Sambusa kavu
JF-Expert Member
- May 4, 2015
- 803
- 1,284
Huu ni ushauri wangu wa bure kabisa kwa WCB team inayoongozwa na Diamond platinumz.
Imedhihirika wazi kabisa kuwa mpaka sasa WCB inazidi kuchukiwa na idadi kubwa ya watu..hii itapelekea Diamond na brand zake zote kufa au kupotea mazima maana taratibuu mashabiki zako wanaanza kukukimbia...je ni nani anaesababisha WCB na Diamond kuchukiwa?????
Jibu lipo waaazi kabisa...ni BASHITE!!! ,NDIO NI DAUDI BASHITE,ambae ndio MLEZI WENU WA WCB mpaka sasa!!....watu wana usemi wa kwamba'rafiki wa adui yako basi ni adui pia'' na ndicho kinachojionesha mpaka sasa...
Kwa hekima na busara kabisa,domo na WCB nawashauri ,kama mnataka kuendelea kuwa kwenye peak,basi basi muiteni BASHITE kisha mumvue ulezi mliompa kisha achaneni nae kiroho safi!!!
HAKUNA NJIA YEYOTE WALA MTU YEYOTE YULE ATAKAEONEKANA YUPO KARIBU NA BASHITE KWASASA HALAFU UYO MTU AKAPENDWA NA JAMII,HAKUNA!!!!
Angalia nyimbo uliyotoa jinsi ilivyo nzuri na yenye ujumbe wa jumla,lakini watu wameichukia kwa maneno mawili tuuu...(pale uliodhihaki vijana hawatafuti senti wanajadili tu mambo ya vyeti)!!!...hii ndo sumu pekee iliyoharibu wimbo wako mzima na kukuvua nguo zote mbele za watu na jamii nzima inayomchukia bashite kwasasa.Umewaonyesha dhahiri kabisa kuwa upo upande wa Bashite,(japo naweza nisikulaumu kwakuwa najua wcb mnamuheshimu Bashite akiwa kama mlezi wenu na pia mkuu wa mkoa),lakini kwasasa,ACHANA NAE!!! ACHANA NAE MAPEMA ILI UIKOE WCB YAKO!!!!.ebu tafuteni walezi wengine ambao hawachafuliwa na watakaoiletea picha nzuri WCB....
Mi nimemaliza, naweza nikawa nimepoteza muda wangu bure tu kwa kuandika haya,yanaweza yakawa point kwako au pumba tu na kuyapuuzia ilaaa.....
Tafakari sana sakata la Roma linaloendelea kwasasa...mwenzako katekwa kweli,mangumi kafumuliwa kweli,kulawitiwa ni siri yake sie hatujui,saikolojia imeharibika........Ni nguvu ya watu iliyotumika kupaza sauti kwenye mitandao mpaka akatoka,na watu hawa walipaza sauti kwasababu moja tuuu...wakiamini kabisa Roma ametekwa na vijana wa Bashite,Bashite huyuhuyu wanaomchukia mnooo....lakini sasa hivi Roma nae amegeuziwa kibao na watu hawahawa waliopigana mpaka akapatikana..wanamchukia kwa sababu moja tuuu.....ameshindwa kueleza kile ambacho watu wengi walikiamini,kuwa muhusika mkuu wa utekaji ni Bashite!!!
Yamkini Roma kasema ukweli mtupu,lakini kamweee,huwezi kubadilisha hisia za watu wenye chuki na Bashite kwa kuwaaminisha ukisemacho,hata kama ni ukweli mtupu,....leo hii baada ya Bashite kutotajwa kwenye utekaji,basi watu wameweka hitimisho lao, ROMA KAJITEKA!!!!!!
SASA WEWE ENDELEA KUMUACHA BASHITE KUWA MLEZI WA WCB UONE KINACHOFUATA,UTAJUTA NA KUSAGA MENO!!!!