Mjadala huu hauna tija,shetani ameutawala .
Hamutapata faida yote.POLENI WOTE MLOSHIRIKI
 
hizo jumuiya kama zitakuwa hazitambuliwi kisheria zitakuwa hazina maana.huwezi kuunda jumuiya inayo towa taraka kwa waislam pindi wakiachana kisha ukienda mahakamani unaambiwa taraka hiyo batili.

mahakama ya kadhi haiwahusu nyinyi wakristo,tunahusika sisi waislam.

Sheria ya mirathi kwa waislamu mtoto wa asie zaliwa ndani ya ndoa haruhusiwi kurisi mali ya marehem.je mahakama za serikali inalitambuwa hilo?

Wakristo kwanini mnapinga mahakama ya kadhi wakati haiwahusu?tukisema mna husda nyinyi wakristo mtabisha?

Jazaka llah khaira..
 
Wewe nani kakwambia mwanamke hapat urith. Ha ha ha yaan nyinyi mpo kuukandamiza uislamu bas siku zote mnaakaa mnaongopeana mnaleta mada .kwa taarifa yenu uislam umempendelea mwanamke kupita kitu chochote na endapo wanawake wa kiislam tungekuwa tunaish kama uislam unavyotaka naapa kwa mola Wangu nyinyi wakristo mngeandamana

Mamaaaaa angu mungu akupe daraja la juuu
 
hizo jumuiya kama zitakuwa hazitambuliwi kisheria zitakuwa hazina maana.huwezi kuunda jumuiya inayo towa taraka kwa waislam pindi wakiachana kisha ukienda mahakamani unaambiwa taraka hiyo batili.

mahakama ya kadhi haiwahusu nyinyi wakristo,tunahusika sisi waislam.

Sheria ya mirathi kwa waislamu mtoto wa asie zaliwa ndani ya ndoa haruhusiwi kurisi mali ya marehem.je mahakama za serikali inalitambuwa hilo?

Wakristo kwanini mnapinga mahakama ya kadhi wakati haiwahusu?tukisema mna husda nyinyi wakristo mtabisha?

Tunaogopa kodi zetu kulipa 'makazi' wenu. Kama mtawalipa wenyewe poa anzisheni kesho.
 
Na wanampango wa ku edit quran ili waoe wake 8.
Nyambafuuuuu
 
Okkk, hatutaki kuisikia mahakama ya kadhi hpa tanzania au bungeni, iwe yenu ianzisheni ninyi mnataka kutuletea boko haramu hapa tz. Ishieni huko huko
hahahaha unanifurahisha sana kwa maneno yako ya Pumba Mahakama ya kadhi na Boko haramu ni vitu 2 tofauti. kwanza nenda shule ukasome ni nini Maana ya neno (Mahakama) na ni nini Maana ya neno (Boko Haram) kisha uje hapa ulete ubishi wako wa kichwa mchungwa .Someni au kama hujuwi kusoma uliza utajibiwa ni nini Maana ya Mahakama Ya Kadhi? usilete Ubishi wako wa kilokole.
 
Bora kaka na wewe uwaelimishe
 
Bora kaka na wewe uwaelimishe
Watu wanavyosikia Neno Mahakama ya Kadhi wanogopa utafikiri Hapo Tanzania kutakuwa na Sheriaza Dini ya Kiislam? waacheni Waislam wawe nao na Mahakama yao ya Kadhi. Mahakama ya

Kadhi itakacho shughulikia ni Masuala migogoro ya ndoa za Kiislam mambo ya talaka na mambo ya Urithi ndio wanachotaka hao waislam wawe na Mahakama yao ya Kadhi masuala mengine Serikali inazo Mahakama zake Mahakama ya Kadhi haitaingilia Mambo ambayo

haiwahusu zaidi ya hayo niliyoyasema tu. waacheni waislam wawe na Mahakama yao jamani Mambo ya Ngoswe Muachieni ngoswe mwenyewe. Hakutakuwa Tanzania na mambo ya Boko Haramu wala vikundi vingine vya kigaidi nchini kwetu Tanzania ni nchi yenye amani

na amani tutaidumisha mpaka mwisho wa dunia. Ingawa tunao maaduwi hawatupendi tuwe na amani tuta Deal nao ipisavyo asante sana. Mwenyeezi Mungu Ibariki Tanzania na Afrika yote kwa ujumla ameen.
 
jishaurini wenyewe yule mzungu mnae muabudu achanene naye
 
kwani ukristo unaruhusu uzinzi au mtoto wa nje ya ndoa??? acha ujinga ww
 
Watu wanavyosikia Neno Mahakama ya Kadhi wanogopa utafikiri Hapo Tanzania kutakuwa na Sheriaza Dini ya Kiislam? waacheni Waislam wawe nao na Mahakama yao ya Kadhi. Mahakama ya

Kadhi itakacho shughulikia ni Masuala migogoro ya ndoa za Kiislam mambo ya talaka na mambo ya Urithi ndio wanachotaka hao waislam wawe na Mahakama yao ya Kadhi masuala mengine Serikali inazo Mahakama zake Mahakama ya Kadhi haitaingilia Mambo ambayo

haiwahusu zaidi ya hayo niliyoyasema tu. waacheni waislam wawe na Mahakama yao jamani Mambo ya Ngoswe Muachieni ngoswe mwenyewe. Hakutakuwa Tanzania na mambo ya Boko Haramu wala vikundi vingine vya kigaidi nchini kwetu Tanzania ni nchi yenye amani

na amani tutaidumisha mpaka mwisho wa dunia. Ingawa tunao maaduwi hawatupendi tuwe na amani tuta Deal nao ipisavyo asante sana. Mwenyeezi Mungu Ibariki Tanzania na Afrika yote kwa ujumla ameen.

tuwaache kwani nani kawashika mikono? wao ndio watuache na nchi yetu isiyo na dini. Kwani waislamu wakiwa na mahakama ya kadhi kama Uingereza inakuwaje? kwa nini wao walazimishe iwe kwenye serikali? ikikaa huko huko misikitini inakuwaje?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom