Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 43,037
- 34,741
Unanichekesha wewe maneno yako hii nchi ina sheria zake ukitaka kuanzisha kitu itabidi mpaka upitie Serikalini uombe ruhusa ili wakuruhusu ndipo utakapo anza kazi yako pasipo na ruhusa huwezi kufanya unayoyataka utakuwa umevunja sheria ukijiamulia mwenyewe kivyako. Kama kitu hujuwi uliza sio kupenda kulaumu Mahakam ya kadhi ni ya waislam peke yake Kama ni wewe ni mkristo haikuhusu Mahakama ya Kadhi. waachie wenyewe Waislam na Mahakama yao ya Kadhi wewe tulia nyamaza waone watafanya kitu gani kwenye hiyo mahakam yao ya Kadhi. Mambo ya Ngoswe Muachie mwenyewe Ngoswe wewe hayakuhusu.tuwaache kwani nani kawashika mikono? wao ndio watuache na nchi yetu isiyo na dini. Kwani waislamu wakiwa na mahakama ya kadhi kama Uingereza inakuwaje? kwa nini wao walazimishe iwe kwenye serikali? ikikaa huko huko misikitini inakuwaje?