Ushauri wa bure kwa Mariam Uswazi

Ushauri wa bure kwa Mariam Uswazi

Msiofahahamu haya mambo,
Huyu dada anaonesha kabisa ni project ya kitengo.

Hatua ya kwanza ni kumpatia recognition kwa umma kupitia unique identity. Kifuatacho ni matumizi ya toilet paper

Usikute hana ajira kitengoni lakini ni project yao
Naomba nielekeze ndugu ni nani huyo ndugu ?
 
Ushauri wa bure kwa mwanadada mpambanaji na kwa kiasi fulani ana pesa za hapa na pale Mariam Uswazi.

Mariam kwa alipofikia akubali tu kumuajiri designer wa nguo maana comments za kumponda zimekuwa nyingi mno.

Mariamu yupo rough sana , hajui kupangilia nguo yani vululu vululu muda wote anaonekana mchafu .

Kuna mwingine anaweza akaja na kigezo cha kumtetea eti anatembea na brand ya kiswazi ndio maana yupo hivyo, hii si kweli hata kidogo.

Wapo ambao ni wa kiswazi , lakini wanatazamika. Mariamu anatia aibu sana.

Huu ujumbe bila shaka utamfikia , atafute mtu amlipe awe anamvalisha kinyume na hapo atakimbiwa na wateja wake.

Ukishaanza kuwa mchafu mchafu unajitengenezea mazingira mpaka watu kuhisi hata chakula chenyewe huenda kinaandaliwa katika mazingira machafu.

Pesa anayo, asionee ubahiri aajiri tu mtu ,huko mbeleni akishajua kuvaa ataendelea kujivisha mwenyewe.
Ni kawaida wanawake hua hampendani
 
Wanawake mnajuana wenyewe. Sisi wanaume hatujui hayo. Hayatuhusu. Muwe mnaambiana huko huko jikoni au salon
Acha tu mzee mwenzangu. Mimi uyo mariamu uswazi hata simjui. Infact ndio naliona ilo jina kwa mara kwanza, nikafikiri labda uzee ndio unaanza kuja kwaiyo trend za vijana zinanipita
 
Kwa hiyo jamaa umefungua uzi kabisa ili wanaume tumjadili mwanamke!? Huna adabu aisee
 
Acha tu mzee mwenzangu. Mimi uyo mariamu uswazi hata simjui. Infact ndio naliona ilo jina kwa mara kwanza, nikafikiri labda uzee ndio unaanza kuja kwaiyo trend za vijana zinanipita

Hawa wanawake yaani wanavyojuana huko wanajua na sisi tunawajua hivyo hivyo kumbe haya idea hamna. Unarudi umechoka na kazi mke anaanza kukusiamulia kuwa Mariamu Uswazi hajui kuvaa. Wewe umetoka kikao cha kujadili mustakabali wa nchi au mambo ya uchumi. Hawa wake wasioenda shule kazi sana.
 
Kwa wasiojua ni kuwa mleta uzi ni ThinkTank tegemeo ndani ya CHADEMA.
 
Back
Top Bottom