Zero One Two
JF-Expert Member
- Sep 16, 2007
- 9,346
- 3,033
yani unamwita babu angali wajua mke wake bado binti! copy😡Bishanga
Tatizop majungu yamekujaa mpaka usoni ndo maana ukiona tuu jambo unalikuza kama puto
Mzima Erickb52
ah ah ah! wewe ni mke wa ngapi vile mmezaa nae watoto wangapi vile
The only one
mkwe mzima wewe,
kama hauamini vile?????
Bishanga shikamoo Mamndenyi huyo anayejiita Sefet sijui nani katoka wapi huyu naona kaingia kwa kasi kama kimbunga cha kule Pemba
Mwambie tunapendana sana sana na hakuna wa kututenganisha na maneno yake ni kama mwangwi tuu hauna nguvu yoyote
I love you so much Mamndenyi
copy kwa Bishanga, Arushaone, Erickb52, Vin Diesel na Mungi na Filipo
Anakusalimia Andindilile
Umeona majanga....!?? utaolewaje na kaka yako..!!?? move pande hii mutoto
ina maana huyu dadada yangu Mamndenyi anakula serengeti boys????bishanga shikamoo mamndenyi huyo anayejiita sefet sijui nani katoka wapi huyu naona kaingia kwa kasi kama kimbunga cha kule pemba
mwambie tunapendana sana sana na hakuna wa kututenganisha na maneno yake ni kama mwangwi tuu hauna nguvu yoyote
i love you so much mamndenyi
copy kwa bishanga, arushaone, erickb52, vin diesel na mungi na filipo