Ushauri wa bure kwa vijana wa kiume na wanaume kwa ujumla kuhusu wanawake.

The Evil Genius

JF-Expert Member
Mar 21, 2014
5,459
17,258
Habari wakuu.

Huu ni ushauri wa bure kabisa kwa wanaume vijana wa kiume na wanaume wenzangu kwa ujumla kuhusu wanawake.

Nimeona vijana wengi wakilalamika juu ya kuumizwa na wanawake zao, kila siku vijana wanalia humu kuumizwa na wanawake.

Sasa kwa kua sharing is caring, na kwa kua sipendi kuona mwanaume mwenzangu analia hukuhu kuumizwa najisikia vibaya maana sisi ndio tutazikana, naomba kuwapa ushauri wa bure kabisa.

1. Usiwe na mwanamke mmoja, kila mara hua naliseme hili humu, mwanamke mmoja unaepaswa kua nae ni mama yako tu, ila mpenzi hutakiwi kua nae mmoja. Hata kwenye economics tulisoma never carry all eggs in one basket. Hili ni kosa kubwa sana hua vijana na wanaume wenzangu mnafanya kua na mwanamke mmoja na ukamuamini, siku akikuumiza lazima ulie kama punda.

2. Usije kumuamini mwanamke 100% hata kama una uhakika anakupenda au anasema anakupenda vipi, vijana na wanaume wengi hua mnafanya makosa na kuwaamini wanawake wenu 100% hadi kuwapa mioyo yenu yote, siku akikuzingua lazima upige mayowe kama umefiwa. Kwa ujumla ni dhambi kumuamini mwanamke 100%.

3. Usije kumpa moyo wako mwanamke, mwanamke mpe gari, nyumba, pesa, nk ila usije kuthubutu kumpa moyo wako, ulipo moyo wako ndipo hazina yako ilipo, kumpa moyo wako wote mwanamke ni kumpa hazina yako yote, siku akiichezea umekwisha, usithubutu.

4. Usimpende mwanamke wako 100%. Kosa kubwa wanaume tunafanya ni kuwapa wanawake upendo wote tulionao, kama nilivyosema hapo juu, mwanamke haaminiki, ni sawa ni kumuwekea masai dhamana, lazima ipo siku atakimbia. Mapenzi upofu, ukishampa upendo wote maana yake atakuhibiti, wanawake ni wazuri sana kwenye kujua mwanaume huyu ananipendaa kweli au la, akishajua tu unampenda na akaamua kutumia hiyo flaw kwa faida yake umekwisha.

Mimi baada ya kuwajua wanawake hawajawahi kunipa shida tena, awali walinisumbua sana ila sasa nawasumbua mimi na nitawasumbua maisha yangu yote yaliyobaki.

Sharing is caring. Neno langu sio sheria. Huu ni ushauri tu wa bure, you just take it or leave it.
 
Ukwel mtupu japo ngumu kumeza ngoja niagze balimi nshushie
 
Huo ushauri unawafaa walioanza mapenzi ukubwani, sasa ma-freelancer tunaguswaje na huu ushauri?
 
Akili za kuambiwa changanya na zako.Mtuma post ametoa experience yake, hivyo inatakiwa muamue kukubaliana nae pale unapoona inafaa na utofautiane nae pale unapoona haifai.
Otherwise, jamaa ametumia mbinu sahihi kwa kuwa anatumia ushahidi wa yeye.
To me, yapo niliyoyachukua lakini siwezi kubeep kwenye mahusiano.
 
Hebu assume na wanawake wafate ushauri wako ila kwa version ya kike.

Unafikiri nini kitatokea?

Take this advice at your own risk.
Wanawake hawawezi kufanya hvyo na hilo halitawezekana kwao.

Wanawake wanatutegemea zaidi wanaume kuliko sisi tunavyowategemea ila sijasema hatutegemeani.
 
Back
Top Bottom